Sehemu ya Ukweli: 'Tuilete Maldives hii kwetu Tanzania!'

TUJITEGEMEE

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
16,885
2,000
Wakati nachakura chakura mitandaoni nimebahatika kupata clip kutoka kwenye Channel ya YT ya Kara and Nate. Clip inaonyesha sehemu ya kupumzika na mashamsha ya ufukweni huko Maldev. Maldev ipo bara la Asia.

Clip hii inafikirisha mengi ila sehemu yenyewe inavutia kutazama na ikipendeza mmoja mmoja ama kwa pamoja tujaribu kufikiria, kupanda na kutengeneza sehemu kama hizi hapa kwetu Tanzania. Tumeingia uchumi wa kati vitu kama hivi tujiandae kuvizoea!

Karibu kuitaza clip kama hukuwa kuitaza ama kama uliwahi basi kama ungependa kuitazama kwa mara nyingine.

Clip >> Maldives Kwa Vutia Tupahamishie Tanzania
 

Ndekrepha

JF-Expert Member
Jun 4, 2020
1,504
2,000
Kweli, huko Zanzibar na Mafia wachangamkie hiyo fursa.

Japan kachafua fukwe za Mauritius kwa mafuta hivyo tutegemee watu wa utalii wa ufukweni kuongezeka pande zetu hizi.
 

Donnie Charlie

JF-Expert Member
Sep 16, 2009
9,820
2,000
kama hiyo ya mafia 'THANDA ISLAND' wanacharge $25,000 per night hawawezi kushindwa kufanya hii mambo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom