Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Wakuu!!
Kuna hizi Gypsum, ni teknolojia mpya tofauti kabisa na siling boards tulizozizoea.
Naomba kujulishwa, kuna tofauti gani ya ubora kati ya Gypsum ya Tanzania( inayouzwa Tsh 13,500/-), China (Tsh 15,000), Kenya (Tsh 15,000), Malaysia (Tsh 18,000) na Touch boards za kampuni ya Ando (Tsh 15,500)??
Ipi tofauti ya ubora? Maana tunachanganyikiwa katika choice.