tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, Mahakama nayo imeridhia

    DPP wa Tanzania amepora uhuru wa mahakama, mahakama nayo imeridhia. Ni jambo la aibu kuwa DPP anamkamata mtu anamfungulia mashtaka yasiyo na dhamana kisha kila mshtakiwa akipelekwa mahakamani DPP anaiambia mahakama kuwa upelelezi haujakamilika. Aibu yako kubwa wewe DPP usiye hata na chembe ya...
  2. Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Wakuu, Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho. Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi. Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
  3. J

    Mbowe muige Raila Odinga shirikiana na Rais Magufuli kuijenga Tanzania yetu!

    Ni ushauri tu kwa mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe kwamba afanye siasa za kushirikiana na serikali ili tuijenge nchi yetu. Pale Kenya Kiongozi wa Upinzani mh Raila Odinga yuko mstari wa mbele akishirikiana kwa karibu na Rais Uhuru Kenyata katika kuwaletea wananchi...
  4. Tuliowahi kudhulumiwa na Mtandao wa Tigo Tanzania tukutane hapa

    Mnamo Jumanne ya Tarehe 11 mwezi huu (Februari 2020) nilinunua kifurushi cha Internet kwa njia ya Tigo Pesa. Ndugu zangu wana JamiiForums yakapita masaa 24 bila ya kupewa kifurushi wala kupewa taarifa yoyote. Nilichukua hatua ya kuwapigia Huduma kwa Wateja, nikajibiwa kifurushi changu...
  5. Jumapili Februari 23, 2020 Waandishi wa Riwaya wenye Dira Tanzania (Uwaridi) watakutana na wasomaji wao katika Chuo cha Posta, Kijitonyama jijini Dar

    Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo “HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi kutokea nchini. Wakati huo, mwaka 1998, Mzee Barnabas Maro, maarufu Kamba Ulaya, alikuwa mhariri wa...
  6. D

    Kwanini Wachezaji wa Mpira wa Miguu Tanzania Bado Wanaishi Kambini?

    Hili jambo hunitatiza sana. Kwanini wachezaji wawekwe kambini? Tutasema hawana nidhamu, lakini kama mchezaji hana nidhamu itakayomfanya awe kwenye kilele cha kucheza mpira basi huyo hastahili kuwa mchezaji tena. Binafsi naamini kambi zinaongeza gharama zisizohitajika.
  7. Tanzania tuna tatizo la msingi sana la ujinga na upumbavu

    Tuna tatizo la kusoma na kutoelimika, Tuna tatizo la upumbavu ambalo unakuta mtu ana mpaka degree lakini bado ni mpumbavu. Tuna Tatizo la kutokuwa na elimu ya uraia, Tuna tatizo la kuamini CCM CHADEMA au ACT watatuletea maendele. hakuna mwanasiasa ambaye anaweza kuwaletea maendeleo sababu yupo...
  8. Z

    "Show za uchochoroni". Kwanini msanii akipiga show mkoa wowote Tanzania tunasema hivi?

    Kuna shida sehemu. Kwanini wasanii tunawasapoti sisi lakini wakija kupiga show kwenye mikoa yetu mnawaponda kuwa ni za uchochoroni. Kwanini sapoti tuwape sisi show mpige Ulaya? Mbona Marekani hawaji kupiga kwetu wanakomaa kwao. Kama insue ni pesa mbona mahesabu yanaonyesha msanii akitoza...
  9. Job at PATH Tanzania - TB Diagnostic Specialist, Infectious Disease Detection and Surveillance

    TB Diagnostic Specialist, Infectious Disease Detection and Surveillance Tracking Code9867Job Description Please submit a cover letter with your resume describing your interest in this position and how you meet the requirements. Application materials must be submitted in English and applicants...
  10. Profesa chuo cha Oxford asifu uchumi Tanzania

    TANZANIA imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu zilizopo Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambazo hazipo katika hatari kubwa ya kudodora kiuchumi kutokana na kuwa na kiwango cha chini cha madeni. Hali hiyo imebainishwa jijini Dar es Salaam juzi na Mchumi kutoka Chuo cha Oxford cha Uingereza, Profesa...
  11. Wakenya wazidi kuvuka mpaka kufuata huduma bora za afya Tanzania

    Hii ndio maana halisi ya msemo usemao "If you can't fight them, join them". Majirani karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
  12. B

    Adam Malima tells the World about The Unique and beauty of Serengeti National Park in Tanzania

    February 18, 2020 Serengeti, Tanzania Mr Adam Kighoma Malima the Governor of Mara region in Tanzania decide to go to the Savannah plains of Serengeti National park and tell the world right in the middle of wild beast about the uniqueness and beauty that can only be experienced and enjoyed...
  13. Miss Tanzania 2019 vs Miss Rwanda 2019

    Miss Tanzania 2019 / Miss Rwanda 2019
  14. Zitto: Sio kosa kuiandikia barua Benki ya Dunia isiipe mkopo Tanzania

    Zitto kuandika barua Benki ya Dunia siyo kosa ndiyo, ila kosa ni kutumia nembo ya Bunge kuiandikia Benki ya Dunia, na kusaini barua kama Mbunge wa JMT, wakati Bunge halikuwa na taarifa rasmi kuhusiana na barua yake hiyo. Zitto alitakiwa aandike barua hiyo kama Kiongozi Mkuu wa ACT Wazalendo...
  15. L

    Idadi ya watu maskini Tanzania inaongezeka mwaka hadi mwaka, asilimia zinatudanganya au tunajidanganya?

    Idadi ya watu maskini nchini inaongezeka mwaka hadi mwaka. Takwimu zinazotolewa na wataalamu wetu zinaonyesha wazi kuwa idadi ya watu maskini inaongezeka japokuwa ukijikita kwenye asilimia utaona kama umaskini unapungua. Kutokana ukuaji mkubwa wa idadi ya watu (hadi 3% kwa mwaka) ambao...
  16. When will Tanzania allow people to earn online?

    Natumai uko mzima wa afya. Kwenye miaka hii mpaka 2020 watu wamekuwa na ndoto na kiu kubwa ya kuweza kutoa hela kutoka Paypal. Kwasababu watu wengi wana mawazo ya kujipatia kipato online na inawezekana kufanya hivyo ila kikwazo ni Paypal kutofanya kazi Tanzania kwa ku withdraw hela . Kwakuwa...
  17. M

    Uzi wa Wanaoamini kuwa ni Wazalendo wa Kweli wa Tanzania..

    Nimeanzisha uzi nikijua kutakuwa na angalau matukio mawili: 1. Kuhujumiwa na watu fulani (nilishawahi kutumiwa email -kwa bahati mbaya- iliyokuwa inamlenga mtu fulani wakati wa uchaguzi kwa lengo la kumchafua na nilitiwa msukosuko fulani - I was stupid enough to ask the sender some questions...
  18. Tuiunge Mkono JamiiForums Katika Tanzania Digital Awards

    Habari za jioni wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii Tanzania Digital Awards na katika kupekua pekua nikaona kuna category ambayo hata mtandao wetu pendwa wa JF na Maxence Melo wapo kwenye kinyang'anyiro. Hivyo basi nikaona haina budi kuweka uzi hapa kuwajulisha (ambao...
  19. 16 jobs positions at Toyota Tanzania Limited which is opening a new branch in Mbeya

    Toyota Tanzania Limited is opening a new branch in Mbeya and is now seeking well qualified, result oriented, dynamic and enthusiastic professionals to fill in the following positions below: 1. Auto Cleaner Good car washing skills, at least two years’ experience in a reputable carwash or...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…