Serikali ikitoa milioni 50 tatizo la Umasikini Tanzania litaisha

aise

JF-Expert Member
May 16, 2018
4,099
11,811
Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50

Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50
Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi kujipatia milioni moja keshi kabisa iliyokamilika.
Hesabu zinakuwa hivi;
Pesa taslimu milioni 50

Tunamgawia kila mtanzania milioni moja net.
Hesabu inakuja milioni hamsini.

Hapo serikali inakuwa imemaliza au kupunguza umasikini na kukazua vyuma kwa ujumla!


Hesabu zote zimehakikiwa, na Uzi huu hauhitaji masahihisho yoyote, bora upelekwe jukwaa husika!
Asanteni.
 
Hilo swala niliwaza nilipokuwa std 1, nikawa sielewi nilipoambiwa hazitatosha kipindi hicho tulikuwa ml 35. Nashangaa wewe unamawazo hayo ukiwa ushaota vudhi
 
Hilo swala niliwaza nilipokuwa std 1, nikawa sielewi nilipoambiwa hazitatosha kipindi hicho tulikuwa ml 35. Nashangaa wewe unamawazo hayo ukiwa ushaota vudhi
Basi anza kutusalimia wakubwa zako humu!
Tanzania tulikuwa ml 35 miaka kadhaa tu nyuma, wewe ulikuwa std one!
Ama kweli najibizana na vitukuu vyangu humu.
 
Mkuu usikopi idea za watu Twitter buni idea yako.
Je, unataka nikopi idea za mawe?
Huyo wa twiter ni mimi, utajuaje?

Wanasema ujuaji mwingi mbele ni kiza kaka.

Au unaona mimi hapa nafaidika na nini hasa?
Haya kopi na wewe ukapest kwenye sms uwaforwadie watu upate faida ninayoipata mimi hapa.
 
Mkuu ili kila Mtz mmoja apate 1M basi basi inahitajika trillion 50...

Hio 50M labda kila yule apate Tsh 1.
Kinyume na hapo watapata watu 50 tuu....
 
aise, moja Kati ya Uzi wa hovyo kabisa kuwahi kutokea kipindi hiki Cha Covid19...mtoa mada inabidi uende Lutindi au mirembe kwa taarifa zaidi

One love
 
Ujue huyu jamaa hata mie alinivuruga nakumbuka 2014 kuelekea 2015 nilikuwa nahesabu pesa za kugawa kwa wananchi jimboni bee zaidi ya million 200 na hazikutosha jimboni hapo ni hela ndogo ndogo tu.

Nyie acheni tu niwe maskini maana kipindi kile kuna watu wananifata wananiambia tutengeneze majina fake weye tuingize watu wetu fake tupige hela mie najifanya mtakatifu 😂😂😂😂😂 hata sh kumi sikula.
Au ndugu wajumbe hawa maboss huwa wanatusoma saikolojia ndo wanamkabidhi mtu mzigo?
Yaani kila nikikumbuka nabaki kucheka bila saini yangu hela haitoki nikashindwa hata kujisaidia na mie.
Halafu hawa wajinga hawajarudia tena utaratibu huo vyuma vimekaza.
Laiti wakirudia na chance nikaipata ndo nitolee
 
Back
Top Bottom