tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kinara matumizi ya Social Media za bei ghali

    Kama inaingia Youtube au Instagram kwa kujiibaiba kama unaoga nje bado huwezi kujiita upo huru kwenye Social Media Tanzania tunaongoza katika matumizi ya jumla ya mitandaoni.
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Lissu ni mhanga wa kifo anastahili mapokezi ya kitaifa. Tujitokeze kwa wingi

    Tukikumbuka kilichompata Mhe! Tundu lissu 2017, kwa mtanzania yeyote mwenye mwili na anamwabudu Mungu, mwenye huruma na upendo alimponya tundu Lissu ni Mungu tu, hili halina ubishi, mpango wa wabaya wake ulikuwa tundu lissu afe lakini mpango wa Mungu tundu lissu aishi alitumize kusudi! Tunaenda...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

    Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter. Taafika kamili ya chama kwa umma:
  5. M

    JamiiForums Tanzania Russia reopens flights to Tanzania

    Following the decreasing number of corona virus infections, Russia has reopened flights to three destinations in the world. These destinations are Britain, Turkey, and Tanzania. Russia is among the top tourist feeder countries to Tanzania. Following this decision, Yandex Search Engine has...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Open Letter: Tundu Lissu's return to Tanzania

    1054 31ST ST. NW, STE 110 WASHINGTON, D.C. 20007 +1 202 301 8811 OPEN LETTER TUNDU LISSU’S RETURN TO TANZANIA: GOVERNMENT CONDUCT TO BE CLOSELY MONITORED AND DOCUMENTED; POTENTIAL ACTS OF HARASSMENT, INTERFERENCE, OR VIOLENCE WILL RESULT IN CONSEQUENCES...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Balozi Gastorn: Kifo cha Rais mstaafu Mkapa si pigo tu kwa Tanzania, bali pia kwa Jumuiya ya Kimataifa

    Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Kennedy Gastorn amesema kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin William Mkapa kilichotokea usiku wa kuamkia leo jijini Dar es salaam sio pigo kwa Tanzania tu bali kwa jumuiya nzima ya kimataifa. Balozi Gastorn amesema kuwa...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Live updates: Ujio wa Tundu Antipas Lissu nchini Tanzania tarehe 27 Julai 2020. Ameaga rasmi Ubelgiji leo jumamosi

    Safari ya Tundu Lissu imeanza rasmi ambapo ameagana rasmi na watanzania waishio Ubelgiji leo tarehe 25 Julai 2020. Lissu anatatajia kutua nchini Jumatatu mchana ambapo safari ya awamu ya kwanza inatarajia kumchukua kati ya masaa 8 hadi 11 angani. Tuendelee kumuombea awasili salama Picha: Tundu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani Tanzania kuendelea kuwa na wabunge wa viti maalum?

    Nchi masikini kama Tanzania ambazo zaidi ya 40% ya mapato yake ya kuendeshea serikali yanatokana na mikopo na misaada, zina idadi kubwa sana ya baraza la mawaziri pamoja na bunge. Kuna kipindi Tanzania tuliwahi kua na baraza la Mawaziri zaidi 60. Hoja yangu ni kwamba, kwa nini bado tunaendelea...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Salamu za Rambirambi za kifo cha Benjamin Mkapa toka kwa Rais Paul Kagame na Rais Yoweri Museveni zimenigusa sana

    Rais Yoweri Museveni (Uganda) " Niliondokewa na Baba yangu Mzee Mwalimu Nyerere nikalia sana na sasa nimeondokewa na Kaka yangu Mkapa nalia mno. Maelekezo mengi ambayo Mwalimu Nyerere alikuwa akinipa katika Mapambano ya Kuikomboa Uganda alikuwa akimtuma Mkapa aniletee hivyo nimemjua Siku nyingi...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakati nchi ya jirani imerekodi visa 15,601 vya korona, Tanzania inapaswa kuchukua tahadhari kwenye mipaka yake

    Kufikia jana tayari Kenya imerekodi visa 15601 vya wagonjwa wa korona huku visa 700 vikirekodiwa kwa Jana pekee. Hali inazidi kuwa mbaya zaidi kwa nchi hii jirani. Mwingiliano baina ya raia wa nchi hizi mbili ni mkubwa mno na kama Tanzania ikiendelea kurelax na kuona kwamba hili siyo gonjwa la...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Historia|Wasifu: Je, Benjamin William Mkapa ni nani hasa?

    Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962 Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
  13. MWALLA

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Haki za Binadamu ya (IPU) yazitaka mamlaka nchini Tanzania kumuhakikishia Tundu Lissu usalama wake pindi atakaporejea nchini

    Kamati ya haki za binadamu (IPU) imezitaka mamlaka husika nchini Tanzania kuhakikisha usalama wa kiongozi huyo pindi atakaporejea nchini. Aidha, kamati hiyo inadai kuwa tangu Tundu Lissu atangaze nia ya kurejea nchini hivi karibuni imekuwa ikilifuatilia suala hilo kwa ukaribu. Mh. Tundu Lissu...
  14. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini

    Deogratias Nsokolo, Rais UTPC na kada wa CCM ni "kirusi"kwa waandishi wa habari nchini Rais wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC), Deogratias Nsokolo ni kirusi kinachowauwa waandishi wa habari katika mapambano ya kudai haki na ukuaji wa tasnia hiyo kwa ujumla. Rais wa UTPC...
  15. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Chief Of Party at PSI Tanzania

    Who we are As the flagship global service delivery project of the U.S. President’s Malaria Initiative (PMI), the PMI Impact Malaria team works with national malaria programs to fight malaria and save lives by strengthening diagnosis, treatment, and drug-based prevention for those most at risk...
  16. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Benjamini Mkapa kamwambie Mwalimu Nyerere Tanzania iko salama

    Ni msiba mkubwa sana, kwa takribani miaka 20 tunapata simanzi kubwa ya kitaifa. Benjamini kamwambie Mwalimu Tanzania inakwenda vizuri kutimiza ndoto alizokuwa nazo Mwalimu, Hatutakukumbuka kwa kibinafsisha mashirika, kwa hotuba zako nzuri za kisomi na mpangilio nadhifu, hatutakukumbuka...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania The Economist: Takwimu za Tanzania zina shida

    MAELEZO KWA UFUPI KUHUSU KILICHOANDIKWA > Mbali na COVID-19 kupiga nchi jirani ya Tanzania, huku IMF ikitabiri uchumi kushuka kwa 3.2%, Tanzania imetabiri uchumi kukua kwa 5.5% na ripoti ya WB imewapandisha kuwa uchumi mdogo wa kati. > Ni rahisi kuona upotoshaji wa takwimu kwa kuwa kuna anguko...
  18. CHIPESI NAMISUKU

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu Tanzania tunawapataje?

    Kuanzia 2017 niliandika Sana kuhusu aina ya Viongozi tunaowahitaji. Makala zangu asilimia tisini nililenga kuandaa watu kutambua aina ya Viongozi Bora hata kwa kuiga Kutoka mataifa yaliyoendelea. Kwa upande wangu nafikiri nilimaliza kabisa kila kitu katika kutoa Elimu ya Nini tufanye ili...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu Watanzania; Mbona mimi Infantry Soldier nimeipigia kura Tanzania. Wewe mzalendo mwenzangu unasubiri nini mpaka sasa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Darasa la Kwanza Shule ya Msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai

    Mtoto Nazia Samweli (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai siku ya Jumanne. Mama mkubwa wa marehemu, Happy Msenga, ameiambia Habarileo kuwa mpaka sasa uongozi wa shule hiyo umeshindwa kutoa maelezo...
Back
Top Bottom