tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Why is Tanzania still a borrowing country under IDA?

    Salaam, Recently, there has been a discussion re the World Bank's new country classifications by income level. The classification indicated that Tanzania's economy has changed from being low to lower middle income level. The change has sparked discussions, which have largely based on crediting...
  2. JamiiForums Tanzania Comments za mitandaoni: Comment gani ilikufurahisha zaidi?

    Habari wanna JF. Mtu anapopost video, picha au andiko lolote mitandaoni lazima apokee comments tofauti tofauti, Kuna zingine nzuri, zingine mbaya na zingine za kufurahisha. Ni comment gani ilikufurahisha zaidi?
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania On the eve of covid19 travel restrictions, 2 tour companies in Germany filed an injuction to lift unfounded travel warnings against Tanzania

    German Travel Warnings for Tanzania, Seychelles, Mauritius, and Namibia challenged Juergen T Steinmetz July 11, 2020 06:45 In Germany, two tour operators specialists in travel to Africa have filed a legal action at the Berlin Administrative Court for a temporary injunction to have the German...
  4. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya teknolojia ya kidijitali na umuhimu wake kwenye kukuza uchumi Tanzania

    Duniani kote suala la matumizi ya teknolojia ya kidijitali linakua kwa kasi kubwa sana na kwa kiasi fulani kunachagizwa na matumizi ya intaneti/data kupitia simu za mkononi. Kwa mujibu wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Biashara na Maendeleo, matumizi ya data duniani kote yanatarajiwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Politics is a game of dynamics, Urais, Ubunge, Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu, Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu

    Wanasiasa hasa Wa Upinzani naomba mpitie huu Uzi kwa makini sana, MADA :"Politics is a game of dynamics,Urais,Ubunge,Udiwani turufu ni CCM na TLP Tu,Siasa za Itikadi Tanzania hazipo tena! kikubwa mkono uende kinywani tu" Jana nimefuatalia kwa kina Mkutano Mkuu Maalum Wa CCM uliofabyika Jijini...
  6. JamiiForums Tanzania Usalama wa Tundu Lissu ataporejea Tanzania

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ni takriban zaidi ya mwaka moja tangu ndugu yetu mtanzania mwenzetu kusema anataka kurejea nyumbani. Lakini mhusika Mara nyingi kasema anahitaji ahakikishiwe ulinzi pindi atakapokanyaga ardhi yetu hi ambayo Kuna wahalifu...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania to register fastest economic growth in East Africa

    source: Tanzania ‘to register fastest economic growth in East Africa
  9. JamiiForums Tanzania Kasi ya ukuaji uchumi wa Tanzania kufunika nchi zote Mashariki mwa Afrika

    Uchumi wa Tanzania unategemea kukua kwa asilimia 5.2 mwaka huu wakati ambapo nchi nyingine sita za Mashariki mwa Bara la Afrika zikitarajia kuporomoka kiuchumi kwa sababu ya athari za janga la corona. Kiwango hicho cha ukuaji wa uchumi wa Tanzania ni zaidi ya nchi zote za Mashariki mwa Bara la...
  10. JamiiForums Tanzania Receptionist II at Tanzania Forest Services (TFS)

    Post: Receptionist II – 1 post Post Category(s): HR & Administration Employer: Tanzania Forest Services (TFS) Agency Application Timeline: 2020-07-09 - 2020-07-22 Job Summary: N/A Duties and responsibilities He/she will be responsible for providing support services with the agency To operate...
  11. JamiiForums Tanzania Natafuta tovuti ya bei ya vyakula Tanzania na Afrika Mashariki

    Habari za leo wanajamvi, Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati. Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 TLP kuwa chama kikuu cha Upinzani maana yake nini? Je, ni mifumo ya nchi haitaki Upinzani wa kukosoa na kuamua kutengeneza upinzani wa kuchonga?

    WanaJF salaam, Nimekuwa kimya kidogo kuwapatia ABC za 2020; hii ni kutokana na majukumu mengi ya Kitaifa. Najua mnajua kinachoendelea nchini hasa kwa upande wa Upinzani serious ambao ni Chadema na ACT-Wazalendo. Ukweli ni kwamba dola halifurahishwi na namna Upinzani Tanzania unavyoendeshwa...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya vs Tanzania vs Ethiopia statistics

    This video compares some of the countries in Eastern Africa using their GDP Nominal, GDP Per Capita and their total Population. This video is based on data gotten from World bank, Imf and Wikipedia from 1960 to 2020.
  14. JamiiForums Tanzania Je, kuna uhusiano gani kati ya umaskini na ubilionea? Mabilionea wakubwa wengi duniani wanatoka familia maskini hata wa hapa Tanzania

    Natafakari uhusiano wa ubilionea na umaskini Ukiangalia mabilionea wote wanaoongoza duniani wamezaliwa familia duni au za kawaida tu wakiwemo akina Bill Gates. Ukija Tanzania Bilionea Bakheresa alizaliwa familia ya kimaskini tu. Ukija akina Reginald Mengi hivyo hivyo wametokana na familia...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 2: Dkt. Mayrose Kavura achukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA

    Mtia nia nafasi ya Urais Dkt. Mayrose Kavura, akikabidhiwa fomu ya kuomba uteuzi wa kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA na Mkurugenzi wa Uchaguzi Chadema Munisi, Leo Jumanne 07/07/2020, Makao Makuu ya Chama Kinondoni jijini Dar es salaam.
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Namba 5: Leonard Toja Manyama ajitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais wa Tanzania kupitia CHADEMA

    Leonard Toja Manyama amejitokeza kuchukua fomu ya kugombea Urais kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Bwana Manyama ni mwalimu na mtaalam wa mipango miji, kauli mbiu yake niamini nikuvushe. Ameeleza vipaumbele alivyonavyo endapo atakuwa Rais wa Tanzania. "Atairejesha Rasimu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Amon Mpenja, sio dhambi kwa asasi za kiraia kutoa elimu kwa mpiga kura wa Tanzania

    Kumekucha mapambano yanaendelea . mapambano kati ya wapenda haki na usawa na wasiopenda haki. Nimekusikia bwana Amoni Mpenja, Naibu katibu mkuu wizara ya sharia kupitia ITV ukisema ni marufuku kwa asasi za kiraia na NGO kutoa elimu kwa mpigakura wa Tanzania. Tena ukasema utazifuta milele na...
  18. JamiiForums Tanzania Abdul Nondo na ACT Wazalendo acheni kuwalaghai vijana wa Tanzania

    Abdul Nondo acha kuwalaghai vijana! Baada ya chama cha ACT Wazalendo kutangaza mchakato wa kuchukua fomu za kuomba uteuzi wa kugombea nafasi za urais, ubunge na udiwani, Abdul Nondo, kiongozi mwandamizi wa vijana wa chama hicho alitoa shime kwa vijana kuchukua fomu kwa wingi kuwania uteuzi...
  19. JamiiForums Tanzania Miradi ya Uwekezaji katika Viwanda Unaangazia Sera ya Tanzania ya Uchumi wa Viwanda - Mwambe

    Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini...
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi Tanzania Julai 28

    Mwanasiasa wa upinzani nchin Tanzania Tundu Lissu amesema anatarajia kurudi nchini humo Julai 28. Lissu ametangaza nia ya kugombea urais kupitia chama chake cha CHADEMA Oktoba mwaka huu. Mwanasiasa huyo kwa sasa yuko ughaibuni ambapo alienda kupata matibabu baada ya kushambuliwa kwa risasi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…