Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Moja kwa moja kwenye mada...
Ukosoaji wa Lissu kwa Muda mfupi JPM kautekeleza na nchi imeenda.
Nchi nzima inajua licha ya mapungufu ya JPM ni Mtendaji hakuna aliyewahi kumfikia. Ila akiamua jambo wakati mwingine hata Sheria zinawekwa kando kwa maslahi mapana ya taifa. Lissu mjanja wa Sheria...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona.
Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri...
Jana tarehe 01 Oktoba ilikuwa ni Siku ya Wazee duniani. Tumemsikia Magufuli kwenye Kampeni akiwalaghai Wazee na watanzania kwa ujumla wao ati Serikali yake ya CCM inawajali Wazee na inawalinda kwa nguvu zote!
Huo ni urongo na Unafiki mkubwa na pengine ni lugha tu ya kuombea kura!
Kuna matatizo...
Kampuni ya utafiti wa dhahabu ya Indiana Resources iliyopo Australia imeanzisha madai ya kutaka fidia ya dola za kimarekani million 95 (takribani TZS Bilioni 220) dhidi ya Serikali ya Tanzania juu ya unyakuaji haramu wa mradi wa madini ya Nikeli (Ntaka Hill Nickel project) uliopo Kusini...
Dkt. Christopher Fomunyoh, ambaye ni Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika wa shirika la National Democratic Institute (NDI) ambalo linafanya kazi kusaidia na kuimarisha taasisi za kidemokrasia ulimwenguni kupitia ushiriki wa raia, uwazi na uwajibikaji serikalini, ameelezea hali ya kudhorota na kurudi...
Sera ya Magufuli kuwasakama wapinzani na kubinya haki za kiraia na kidemokrasia pia mipango mibaya ya kiuchumi kuiangamiza nchi hiyo iliyokuwa mfano wa kuigwa Afrika
Kulikuwa na dalili Africa imeanza kuvunja mwiko au tuseme baadhi ya nchi za bara hili zinataka kujikwamua na Tanzania ilikuwa...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF.
=======
Tangu tupate Uhuru na tangu zama za Mwalimu Nyerere Tanzania ilijitoa kupigania Haki kwa nchi zote zilizokua zikionewa hapa duniani.
Sio tu nchi kuonewa bali hata jamii yoyote kuonewa Tanzania iliitetea jamii hiyo.
Sio tu nchi na au jamii, bali pia hata mtu binafsi alipokua akionewa huko kwao...
Kuna mgombea mmoja wa kiti cha Urais amekuwa akinukuu katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 (toleo la 20 Juni, 2005) ibara ya 16 mara anapojibu swali la waandishi wa habari akiwemo yule wa BBC wakati wa hardtalk kuhusu masuala ya ushoga. Ibara hiyo inahusu haki ya faragha na...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi ndugu Yeremia Kulwa Maganja, jana Jumatano Septemba 30, 2020, alifanya mkutano kwenye Jimbo la Kigoma Kaskazini viwanja vya Bitale Sokoni kwa lengo la kuomba kura pamoja na kumnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Kigoma...
Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumkata mke wake kiganja cha mkono wa kulia kwa sime kwa madai ya wivu wa kimapenzi.
Nipashe
Ukiona Mwanaume yoyote anafanya 'Upumbavu' na 'Ushamba' huu jua...
Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro.
Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
Hi ni habari katika mtandao wa The Africareport.com ambapo imeripoti kuwa, uchache wa abiria na volume mdogo ya mizigo plus madhara ya COVID19, kumesababisha reli hiyo kuendesheshwa kwa hasara na sasa wanashindwa kulipa mkopo uliotumika kujenga reli hiyo.
Habari hii inaeleza kuwa, tatizo...
MUUNGANO WA TANGANYIKA NA ZANZIBAR UPO KIHALALI
Mahakama ya Jumuiya Afrika Mashariki imetupilia mbali madai ya kupinga uhalali wa Muungano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yaliyofunguliwa na baadhi ya wanaharakati.
Mapema leo Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata ameeleza kuwa mahakama hiyo...
Nimeona video ya mgombea mwenza wa CHADEMA akipigwa mabomu kisa kusimama na kuwasalimia wananchi. Roho imeniuma sana.
Nilikuwa nikiona watu wanajivisha mabomu na kwenda kulipua sehemu nilikuwa nashindwa kuelewa kwa nini mtu anafikia hatua hiyo, ila sasa nimeelewa kwa nini watu hujitoa muhanga...
Air Tanzania was launched not out of necessity but to just to flex its muscle and try show Kenya that they too can own and operate an airline. Now reality is setting in that operating an airline isn't like running a BRT. The same fate will just hit Tanzanian SGR. Welcome to the world of losses...
Mgombea Mwenza wa CHADEMA anapita njiani, anakutana na wananchi, wanataka kumsalimia. Polisi walio kwenye msafara wanatoa mabomu na kuanza kuwapiga wananchi.
Lakini wakati hayo yanafanyika mgombea wa CCM yeye akipita sehemu akakuta wananchi njiani, anaongea nao tena masuala ya kuomba kura...
TANZANIA NI NCHI YA 109 KWA UBORA WA KIJESHI DUNIANI
Jarida la kimataifa la 'Firepower' ambalo linalinganisha uwezo wa vikosi vya majeshi duniani kila mwaka, limetoa orodha ya mataifa 138 pamoja nguvu walizo nazo
Ripoti hiyo imeangalia idadi ya silaha, jeshi na rasilimali fedha ambazo nchi...
Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa litaanza kuchukua hatua kwa wagombea wote ambao hawafuati ratiba ya kampeni iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi jambo ambalo ni kosa kulingana na kanuni za maadili ya vyama vya siasa na uchaguzi.
Nipashe
Laiti Jeshi la Polisi nchini Tanzania lingekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.