Maoni yangu binafsi kuhusu kusimamia na kuendesha ATCL (Air Tanzania)

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,780
* Maoni haya ni yakwangu binafsi, mtu asitukane tuheshimiane kwenye maoni*​

Tumeshawahi miliki Hisa na Ndege zikanunuliwa na badae ikaonekana zina tutia hasara badae zikauzwa/ binafsishwa au zikapotea kwenye anga la biashara. Biashara hii ya ndege hahihitaji hasira, ndio tumeanza lazima tusifanya mchezo, tuwe makini, tuchangamke na tuwe tayari ku apologize tunapokosea na kuwabembeleza abiria ili tu tupate chetu. naomba nitoe maoni yafuatayo:

Ukimiliki ndege unahitaji akili i chaji na consultations kibao ili ufike unapotaka kufika, maana kununua ndege maana yake una malengo flani.

Kwa upande wangu mimi, ndege kama hizi za ATCL wangeajiri CEO, Msaidizi wake na Mwenyekiti wa Bodi ya ATCL wawe watu wa mataifa ya Marekani au Ulaya ambao wamestaafu hivi karibuni kwa kusimamia vyombo kama hivyo na wana historia ya mafanikio kusimamia vyombo hivi kwa kiasi kikubwa sana, hawa wangekuwa watu wa muhimu sana maana wana uwezo wa kupanga mikakati na masoko ili ndege iwe na marubani incharge ambao ni wazoefu wakubwa sana hata kama ni wa nchi zingine, wakati mwingine hawa ndugu zetu wazungu wakiona na kusikia ndege ina marubani wazawa ambao nchi haina historia ya kuendesha biashara hiyo ya ndege kwa muda mrefu huwa wana hofu sana na hawana imani siku zote ni wa baguzi, sasa katika masoko haya ili kuwapata wote vizuri ni kuwachanganyia hawa watu wa mataifa wengine, ninachotaka kusema ni kwamba ndio tunaanza na tunatafuta masoko kwa ajili ya ndege zetu kutua na kubeba hapa tusifanye mchezo kabisa bado tunaanza, kasoro tutakazo zionyesha wakati huu ndio tumeanza zinaweza zikatutia hasara kubwa sana na ambazo zitatufanya tuziuze ndege hizi kwakuwa hakutakuwa na mapato sahihi tunayo yatarajia.

Hapo badae tutakapokuwa tumeimarika ndio tutaweza kuwatafuta wazawa kusimamia ila watakuwa ambao walifanya kazi na hao wageni wakawafundisha na wakawa wazoefu.

Kwanza hawa wageni watatusaidia sana kufanya promo huko kwao kwa njia ya simu na mitandao ya kijamii awkikubalika kwao kwanini wasiwashawishi watu wa nje wengi watukubali tanzania na ndege zetu.

Habari ya kuzifungua engine penye uwazi mkubwa kwaweza kutufanya zusiaminike na abiria wengi hivyo kusambaza ujumbe kuwa sio nzima, bado tunaanza biashara na ndege ni mpya tusirudie tena kuzifungua engine penye uwazi vema tukafunika wasijue kinachoendelea, tuwe wasiri sana na asije mtu kupiga picha inaleta taswira ya kuharibu biashara ya ATCL ndani na nje ya nchi. Nawapenda sana waendesha mabasi ya mikoani, basi likiwa mbovu linafia njia huwa wanajitahidi sana kulisukuma na kulificha kwenye majumba au wanafunika sehem yenye jina na namba ya gari inafunikwa, yote haya ni kuepuka maneno yawatu kuwa ni mabovu.

ATCL nawatakia kazi njema na Mungu awasimamie katika biashara hiyo. Ameeen
 
Ndege zetu, shirika letu.
 
Back
Top Bottom