TCAA yaziruhusu Ndege za Kenya kutua Tanzania

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,284
38,312
Mamlaka ya Anga Tanzania imeondoa marufuku ya makampuni ya Ndege za Kenya kutua Tanzania

Hatua hiyo inakuja baada ya Serikali ya Kenya kuruhusu Watanzania kuingia Kenya bila masharti yoyote yale.

1600249746957.png
 
_The united Republic of Tanzania shall always strive to adhere to the fundamental principles of Chicago convention 1944 and Bilateral Air Services Agreement between two states_ ...
 
😆😆😆 Nn kimekupa ukakasi hapo
 
_The united Republic of Tanzania shall always strive to adhere to the fundamental principles of Chicago convention 1944 and Bilateral Air Services Agreement between two states_ ...
_Jamhuri ya muungano wa Tanzania itajitahidi daima kuzingatia kanuni za kimsingi za mkataba wa Chicago 1944 na Mkataba wa Huduma za Anga baina ya nchi mbili_ ...
 
Anytime otherwise a ban to KQ incase of any attempt to block ATCL to ply ur territory!
A wapi!!14 days auarantine ilikua ni manyanyaso tena kwa gharama zenu, hapo kidogo tumebugi ndio manake jiwe kaona enough is enough..

Kumbe ilikua mnadungwa 14 days kutoka kitambo sana usione zile mbwembwe zote km hamna haja ya kuja kenya
 
lets wait n see sina muda wa ku-argue upumbavu unaotaka kuanzisha! BTW si mara ya kwanza tunawafinya!
 
Back
Top Bottom