tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Profesa Mussa Juma Assad agombee urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Profesa Mussa Assad ni mtu sahihi kuwa Rais wa Jamhuri Ya muungano wa Tanzania, kwa weledi aliouonesha ni kweli Tanzania tuna wasomi na watu makini sana na wasiogopa mtu, Kauli ya Baba wa Taifa ya kwamba tunahitaji vijana jeuri basi huyu ni miongoni mwa zao la baba wa taifa. Ukimtathimini huyu...
  2. Mchina asema kinachoenezwa na Tanzania kuhusu bandari ya Bagamoyo ni uongo

    Asema asllimia kubwa ya sababu ambazo Tanzania ilitumia kubamiza mradi ni uwongo maana hazijawahi kujadiliwa kwenye kikao chochote au siku yoyote. --------------------------------- China’s largest port operator has accused the government of Tanzania of spreading “false information” and...
  3. Professional certification boards za Tanzania haziko kwa ajili wa kuwasaidia wahitimu bali kuwakomoa.

    Elimu ya Tanzania ina matatizo mengi sana kuanzia msingi hadi kwenye taasisi za kudhibiti ubora wa taaluma au professional bodies kama ERB, NBAA, PSPTB, nk haziko kwa ajili ya kuwasaidia wahitimu wa fani hizo bali kuwakomoa. Naanza na NBAA, hii ndio bure kabisa, imekaa katika mfumo wa kumtaka...
  4. Nani aliyewaambieni na kuwadanganyeni kuwa Kocha wa Pyramids FC haijui Ligi ya Tanzania na Timu bora ya Simba SC?

    Ifuatayo ni Nukuu yake aliyoitoa jana mara baada ya Kumalizika kwa mtanange baina ya Timu yake na Yanga SC ambayo aliisema kwa Kiarabu na kwakuwa Mimi An Eagle najua Kiarabu sana nikaweza Kuitafsiri kwenu kama hivi….. " Wachezaji wa yanga ni laini kama bamia au tambi kama yule namba 14 ndiyo...
  5. Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  6. S

    Ifikie mahali tuelewe na kukubali kuwa Rais wa Tanzania ana uhuru wa kuvunja Katiba ya nchi kwa makusudi, na hakuna utaratibu wa kuzuia hilo kwa sasa

    Maneno mengi sana yanasemwa nchini kuwa mara nyingi Rais Magufuli anavunja katiba ya Jamhuri ya Tanzania kwa makusudi. Nakiri kuwa hata mimi kuna wakati nilishazungumzia hilo. Baadae nilijiuliza ikiwa mimi ningekuwa ndio Magufuli, nikijua ninaweza kuvunja katiba kimakusudi na hakuna utaratibu...
  7. M

    Kama Tanzania ina sheria basi Mume wa Zamaradi atafungwa miaka mitatu, ila pesa na kujuana ni zaidi ya sheria

    Ndio, kila mtanzania anajua mume wa zamaradi anapaswa kwenda jela, na pia kila mtu anajua kuwa hatoenda jela na ataachiwa, na kila mtanzania anajua ni kwanini hatoenda jela, hii ndio tanzania mtu anabaka ushaidi upo ila hafungwi, huku uingereza ninapoishi sasa huwezi kukuta mambo hizo. Asante...
  8. M

    Kwanini ni vigumu kwa Tanzania kupata wawekezaji wapya katika mazingira ya sasa

    ..hakuna kitu foreign investors wanakithamini na kukipa kipaumbele kabla hawajafikia maamuzi ya kuwekeza kama rule of the law and predictable government decisions. South Africa hawana issues na hayo mambo mawili, lakini soma article hii ifuatayo halafu ujiulize ikiwa kuna watu wana mawazo ya...
  9. Hivi ugonjwa wa Ebola tulioambiwa na Mabeberu upo Tanzania umeishia wapi?

    Mimi nilikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanafuatilia kwa makini sana sakata la Ebola tanzania. Hawa mabeberu waliuaminisha ulimwengu kuwa tz kuna Ebola na kushindana katika kutoa matamko kwa raia wao. Mimi nijuavyo Ebola kama pembe la ng’ombe halifichiki cha kushangaza mpaka leo sijackia...
  10. Maoni yangu binafsi kuhusu kusimamia na kuendesha ATCL (Air Tanzania)

    * Maoni haya ni yakwangu binafsi, mtu asitukane tuheshimiane kwenye maoni* Tumeshawahi miliki Hisa na Ndege zikanunuliwa na badae ikaonekana zina tutia hasara badae zikauzwa/ binafsishwa au zikapotea kwenye anga la biashara. Biashara hii ya ndege hahihitaji hasira, ndio tumeanza lazima...
  11. Watu wasio kuwa na sifa za kuwa raia wa Tanzania upo uwezekano wa Wao kupata vitambulisho vya NIDA

    Kama kichwa cha Habari ulivyo soma hapo juu.Ni kwamba kuna changamoto katika utoaji wa Vitambulisho vya Taifa,hasa kwa Mikoa inayo pakana na Nchi jirani. Mfano ni Mkoa wa Kigoma, unakuta baadhi ya Watu wana wamiliki Warundi kwa miaka mingi na kuwafanyisha kazi za Majumbani,Mitaani na...
  12. Bandari za Tanzania bado zitabaki kuwa suluhisho kwa waagizaji wa mafuta Afrika

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (Tanzania Ports Authority) ni shirika la umma linalofanya kazi zake chini ya Wizara ya Miundombinu. Na ina jukumu zima la kuongoza na kuendesha bandari za bahari na maziwa ya nchini Tanzania. Mamlaka hiyo ipo mjini Dar es Salaam na ni bandari mwanachama wa Jumuia...
  13. M

    Wataalamu wa ujenzi, ipi tofauti ya ubora kwenye Gypsum?

    Wakuu!! Kuna hizi Gypsum, ni teknolojia mpya tofauti kabisa na siling boards tulizozizoea. Naomba kujulishwa, kuna tofauti gani ya ubora kati ya Gypsum ya Tanzania( inayouzwa Tsh 13,500/-), China (Tsh 15,000), Kenya (Tsh 15,000), Malaysia (Tsh 18,000) na Touch boards za kampuni ya Ando (Tsh...
  14. L

    Je, wajua mkoa unaoongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini Tanzania?

    Kutokana na utafiti uliofanywa na NBS (National Bureau of Statistics) HBS 2017/18, Mkoa wa Mwanza unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu maskini (1,184,188 + 321,978 = 1,506,166) sawa na asilimia 42.6 ikifuatiwa na Kigoma huku Njombe ikiongoza kwa idadi ndogo zaidi. Ikumbukwe kuwa Mkoa wa...
  15. Matrafiki wa Tanzania hawajui wanachokifanya

    Traffik Tanzania ni wajinga na wapumbavu. Nasema hivyo kwasababu hawajui wanachokifanya. Nipo mataa ya mwenge toka saa 11 jion na sasa ni saa 1 usiku. (31 oct 2019) Traffik wewe mpumbavu unaruhusu gari za kutoka mjini kwenda Tegeta na kusababisha foleni ndefu sana ya magari yanayotokea ubungo...
  16. Jobs Opportunities at Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)

    ICT OFFICER I (Data Scientist/Engineer)- 6 Positions The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is a quasi-independent Government body responsible for regulating the Communications in Tanzania. It was established under the Tanzania Communications Regulatory Act No. 12 of 2003 to...
  17. Battle: Kenyan vs Tanzanian musicians

    Kama unaona Kenya au Tanzania ipo juu katika upande wa music and entertainment market, let us know with evidence na nchi gani musiki unalipa kati ya hizo nchi mbili.
  18. Ni kabila gani linaloongoza kuwa na watu wabunifu, wagunduzi wa vitu na wenye akili

    Nipo kwenye sehemu hapa kuna watu wanabishana eti ni kabila gani hapa tanzania lenye vijana ambao wabunifu,wenye akili sana na wenye vipaji vya ugunduzi wa vitu..... Mfano / kuna wanasema sisi kabila ...yy tumegundua vitu xx jee wewe unasemajee
  19. M

    Benki ya Dunia yaishauri Tanzania kuwekeza kwenye elimu na afya

    Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources. Jisomee hapa: ==== Tanzania Needs to Urgently Invest in the Health and Education of its Youth – New...
  20. New Job Vacancies at Vodacom Tanzania, Administrator: M-PESA Agents | Deadline: 01st November, 2019

    Jobs in Tanzania: New Job Vacancies at VODACOM Tanzania, 2019 AJIRA TANZANIA 2019 / NAFASI ZA KAZI 2019 Position: Administrator: M-PESA Agents - MPESAN JOB PURPOSE The M-PESA Agent Administrator will be responsible to assist the M-PESA support Managers deliver against M-PESA revenue targets...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…