Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
USIKU YAONEKANA KAMA JIJI LA NEW YORK AU LONDON. WENYEWE WAMWOMBA RAIS KIKWETE, MZEE WA VIJISENTI AKAWASAFISHE
WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji chao kutokana na jina baya lililoenezwa duniani...
Kumekuwa na mijadala kutoka kwa watu mbalimbali hata humu JF kuwa mataifa ya nje na Jumuiya za nje zinaingilia Uchaguzi wetu, wengine wamefikia hatua ya kusema kuwa kuna baadhi ya wagombea wametumwa na ‘mabeberu’ kwa makubaliano fulani.
Kama kweli, Je, Jumuiya za kimataifa kama UN, EU, na...
Watu wengi sina hakika kama wanaliona hili ila Muziki wa Bongo fleva kwa kifupi umeingiliwa, umechakachuliwa na too bad ni kama unakufa.
Nadhani wanaopenda muziki kama mimi wanapata tabu tu na hawana la kufanya.
Na katika hili Clouds media ( Hususani marehemu Ruge ) hawezi kuepuka lawama...
COVID-19 is historical in Tanzania: Why don't USA, UK, EU and others copy from TZ how to fight against Coronavirus?
Basically the title: Here in Tanzania, COVID-19 is spoken about by using past-tense; life in Tanzania has returned to normal. The way things in Tanzania have by and large returned...
Amani iwe nanyi watu wa Mungu!
Kwa kipindi cha miaka 59 tangu uhuru, Tanzania imekuwa ikiongozwa na Chama cha mapinduzi. Katika miaka hii yote watanzania wamepitia mengi sana ila kila siku maisha ya watanzania yamezidi kuwa ya kuogofya na ya kusikitisha. Umasikini umekuwa donda kuu la...
Wadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya marefa licha ya uwepo wa VAR.
Tuanze na
1. Yupi refa bora Tanzania na England pia
2. Yupi...
Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii
Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua
Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi...
Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
Rais wa Belarus Alexander Lukashenko amesema kwamba wanapaswa kuandaa jeshi kwa ajili ya vita kwa sababu ya hatari zilizoelekezwa kwa nchi yake kutoka Magharibi,
"Lazima tufunge mipaka na Magharibi, haswa Poland na Lithuania." alisema.
Katika hotuba yake kwenye Mkutano wa Wanawake uliofanyika...
Kwa miaka kadhaa sasa Uchumi wa Tanzania umeendelea kukua na kuiwezesha nchi kufikia lengo la kuwa nchi ya Uchumi wa kati (lower-middle-income economy) ikiwa ni miaka mitano kabla ya kufikia mwisho wa muda iliyokuwa imejiwekea.
Huku hili likitokea, Tanzania imejikita katika kuboresha zaidi...
Nyakati zabadilika kweli. Tanzania Uganda, na Rwanda zimeungana kuunda soko moja la hisa. Tumetoka siku za COW hivi sasa nchi za Africa mashariki zinaendelea kuitenga Kenya. Kenya imepoteza deals kadha za ukanda huu kwa mda wa hivi karibuni but we still hold strong. Haya yote yanafanyika bila...
Pipeline deal: Oil firms set date for final investment decision
TUESDAY SEPTEMBER 15 2020
By FREDERIC MUSISI
The government and oil companies - French Total E&P, and China’s Cnooc - are eyeing December or January as the new dates for taking the final investment decision (FID) for development...
Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
Yaliyomo
1.
SEHEMU YA KWANZA ......................................................................
4
1.1.Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa ..........................................
8
1.2.Kufuta Umasikini Katika Nyanja Zote...........................................
8
1.3...
KRA vs TRA (Kwanini Kenya inakusanya kodi mara 3 ya Tanzania)
KRA: Kenya Revenue Authority
TRA: Tanzania Revenue Authority
Makusanyo (Tax Collection July 2019 to June 2020)
KRA-Kenya: 34 Trillion (Tsh)
TRA-Tanzania: 14 Trillion (Tsh)
Sababu ni hizi hapa.
Matumizi duni ya teknologia (ICT)...
Baada ya Watanzania kupiga domo jana kuwa Tanzania haitaruhusu KQ kuingia humo hadi mwakani, Tanzania imeshindwa kungoja hata wiki moja ili kufunza Kenya adabu kama mlivyokuwa mkisema.
Yaani hata masaa 24 hazijaisha kabla Kenya kuruhusu malazy kuingia huku, tayari TZ imeruhusu KQ kuingia. Hio...
Mamlaka ya Anga Tanzania imeondoa marufuku ya makampuni ya Ndege za Kenya kutua Tanzania
Hatua hiyo inakuja baada ya Serikali ya Kenya kuruhusu Watanzania kuingia Kenya bila masharti yoyote yale.
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa Michelle Bachelet ameeleza kuwa, nchini Tanzania kumekuwepo hali ya "kuongezeka kwa ukandamizaji wa kidemokrasia na haki za raia, hali ambayo inazidi kufanya mazingira ya haki za binadamu kuwa duni". Ameeleza hasa mabadiliko ya sheria...
Toka mwaka 2015 kumekuwa na matukio makubwa nchini ambayo yaliyumbisha nchi hasa upande wa Idara ya Usalama. Na ambayo waliyoyapanga walifanikiwa kwa Asilimia 100 kuvishinda vyombo vya dora.
1. Tukio la kutekwa na kupotezwa Ben Saanane mwanaharakati ambaye alikuwa akiandika sana suala la Elimu...
Waziri wa mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema kuwa tathimini iliyotolewa hailingani na uhalisia wa hali ilivyo Tanzania.
Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa imetoa taarifa juu ya haki za binadamu maeneo mbalimbali Duniani na kuonesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.