Haya yanayofanywa na Executive, Parliament na Mahakama yanatia uchungu.
1. Executive-Rais anafanya lolote, lolote nje ya sheria. Mara kadhaa katiba imevunjwa siyo kwa bahati mbaya, bali makusudi. Rais yuko juu ya sheria na Katiba!
2. Parliament: Yanayofanywa na Nduguai ni vituko vya kuvunja...