"Show za uchochoroni". Kwanini msanii akipiga show mkoa wowote Tanzania tunasema hivi?

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Kuna shida sehemu. Kwanini wasanii tunawasapoti sisi lakini wakija kupiga show kwenye mikoa yetu mnawaponda kuwa ni za uchochoroni. Kwanini sapoti tuwape sisi show mpige Ulaya? Mbona Marekani hawaji kupiga kwetu wanakomaa kwao.

Kama insue ni pesa mbona mahesabu yanaonyesha msanii akitoza kiingilio cha 10000 wakiingia watu 20000 hiyo no millioni Mia2. Big up Kondeboy kwa kutuburudisha hapahapa bongo
 
Show ya wap hyo ya watu 20000 kwa 10000, konde boy Hawezi kufanya hcho kitu
 
Back
Top Bottom