tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania Current Account Deficit Narrows

    TANZANIA current account narrowed to a deficit of 893.7 million US dollars in the year ending October 2020, more than a half of the deficit of 1,615.2 million US dollars recorded in the corresponding period last year on account of improved increase in export of goods, combined with decrease in...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania EABL picks Kenyan to head its operations in Kenya, Uganda and Tanzania

    East African Breweries Limited has appointed Jane Karuku as the new Group managing director, putting her in charge of the operations in Kenya, Uganda and Tanzania. The appointment, which takes effect on January 1, 2021, is a promotion for Ms Karuku who has heading EABL’s subsidiary — Kenya...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Tanzania yatajwa katika suala la Utawala Bora na Usalama

    RIPOTI ya kwanza ya mwaka 2019 ya Mpango wa Afrika wa Kujitathmini Kiutawala bora APRM umebaini Tanzania kufanya vizuri kwenye suala la ulinzi na usalama mambo ambayo yametajwa na ripoti hiyo kuwa yamekuwepo tangu kupata uhuru. Ripoti hiyo imeipongeza Tanzania katika kusimamia misingi ya haki...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania raha sana ila mauaji na mateso wakati wa uchaguzi yanatuharibia aina ya maisha yetu

    Wacheni masihara Tanzania kama Tanzania ina maisha ya raha yaliyojaa undugu baina ya watu wa rika mbalimbali, matajiri na masikini alie na kazi na asie na kazi, kwa kweli tumeridhika na hali zetu kama nchi na raia wake. Tulizoea uchaguzi kama moja ya starehe za ndani ya nchi kwa miaka kumi au...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu muhimu kwa Taifa wanajitenga na siasa Tanzania?

    Duniani wanasiasa ni mchanganyiko wa makundi ya watu waliopo kwenye jamii, kukosekana kwa makundi haya nikukosekana kwa washauri wazuri ndani ya Bunge. Bunge linapaswa liwe na wastaafu wa Jeshi la Wananchi hasa senior officials, senior Government official wa aina ya Mkuchika, wafanyabiashara...
  6. JamiiForums Tanzania Siri imefichuka: Mishahara ya Wabunge wa Tanzania ni kuanzia milioni 11 kwa mwezi

    Habari wana JF, Siku zote nimekuwa nikijiuliza jambo moja hapa Tz kwanini Ma Profesa, Wahandisi na wataalamu wabobezi kwenye fani mbalimbali wanaamua kuzipa kisogo fani zao na kukimbilia kwenye siasa hasa ubunge? Sasa leo Kisalala mbunge wa jimbo la Sumve amenipatia jibu. Wanafuata maslahi...
  7. JamiiForums Tanzania Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums. Ndugu zangu watanzania; Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6? Mbali na D.R.C nchi yetu ya Tanzania pia imepakana na...
  8. JamiiForums Tanzania Hoja: Bidhaa zote zinazosajiliwa Tanzania ziwe na maelezo ya mtumiaji kwa lugha ya Kiswahili

    Nimeonelea nilete hii mada kwa mara ya pili. Maelezo kwa mtumiaji ni muhimu sana hasa kwa vitu kama dawa. Sasa unakuta bidhaa inauzwa Tanzania na nyingine inatengenezwa hapahapa lakini inakuwa na maelezo ya Kiingereza, Kifaransa, kiarabu na lugha zingine lakini si Kiswahili. Watumiaji wengi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz 'Waaah' Ft Koffi Olomide

    Habarini. Huyu Kijana Imelazimika Nimsalimie “Shikamoo ” Hata Kama ninamzidi Umri. Salaam Hii inakuja Baada Ya Kusikiliza “WAAAH” aliyo Mshirikisha Koffi. Hili ni bonge moja la Sebene kwa Kila mpenda Sebene analazimika kumsalimia Diamond “Shikamoo ” Hata Kama Umemzidi Umri
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania is behind, Kenya, Uganda and Rwanda in East Africa innovation

    Kenya is the second most innovative in sub-Saharan Africa, behind South Africa and ahead of Mauritius, according to the World Intellectual Property Organisation’s Global Innovation Index 2019. Ease of doing business ranking (EAST AFRICA) 1. Kenya — Rank 56 2. Uganda — Rank 116 3. Tanzania —...
  11. K

    JamiiForums Tanzania App developer wa Tanzania kuweni serious basi

    ninalazimika kuanzisha huu Uzi baada ya kupoteza muda wangu kudownload App ya dogo mmoja wa kitanzania inaitwa ILAPESA nikili dogo kaja na wazo zuri lakini namna alivyoharakisha kutengeneza app yake inawafanya walioidownload waache kuitumia au waifute kabisa kama nilivyofanya mimi App iko...
  12. JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo yaridhia kushiriki kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar na Vyombo vya Uwakilishi

    ADO SHAIBU: Kamati kuu ilikutana jana jijini Dar es Saalam Tarehe 5 Disemba katika hoteli ya Onomo ambayo iko Posta kwa ajili ya kutafakari hali ya kisiasa inayoendelewa nchini kwetu. Tumetoka katika uchaguzi uliofanyika tarehe 28 ya mwezi Oktoba, uchaguzi ambao ulitawaliwa na uchafuzi mkubwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea Bara na Visiwani bado una hamu na Siasa za Tanzania?

    Sina muda wa kuandika magazeti. Bara kuna kundi limechukua pesa ili wasaliti wenzao waende bungeni. Bado mna imani nao? Kutokana na figisu za uchaguzi bado una imani na siasa? Visiwani Kulikua na vurugu kuliko bara. Mara uchaguzi tar 27 mara tar 28 changanya na kura fake sijui watu kupiga na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Baraza jipya la Mawaziri, mnajua kwanini Tanzania hatuendelei?

    Miradi na mikakati ya miradi hii iliyofeli ndani ya miaka kumi ni kielelezo tosha kwamba hatutaendelea Kama tusipoamua kujitathimini na kusimamia mambo machache. 1. Tulitumia fedha nyingi sana kwenye agenda ya Big result Now, tukanunua trektaa na vitendea kazi vingi lakini leo hii hatusikii big...
  15. JamiiForums Tanzania Kipi kimemfanya Geofrey Mwambe aliyekuwa Mkurugenzi (Director) wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kuteuliwa kuwa Waziri wa Biashara na Viwanda?

    Wakuu amani iwe nanyi, Jana Mh Rais ameteua Baraza la Mawaziri na miongoni wa Mawaziri walioteuliwa ni aliyekuwa Mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji Tanzania Mr Geoffrey Mwambe. Geofrey Mwambe amekuwa mkutugenzi wa TIC kwa kipindi cha miaka mitatu na katika kipindi hicho Mr Mwambe alichemka...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwenye Uchumi wa Tanzania?

    Kuna watu wenye maoni tofauti kuhusu hali ya kiuchumi ya Tanzania. Kuna wanaofikiri kwamba uchumi wetu kama taifa unayumba na kuna ambao wanasema kwamba uchumi unakua. Katika hali ya kawaida kabisa ni lazima kila anayetoa hoja awe na sababu za msingi na ambazo zitahakikisha kwamba hoja...
  17. JamiiForums Tanzania Rose Manfere, Mshindi wa taji la Miss Tanzania 2020

    Mashindano ya taji la Miss Tanzania kwa mwaka 2020 yamefika tamati leo tarehe 5/12/2020 na Mshindi wake kutangazwa kutokana na maoni ya majaji na wapiga kura. Jina lake anaitwa Rose Manfere na namba yake ya ushiriki ilikuwa ni namba 14. Huyu ndiye ataiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Safari – Tour Operator General Manager

    First Class Africa (FCA) is the premier provider of African experience. At First Class Africa, we are a vibrant team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now seeking a highly regarded hands on General Manager to...
  19. JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu, Chamwino mkoani Dodoma kuhusu Uteuzi uliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli leo tarehe 05 Desemba 2020 ======== Rais Magufuli pia amewateua kuwa Wabunge Dkt. Dorothy Gwajima(Alikuwa Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI -...
  20. JamiiForums Tanzania The Economist na Mauongo Yao Kuihusu Tanzania: Waidanganya Dunia Tuna Torture Wakimbizi! Wanapata Faida Gani? Kwanini Tunanyamazia Uongo Huu?

    Wanabodi, Kila mara nasisitiza humu, uongo ukisemwa sana, na kuachwa kujirudia rudia bila kukanushwa, mwishowe uongo huo hugeuka ukweli. Na uongo ambao ni uongo mtupu, ukisemwa kuwa kitu fulani kitatokea, tusipo kanusha uongo huo, halafu hicho kitu kikaja kutokea kweli, then, kufuatia kuanuni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…