Umuhimu wa Jeshi la Polisi Tanzania

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
2,382
2,000
Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii

Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua

Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi ambalo lina vikosi, idara na vitengo mbalimbali kama vile vikosi kikosi cha kutuliza ghasia, kikosi cha usalama barabarani, idara ya upelelezi nk

Kulingana na sheria ya Jeshi la Polisi kuna askari polisi wasaidizi ambao wana uwezo wa kipolisi wa kupekua na kukamata. Wakikamata mtu wanawajibika kumkabidhi kwa polisi au kituo cha polisi

Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,

Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.

Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka

MAMLAKA YA POLISI

Jeshi la polisi lina mamlaka mbalimbali yaliyowekwa kisheria na linapaswa kutumia mamlaka kulingana na taratibu zilizoainishwa katika sheria husika

Polisi wanaweza kukamata, kufanya upekuzi, kushikilia, kumpeleleza mtuhumiwa, kumhoji shahidi na kufanya mahojiano na mtuhumiwa

Pia Kutawanya waandamanaji wenye nia ovu na kuhakikisha usalama katika jamii. Hawafanyi wapendavyo bali hufuata sheria

Matumizi yoyote ya mabaya ya mamlaka au uzembe katika kazi unapelekea utovu wa nidhamu na uhalifu, afisa wa polisi anayetenda hayo anapaswa kuchukuliwa hatua
 
viva666

Member
Oct 11, 2016
86
125
Duh ,umenikumbusha sku moja wale tigo au tunawaita kulwa na doto wakasimama njiani ili kunisisimisha nikiwa na pkpk ,basi mtu mzima nilipowakaribia nikajikuta nacheka tu huku nkisema "afandeeeeee" afu nikaipa moto jamaa akapisha mimi huyo kibati.
 
BLUE DOG

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
638
1,000
Hawa watu sijawahi kuwapenda wala kuwashirikisha katika shida inayohusiana na jukumu lao. Huwa sina imani nao kwani ni wapenzi sana wa rushwa.

Cha pili mara nyingi matamko yao huwa hayazingatii weledi wa kazi au majukumu yao mengi huwa ni mashinikizo ya kisiasa
 
Mhujumu Uchumi

JF-Expert Member
Sep 14, 2014
1,279
2,000
Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii

Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua

Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi ambalo lina vikosi, idara na vitengo mbalimbali kama vile vikosi kikosi cha kutuliza ghasia, kikosi cha usalama barabarani, idara ya upelelezi nk

Kulingana na sheria ya Jeshi la Polisi kuna askari polisi wasaidizi ambao wana uwezo wa kipolisi wa kupekua na kukamata. Wakikamata mtu wanawajibika kumkabidhi kwa polisi au kituo cha polisi

Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,

Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.

Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka

MAMLAKA YA POLISI

Jeshi la polisi lina mamlaka mbalimbali yaliyowekwa kisheria na linapaswa kutumia mamlaka kulingana na taratibu zilizoainishwa katika sheria husika

Polisi wanaweza kukamata, kufanya upekuzi, kushikilia, kumpeleleza mtuhumiwa, kumhoji shahidi na kufanya mahojiano na mtuhumiwa

Pia Kutawanya waandamanaji wenye nia ovu na kuhakikisha usalama katika jamii. Hawafanyi wapendavyo bali hufuata sheria

Matumizi yoyote ya mabaya ya mamlaka au uzembe katika kazi unapelekea utovu wa nidhamu na uhalifu, afisa wa polisi anayetenda hayo anapaswa kuchukuliwa hatua
Hili jeshi lilikuwa taasisi nzuri sana, ila kwa sasa limepoteza credibilty yake mbele ya raia toka lianze kutumika na hawa mashetani ccm.
Kuna haja ya kubadili katiba, hili jeshi liwekwe mbali na wanasiasa, maana yule jamaa anayekulaga mahindi ya kuchoma barabarani bila kunawa mikono ameshaligeuza hili jeshi kama kakikundi chake cha waasi alikotoka nacho kwao burundi.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,220
2,000
Majeshi ya polisi ya nchi za wenzetu ndio yapo kwaajili ya "Ulinzi wa Raia na Mali zao", ila la tanzania lipo kwaajili ya "Ulinzi wa CCM na kujihusisha na Siasa Chafu (Kuteka na Kuwakamata wanasiasa wa upinzani)".

Mambosasa ndio "KATIBU MWENEZI" wa Jeshi La Polisi (a.k.a Polepole wa Jeshi La Polisi).
 
kamdudu

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
801
1,000
Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii

Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua

Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi ambalo lina vikosi, idara na vitengo mbalimbali kama vile vikosi kikosi cha kutuliza ghasia, kikosi cha usalama barabarani, idara ya upelelezi nk

Kulingana na sheria ya Jeshi la Polisi kuna askari polisi wasaidizi ambao wana uwezo wa kipolisi wa kupekua na kukamata. Wakikamata mtu wanawajibika kumkabidhi kwa polisi au kituo cha polisi

Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,

Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.

Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka

MAMLAKA YA POLISI

Jeshi la polisi lina mamlaka mbalimbali yaliyowekwa kisheria na linapaswa kutumia mamlaka kulingana na taratibu zilizoainishwa katika sheria husika

Polisi wanaweza kukamata, kufanya upekuzi, kushikilia, kumpeleleza mtuhumiwa, kumhoji shahidi na kufanya mahojiano na mtuhumiwa

Pia Kutawanya waandamanaji wenye nia ovu na kuhakikisha usalama katika jamii. Hawafanyi wapendavyo bali hufuata sheria

Matumizi yoyote ya mabaya ya mamlaka au uzembe katika kazi unapelekea utovu wa nidhamu na uhalifu, afisa wa polisi anayetenda hayo anapaswa kuchukuliwa hatua
mbona unawahi kutuziba mdomo kwa kuongea maneno ya ajabu ajabu badala uwakilishe tu maoni utuachie sisi tunaojua utendaji wa polisi wenyewe ?????

eti
Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,

Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.

Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka!

mi nasema hiv: Polisi wetu na Majambazi na Wezi na Vibaka tofauti yao ni kidogo sana kwa sababu Polisi wanaiba na kunyanyasa Raia kwa kutumia mamlaka waliyopewa na Serikali hio ndio tofauti tu.

ila tukija katika swala la usalama wa raia na mali zao Polisi ni watu hovyo sana tofauti na kauli mbiu ya Jeshi la Polisi inayosema usalama wa Raia na Mali zao.

Polisi hawafuati sheria wanafanya ya kwao wenyewe ila sio yale wanayoelekezwa na sheria.

aliyewahi kuingia mikononi mwa polisi hata kwa bahati mbaya atakua ananielewa vizuri
 
kamdudu

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
801
1,000
na hii ya kuhoji watu kwa kuwavunja miguu na virungu ndio maelekezo ya sheria ???
 
OttoThyPrince

Member
Jun 24, 2020
30
95
Jeshi la Polisi ipo kwa lengo la kuwahakikishia wananchi usalama wao na mali zao kudumisha amani na utulivu katika jamii

Pia jeshi la polisi lipo ili kubaini na kupambana na uhalifu. Jeshi la Polisi lipo ili kuhakikisha kila mtu anafuata sheria kila hatua

Kwa Tanzania kuna Jeshi moja la Polisi ambalo lina vikosi, idara na vitengo mbalimbali kama vile vikosi kikosi cha kutuliza ghasia, kikosi cha usalama barabarani, idara ya upelelezi nk

Kulingana na sheria ya Jeshi la Polisi kuna askari polisi wasaidizi ambao wana uwezo wa kipolisi wa kupekua na kukamata. Wakikamata mtu wanawajibika kumkabidhi kwa polisi au kituo cha polisi

Sasa kuna wahuni watakuja kupinga halafu wakidhulumiwa au kupata majanga wanakimbilia polisi,

Nakumbuka westgate kuna watu walijificha nyuma ya polisi ili kuokoa uhai wao.

Sasa wewe unayekuja kuponda jiulize, ikitokea mmevamiwa na wahalifu wenye silaha huwa mnawaza nini cha kwanza, chukulia matukio kama ya kuvamiwa benki au kuibiwa hela na vibaka

MAMLAKA YA POLISI

Jeshi la polisi lina mamlaka mbalimbali yaliyowekwa kisheria na linapaswa kutumia mamlaka kulingana na taratibu zilizoainishwa katika sheria husika

Polisi wanaweza kukamata, kufanya upekuzi, kushikilia, kumpeleleza mtuhumiwa, kumhoji shahidi na kufanya mahojiano na mtuhumiwa

Pia Kutawanya waandamanaji wenye nia ovu na kuhakikisha usalama katika jamii. Hawafanyi wapendavyo bali hufuata sheria

Matumizi yoyote ya mabaya ya mamlaka au uzembe katika kazi unapelekea utovu wa nidhamu na uhalifu, afisa wa polisi anayetenda hayo anapaswa kuchukuliwa hatua
Mkiiba kura tutaandamana, msitutishe
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
18,232
2,000
Hawa watu sijawahi kuwapenda wala kuwashirikisha katika shida inayohusiana na jukumu lao. Huwa sina imani nao kwani ni wapenzi sana wa rushwa.

Cha pili mara nyingi matamko yao huwa hayazingatii weledi wa kazi au majukumu yao mengi huwa ni mashinikizo ya kisiasa

hujatingwa mkuu,shukuru Mungu sio utashi wako.

iko siku utatamani uongee nao wakusaidie hata huo msaada wenye makando kando,itakuwa haiwezekani.
katika haya maisha kuna ofisi tunaingia sababu ya matatizo tu.
hospitali + kituo cha polisi.

anayekanyaga hayo maeneo haendi kwa kupenda.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
18,232
2,000
Inawapa kiburi wanajiona na wao ni Jeshi wakati ni Idara yenye silaha

wewe unatia aibu kwa upeo huu wa kufikiri,uliishawahi kujiuliza wewe kuitwa baba na mtoto wako,kunafanya baba yako mzazi kupoteza cheo chake!!!!!kisa nawewe umekua baba???

kama hoja ni silaha uliishawahi kuona kifaru cha polisi tz!!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom