Mtanzania aliyekuwa akisafiri kutoka India kuja Tanzania afariki akiwa njiani -Dubai

muhogo_kiks

JF-Expert Member
Dec 4, 2018
273
500
Mtanzania ambaye passport yake imewekwa hapa amefariki akiwa njiani kuja Tanzania kutoka India. Aliugua ghafla akiwa Dubai na amezikwa huko huko. Ni kwenye ile ndege yetu iliyoenda kuwachukua.
View attachment 1455072
Fake news! ! Ndege inaruka moja kwa moja mpaka dar. Au unasema ilifanya emergency landing Dubai. And show us the proof! ! Kwamba ilifanya hiyo emergency landing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
10,227
2,000
RIP mtanzania mwenzetu. Ina maana ile kauli ya Mh. Rais ya kuwasitiri wenzetu katika makao ya milele sehemu za asili au makaazi yao Tanzania bado haitekelezeki.

Maana ingewezekana kabisa maiti iletwe Tanzania kufuatana na taratibu za IATA na kama kweli alifia akiwa angani ndani ya ATCL..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom