tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania ubaguzi wenu utawaponza. Hii siyo haki

    Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli. Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna Benki ina offer Credit Cards badala ya Debit Cards zilizozoeleka?

    Nina shida na credit card kuna mtu yeyote anayejua ni benki gani wanatoa credit cards badala ya debit cards?
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Drug Enforcement Agency Tanzania?

    Ni kwanini Marekani ameruhusiwa kufungua tawi la Jeshi lake la Kupambana na Dawa za Kulevya Tanzania, Drug Enforcement Agency. Je jeshi la Polisi Tanzania hawana uwezo wa kudhibiti madawa ya kulevya? Kinachonishangaza zaidi, bangi inaruhusiwa kutumiwa nchini Marekani ila hapa kwetu Marekani...
  4. JamiiForums Tanzania Polisi wetu wapo kama ''Tokobetsu Koto Keisatsu'' ya Japan enzi hizo

    Miaka Mia iliyopita Japan walikuwa na Aina fulani ya polisi ambayo uanzishwaji wake ulikuwa na lengo zuri kuweka oda katika taifa lakini wakaja kutumika vibaya na ufalme wa Japan. Hawa polisi walifanya Mambo ya kichimvi Sana kule Japan kazi Yao ilikuwa hii hii Kama ya Hawa tanpol yetu kudhibiti...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Protection of Tanzania against foreign adversaries during and after General election

    Dear my fellow Tanzanians, Greetings from this end. Currently, our country is heading toward general election, which is a crucial moment for the interest of this nation. As you may also know, we are observing unprecedented security threats around the world, of which some of them are attributed...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Tanzania siyo Dubai

  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is ahead of schedule: The real giant of East Africa in action

    TANZANIA IS AHEAD OF SCHEDULE BY DANTE DI IULIO Since 2015, the Tanzanian Fifth Phase Government, under reform-minded President Dr. John Pombe Magufuli, has set an ambitious industrialization agenda in pursuit of the goals articulated in its National Development Vision 2025. To achieve that...
  8. JamiiForums Tanzania Jiji la Moshi mliwakosea nini Toyota Tanzania Ltd? Hakuna Branch wala Authorized Parts Dealer

    Moshi yote: *Hakuna Toyota branch; * Hakuna Authorized Dealer; * Hakuna Authorized Service Workshop; *Hakuna hata Authorized Parts Dealer Nilisikiaga kuwa Moshi ni jiji, why Toyota Tanzania Ltd alipe kisogo jiji hilo la wajuaji? Kuna jamaa zangu hapo wamefika mji huo jioni ya leo na...
  9. JamiiForums Tanzania Despite the global COVID-19 pandemic, Tanzania has achieved its middle-income vision five years ahead of schedule

    https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.forbesafrica.com/brand-voice/2020/08/19/tanzania-is-ahead-of-schedule-under-magufuli/%23:~:text%3DDespite%2520the%2520global%2520COVID%252D19,compatriots%2520on%2520this%2520historic%2520achievement.&ved=2ahUKEwjJ2-rMiqnrAhU6UhUIHZJ...
  10. JamiiForums Tanzania Miujiza ya Mungu kwa Tundu Lissu, COVID-19 na Siasa za Tanzania yetu

    Wanajamvi, Kwanza kabisa, niseme kama COVID-19 ingekuwa mbaya Tanzania, Lissu asingepata huu umati wa ajabu wenye Watanzania wenye hamasa ambayo sidhani kama nimeshawahi kuiona kwenye siasa za Tanzania. Hili ni la kumshukuru Mungu! Amejibu maombi kwa namna ya ajabu kabisa! Amejibu maombi kwa...
  11. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Vyama vya upinzani nchini Tanzania subirini dawa aliyonayo Kiiza Besigye katika kumtoa Rais Museveni, ili nanyi pia muiige na mumtoe Rais Magufuli

    Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki. ITV Tanzania Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raia wa nchi 130 wataingia Kenya bila kuwekwa karantini, Tanzania haimo

    Kenya imetoa nchi 130 ambazo raia wake wataruhusiwa kuingia nchini humo bila masharti ya raia hao kukaa karantini. Katika orodha ya nchi hizo Tanzania haimo. Hii ikiwa na maana kwamba raia wa Tanzania atakayeingia Kenya atalazimika kukaa karantini. Baadhi ya raia wa nchi wanaoruhusiwa kuingia...
  13. JamiiForums Tanzania Tutafikishaje Miss Tanzania Miss World2020 nakuchukua Taji la Dunia (Steps to do)

    Naitwa Don Nalimison, Mwanamziki na Mtetezi wa Haki za Binadamu na Mshauri wa Mambo ya Kiusalama Duniani. MBINU AMBAZO MISS TANZANIA ANAWEZA KUSHINDA TAJI LA MISS WORLD 2020. 1.Warembo wote wanapaswa kuangalia clip video za Missworld top 10 na kuona Nancy...
  14. JamiiForums Tanzania Siku njema ya kuzaliwa kwa Bill Clinton, UJIO WAKE Tanzania na gumzo la chupa ya maji

    Siku njema ya kuzaliwa kwa Billclinton SIJASOMA KITABU CHA MZEE MKAPA, ILA HILI SIDHANI KAMA HILI LIMEANDIKWA. Twende pamoja kwa haya machache na mwisho uone mbwembwe za mwandishi wa habari huko AICC😄 Kama haujui, wanasema Bill Clinton ndiye rais mwenye IQ kubwa kuwahi kutokea nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Taarifa ya Hali ya Huduma ya Afya ya Uzazi na Mtoto nchini Tanzania 2015/16-2019/20

    Taarifa ya Hali ya Huduma ya Afya ya Uzazi na Mtoto nchini Tanzania 2015/16-2019/20 na Mheshimiwa Ummy A Mwalimu, Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa Wadau na Watoa Huduma za Afya, Jijini Dodoma, Tarehe 19 Agosti, 2020 Ndugu Viongozi wa Sekta ya Afya, Mganga Mkuu wa...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Funzo la mapinduzi toka nchini Mali: Maafisa waaandamizi wa Serikali ya Tanzania tendeni haki na kwa usawa kwani hamuijui kesho yenu

    Kilichotokea nchini Mali na nchi mbalimbali duniani kuhusu viongozi madikteta kuondolewa madarakani kinatoa somo kwa maafisa waandamizi wa serikali ya Tanzania kwamba kwa kuwa hawaijui kesho yao basi ni vema kutenda haki na usawa kwa watu wote bila kujali vyama vyao vya siasa kwa kufuata katiba...
  17. JamiiForums Tanzania Nani kuwa Mshindi Miss Tanzania 2020?

  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yashika nafasi ya kwanza kwa usambazaji wa Umeme Vijijini Barani Afrika

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amesema Tanzania imeshika nafasi ya kwanza barani Afrika kwa kufanikiwa kusambaza umeme nchini kote kwa asilimia 80. Mhe. Majaliwa aliyasema hayo wakati akielezea mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Tano kwenye mkutano wa...
  19. JamiiForums Tanzania Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) lawataka viongozi wake kujiweka kando na Siasa

    Hawa sasa ndiyo viongozi wa kiroho wa ukweli na wanaojitambua na kujua nafasi yao katika Taifa, siyo kama wale wengine wajasiriadini na wasaka tonge. Kongole kwenu KKKT chini ya Baba Askofu Fredrick Shoo. Natamani sana kanisa langu RC waje na tamko zito kama hili au zaidi ya hapa.
  20. K

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya chama cha Republican, Orange County yalichomwa moto. Je, Tanzania tuliwaingilia?

    Ndugu watanzania wenzangu, Natumaini mko salama. Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mimi ni mojawapo ya watu ambao hufuatilia sana siasa ya Marekani. Kwa hiyo ni ngumu sana kunidanya chochote kile kuhusu kinachoendelea huko Marekani. Katika generation hii ya dot com, ni vingumu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…