Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 332
Natumai uko mzima wa afya. Kwenye miaka hii mpaka 2020 watu wamekuwa na ndoto na kiu kubwa ya kuweza kutoa hela kutoka Paypal. Kwasababu watu wengi wana mawazo ya kujipatia kipato online na inawezekana kufanya hivyo ila kikwazo ni Paypal kutofanya kazi Tanzania kwa ku withdraw hela . Kwakuwa Paypal ndio njia rahisi inayoshawishi kufanya malipo online kwa haraka sana.
Sababu za kuzuiliwa Paypal kutofanya kazi Tanzania kwa kuwaruhusu watumiaji wake kutopokea hela ni kuwa Benki kuu ya Tanzania ilikataa kushirikiana na Paypal wakihofia wizi na utapeli wa mitandaoni utazidi.
Tupia mawazo yako jee ni njia gani tunaweza kutumia Paypal tukiwa Tanzania kwa ajili kupokea hela?
Nazungumzia Paypla Business Account.
Changieni kwa wingi ili wakuu wapate kuona pengine wanaweza kulifikiria tena hili