Benki ya Dunia yaishauri Tanzania kuwekeza kwenye elimu na afya

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,774
Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources.

Jisomee hapa:

====

Tanzania Needs to Urgently Invest in the Health and Education of its Youth – New World Bank Report

DAR ES SALAAM, July 18, 2019 – Tanzania needs to undertake important and urgent investments to accelerate progress in the health and education of its citizens, especially the youth, if the country is to improve its human capital for sustainable development, according to the latest Economic Update published by the World Bank.

In recent years, Tanzania has made gains in human development, with reduced under-five mortality, an increase in the average number of years of schooling for its youth, and improved adult survival. However, its human capital index (HCI) of 0.40 means that children born today in Tanzania may reach only 40 percent of the earnings that they could have attained with full health and education.

“Tanzania’s wealth has increased by 45 percent since 1995 and this is an important achievement, but the country’s population has also grown, leading to a decreasing of per capita wealth which is not sustainable,” says Bella Bird, World Bank Country Director for Tanzania. “For the country to achieve sustained and inclusive growth, it needs to make a concerted investment in its people, as human capital is the most important asset of any country.”

The World Bank launched the HCI in October 2018, as part of the new Human Capital Project to encourage countries to invest more and better in their people. The index focuses on five factors that have an important bearing for future earnings: the survival rate of children past age five; the expected number of years of education completed by youth; the quality of learning in school; how long workers will remain in the workforce, as measured by adult survival past 60; and prevention of stunting in young children.

There is a lot to for Tanzania and other countries to learn from the four countries that top the HCI ranking—Singapore, South Korea, Japan, and Hong Kong—whose success is explained by the fact that they made investing in youth a top priority, focusing on education and skills development at all stages of their progress,” says Quentin Wodon, World Bank Lead Economist and co-author of the 12th Tanzania Economic Update.

Given its level of development, Tanzania performs especially poorly in the number of years of schooling that children complete and the risk that children under the age of five will be stunted. In addition, the report finds that gender inequality in earnings is also affecting the country’s ability to increase its human capital wealth and thereby its total wealth per capita.

To tackle the country’s barriers to human capital development requires boosting investments in multiple areas using a “whole of government” approach to providing quality services. A special emphasis should be placed on reaching vulnerable adolescent girls’ sectors and targeting areas of the country that are lagging behind. In addition, to narrow the gender earnings gap, the authors recommend reducing the time women spend in unpaid work and redistributing care responsibilities to enable them to spend more time in the labor market; giving women more access to and control of productive assets; and addressing market and institutional failures that limit opportunities for women.

The latest Economic Update also provides a snapshot of recent economic developments and the outlook over the next few years. The external environment for trade and investment in Sub-Saharan Africa remains challenging, and there has been softening on both fronts in Tanzania. However, it is the pace of domestic policy reform implementation that will remain most critical for the country’s growth outlook. Government action to improve the business environment and fiscal management should be top priorities, including lowering the costs of regulatory compliance, reducing domestic arrears (VAT refunds and payments to suppliers), preventing new arrears, and ensuring a prioritization of investment projects based on sound criteria and growth-enhancing prospects as well as securing adequate and affordable financing to complete these projects on schedule.

 
Waambieni Mabeberu Watoto Watanzania wanasoma bure

Waambieni pia kila kata kuna huduma za afya

Waache ujinga
 
Waambieni Mabeberu Watoto Watanzania wanasoma bure

Waambieni pia kila kata kuna huduma za afya

Waache ujinga
Acheni kujidanganya na kujifariji, hao watoto wenyewe serikali ina kiri wengi wana utapiamlo, sasa bila vituo vya afya na hospital huko shule unapeleka wakacheze sindimba? maana ukiwa na utapiamlo na akili ina dumaa, acheni kumpoteza mh. penye ukweli asikie.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Waambieni Mabeberu Watoto Watanzania wanasoma bure

Waambieni pia kila kata kuna huduma za afya

Waache ujinga

Hao wanaomaliza form four wakiwa semi-literate ndio unaita elimu? Hatuongelei quantity bali quality.
 
Mtu huyu alisha sema hadharani yeye hashauriki,waendelee kushauri wengine huyu ni wa kusifiwa tu.
Mi naona nyie ni wajinga. Hamuoni kama Hospital za Mikoa mpya kwa miaka minne zimejengwa 60+? Hamuoni pia kama watoto wanasoma bure? Au mnajifanya vichaa?
 
Angalau wamesema aisee maana hua napiga kelele humu kila siku, Tanzania elimu tumeisahau sana aisee, nchi zilizoendelea zimeendelea sababu zina watu smart, graduates wa bongo wengi wapo ovyo mno, zungukeni nchi zilizoendelea muone elimu aisee, hasa vyuoni bongo ni kama watu wanafanya utani, inatia huruma sana.

Tanzania tuna bahati sana ya kua na vijana na watoto wengi zaidi kuliko wazee, ina maanisha nguvu kazi ni kubwa mno, kesho hawa ndo inabidi waongoze nchi, watengeneze viwanda, wafanye kazi, wawe inventors, doctors, engineers, ila kwa elimu ilivyo wanakua experts vimeo tu, hakuna kitu wanajua, wanagraduate kichwani hamna kitu, ukienda kwenye world market graduates wa bongo sio competitive kabisa, ovyo mno.
 
Yaani ni sawa na mtu ana njaa kali ya siku 6 hajala badala ya kumpa uji mwepesi wewe unampa dona maharage.

Tanzania na midege mikubwa wapi na wapi...watu wanahitaji uhakika wa maji safi nchi nzima na vituo vya afya vya uhakika kila kata.
 
Wakati serikali hii ya Rais Magufuli inajisifia kununua ndege na white elephant projects nyingine, World Bank wametoa ushauri kuwa mkazo uwe kwenye elimu na afya ili kuboresha human resources.

Jisomee hapa:

Wanataka Magufuli asiwekeze kwenye mashirika kama ATCL na kuboresha miundombinu mingine kama ya umeme, viwanda na barabara ili waendelee kutunyonya tu. Pia wanataka wao ndo wafanye biashara Tanzania siyo ATCL au viwanda vya ndani. Washenzi sana. WB na fuko la fedha la kimataifa (IMF) ni mawakala wa mataifa makubwa, rejeeni SAPs.
 
Wanataka Magufuli asiwekeze kwenye mashirika kama ATCL na kuboresha miundombinu mingine kama ya umeme, viwanda na barabara ili waendelee kutunyonya tu. Pia wanataka wao ndo wafanye biashara Tanzania siyo ATCL au viwanda vya ndani. Washenzi sana. WB na fuko la fedha la kimataifa (IMF) ni mawakala wa mataifa makubwa, rejeeni SAPs.

Umeisoma hiyo report?
 
Mi naona nyie ni wajinga. Hamuoni kama Hospital za Mikoa mpya kwa miaka minne zimejengwa 60+? Hamuoni pia kama watoto wanasoma bure? Au mnajifanya vichaa?
Mjinga ni yule anae amini elimu anayopewa mtoto wake bure ni ya maana wakati huyo anaetoa hiyo bure anaenda kumpa mwanae elimu ya kulipia, hizo hospital za kufunga vidonda na kuweka drip za maji zinatosha tunazungumza hospital kama Ocean road, au Jakaya Kikwete hospital ya moyo, 9muhimbili). Hivi huoni kama hizo hospital zina watu wengi kutoka mikoani? Kwa nini za mikoani zisiwezeshwe? Ila sikulazimishi inaonekana una elimu ya bure kaaa na bure yako.
 
Back
Top Bottom