Nagombea Urais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
7,882
Reaction score
13,936
IMG-20200522-WA0094.jpg

Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).

Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.

Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa Elimu Kata na ni mwezeshaji wa Taifa Tasaf
maswala ya Uwekaji wa Akiba na Uundaji wa Vikundi.

Nia hasa ya kugombea nafasi hii, nataka kutengeneza mazingira rafiki kati ya mwalimu na chama.
Walimu wanaweza kufanya makubwa sana ndani ya mwamvuli wa chama kwa kuboresha vitega uchumi na
kuongeza usimamizi wa Miradi iliyopo na kuongeza tija kwa walimu

Mwisho, kuna haja ya kurekebisha katiba ya chama kwa kuyapitia upya maoni yaliyokusanywa ili katiba ya chama
iendane na mahitaji na mabadiliko yanahitajika kuboresha utoaji na upatikanaji wa Elimu nchini. Hili linawezekana
endapo tutapata viongozi makini na wenye uthubutu kama Anania Titus Mbuta

Tafadhari mniunge mkono na nitangaze kwenye magroup ya walimu waniunge
Naambatanisha poster yangu
 
Cwt inatakiwa ifutwe, Kama chama Cha kanu Kule kenya.kimekuwa chama Cha kuchukua michango kwa wanachama bila matumizi kujulikana.ni taasisi ya kwanza Tanzania kuangiza magari used kutoka Japan zaidi ya magari 200. Wakati serikali inanunua magari mapya cwt inanunua used car.hawana uchungu na fedha za wanachama.kura umeomba Ila chama hicho hakina maana
 
Mkuu sioni kama kuna haja ya kukimbia changamoto
Mimi naona ipo room ya kufanya mabadiliko.
Mimi naingia kupambana na tatizo ndio maana nimeona sitaki kuwa mlalamikaji bali mpambanaji

Cwt ikipata viongozi wazuri inaweza sana kuboresha maisha ya walimu na fani yenyewe ya ualimu
Mimi walimu wanikopeshe Kira nitawalipa uadilifu na utendaji wa kazi uliotukuka
 
Hongera kwa kuomba kula.
Yale mabadiliko ya Katiba, 2014 yameua CHAMA CHA WALIMU, na mabadiliko yajayo ndio hatari zaidi.
Kwa sasa ni chama cha 'maafisa', na makada nguli.
 
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.

Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa Elimu Kata na ni mwezeshaji wa Taifa Tasaf
maswala ya Uwekaji wa Akiba na Uundaji wa Vikundi.

Nia hasa ya kugombea nafasi hii, nataka kutengeneza mazingira rafiki kati ya mwalimu na chama.
Walimu wanaweza kufanya makubwa sana ndani ya mwamvuli wa chama kwa kuboresha vitega uchumi na
kuongeza usimamizi wa Miradi iliyopo na kuongeza tija kwa walimu

Mwisho, kuna haja ya kurekebisha katiba ya chama kwa kuyapitia upya maoni yaliyokusanywa ili katiba ya chama
iendane na mahitaji na mabadiliko yanahitajika kuboresha utoaji na upatikanaji wa Elimu nchini. Hili linawezekana
endapo tutapata viongozi makini na wenye uthubutu kama Anania Titus Mbuta

Tafadhari mniunge mkono na nitangaze kwenye magroup ya walimu waniunge
Naambatanisha poster yangu
Hivi walimu wote huwa wanapiga kura kuchagua viongozi wao au huwa kuna kundi maalum la kupiga kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitambusha kama verified member kwanza na avatar yako weka picha.
 
Hongera, ila ukipata basi boresha Yale mabati yetu 20 ya kustafia mnayo wapatia walimu angalau yawe ya msauz, maana huko naskia Ni kujilia tu hela, then mnakuja na hadithi tunapambana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi naitwa Anania Titus Mbuta
Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017).
Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012).
Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003.

Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa Elimu Kata na ni mwezeshaji wa Taifa Tasaf
maswala ya Uwekaji wa Akiba na Uundaji wa Vikundi.

Nia hasa ya kugombea nafasi hii, nataka kutengeneza mazingira rafiki kati ya mwalimu na chama.
Walimu wanaweza kufanya makubwa sana ndani ya mwamvuli wa chama kwa kuboresha vitega uchumi na
kuongeza usimamizi wa Miradi iliyopo na kuongeza tija kwa walimu

Mwisho, kuna haja ya kurekebisha katiba ya chama kwa kuyapitia upya maoni yaliyokusanywa ili katiba ya chama
iendane na mahitaji na mabadiliko yanahitajika kuboresha utoaji na upatikanaji wa Elimu nchini. Hili linawezekana
endapo tutapata viongozi makini na wenye uthubutu kama Anania Titus Mbuta

Tafadhari mniunge mkono na nitangaze kwenye magroup ya walimu waniunge
Naambatanisha poster yangu
Hii CWT ni branch ya chama twawala. Hata hivyo nikuulize swali.
Vipi ile hela iliyokwapuliwa kwa ajili ya uchaguzi 2015 imelipwa?
 
Back
Top Bottom