Due to political situation since 2015 and the current situation, we should declare that Tanzania has Strong political Oppositions

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,627
2,000
Mazingira yalikuwa Ni mtu au chama kimoja kufanya shughuli za kisiasa kwa Uhuru, huku vyama vingine vikikatazwa kufanya siasa Hadi uchaguzi mwingine utakapowaidia. Cha kushangaza bado CCM imepata changamoto Sana kwenye kufanya kampuni za kuwanadi wagombea wao na pia Wana wasiwasi ya kupoteza majimbo mengi. Itoshe kusema Tanzania ina upinzani imara ambao Ni vigumu kuumaliza.
 
CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Aug 31, 2020
669
1,000
Ipinzani ukajengwa kwenye mioyo ya watu.
Kiasilia hakuna mtu asiye mpinzani
Hata Nyerere alikuwa mpinzani ndio maana tulipata uhuru.

Magufuli kuzuia Mikutano ya kisiasa kufunga na Kubambikia kesi wapinzani kuzuia maandamano ya amani na shughuli zote za kisiasa kwa vyama mbadala kulikuwa ni kupoteza muda tu.

Nilimuheshimu sana Obama kwa kukiri adharani kuwa "nitakuwa tayari kuwasikiliza wanao mpinga kuliko wanao msujudia".

Jiwe anataka kusifiwa tu.
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
2,505
2,000
Roboti za mitandaoni zinashida Sana, ziliwahi kukubaliana mandamano makubwa yaliyoitishwa na roboti Mange, lakini siku ya siku roboti zikayeyuka

Mnajifanya kuwa roboti mnapokuwa mitandaoni ili Hali huku uraiani mnakubaliana kwamba wenzenu wanakazi ngumu na haijulikani kama kuna angalau mbunge mmoja wa Tu upinzani atapenye kuwa mbunge
 
Labda Wasimamizi waamue kutekeleza ile Sentensi ya mkubwa kwamba " Nikuteue kuwa mkurugenzi harafu unamtangaza mgombea wa upinzani eti kashinda" hiyo isipokuwa applicable upinzani itanyakuwa majimbo mengi tu
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
6,906
2,000
Tuunganishe nguvu huu ni wakati mzuri wa kuiondoa ccm madarakani, chama hiki kimekuwa hovyo mno na kinaleta ukabila sasa. Diplomacy peke yake haitoshi inabidi tufanye zaidi kwa kutumia nguvu ya umma.
 
paul sylvester

JF-Expert Member
Mar 18, 2020
2,505
2,000
Labda Wasimamizi waamue kutekeleza ile Sentensi ya mkubwa kwamba " Nikuteue kuwa mkurugenzi harafu unamtangaza mgombea wa upinzani eti kashinda" hiyo isipokuwa applicable upinzani itanyakuwa majimbo mengi tu
Mkuu, mkuu, mkuu, huu sio Wakati wa kutiana moyo, tusemeni ukweli ili mioyo yetu ipone, upinzani unahali mbaya ambayo haijawai Kutokea Wakati wote wa mfumo wa vyama vingi, Okey, Ya Mungu ni mengi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom