tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Accumen Mo

    Serikali ishushe hadhi Jiji la Tanga kwa vile haina mpango wa kufanya lolote kusapoti mji huo

    Habari ndugu zangu wa JF, Kwanza niseme ile haki, serikali ya Tanzania haitamabui uwepo wa jiji la Tanga katika uhalisia bali linabaki katika maneno. Huu ni ukweli ambao watu wengi hawaufahamu, ushahidi kutoka ndani kabisa ni kwamba serikali haina mpango na wala haitambui uwepo wa jiji hilo...
  2. Wadiz

    Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kuwa na Mawaziri wengi kuliko mikoa mingine?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  3. Wadiz

    Kwanini Rais wa Tanzania amefanya upendeleo wa makusudi kwa mikoa ya Pwani na Tanga kwenye Baraza la Mawaziri?

    Shalom, Tafadhari nakaribisha mjadala wa wazi katika hili. Rais amethubutu vipi kuvunja kwa makusudi utaratibu wa uwiano wa uwakilishi kimimkoa na kikanda katika uteuzi wa Baraza la Mawaziri, kuna udhaifu gani dhidi ushauri katika misingi ya mila na desturi. Kuna nini nyuma upendeleo huo wa...
  4. K

    Natamani Tanzania Bara tungekuwa na Mahakama iliyo huru na yenye maamuzi thabiti kama iliyopo Zanzibar

    Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar. Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
  5. kekule benzene

    Timu za Tanzania tuna cha kujifunza kwenye upigaji wa penati

    Pamoja na yanga kufanyiwa mtimanyongo kwenye goli la Aziz Ki, Lazima tukubali kuwa timu zetu za Tanzania zina udhaifu mkubwa kwenye upigaji penati. Inafika hatua, tukifika kwenye mikwaju ya penati tunahesabu kuwa tumeshatolewa tayari na mara nyingi tunashinda pale ambapo kipa atasave mikwaju...
  6. mdukuzi

    Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  7. TUJITEGEMEE

    Chama Cha Wafugaji Tanzania (CCWT)-Kipo?

    Kuna nyuzi na mabandiko kadhaa ya masuala ya ufugaji hapa Jukwaani. Na kwa wingi wa maelezo ya wafugaji hapa jukwaani na kwenye mitandao mingine nauona umuhimu wa kuwa na Chama cha wafugaji nchini ili wasemewe mahitaji Yao na mapendekezo Yao hasa katika kuimarisha umoja na Amani baina Yao na...
  8. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  9. Mhaya

    Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  10. Kirchhoff

    Smart TV yenye DVB T2/S2 Ina Faida gani Kwa Soko la Tanzania ikiwa Channels zimezuiliwa kuonekana kwa kutumia builtin Decorder? Wizara Husika?

    Kuna wakati Mwaka 2019 nilitumia TCL TV ikiwa na builtin Decorder DVB T/T2 na ilikuwa nikiunga antenna napata channel mbalimbali Bure. Ni muda Sasa TV hiyo Toka iharibike. Sasa katika uchunguzi naambiwa hizo channel Sasa hazipatikani zimezuiliwa na Serikali. Hivi Sasa Kuna TV nyingi sana...
  11. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    Kesho tarehe 07/04/2024 ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D. P. WORLD nchini Tanzania

    Kesho ni siku rasmi ya Uzinduzi wa shughuli za D P. WORLD nchini Tanzania. Tayari wameshaleta watu wao tayari kwa kuanza kazi baada ya mamia ya wafanyakazi wa TPA kugoma kujiunga na D. P. World. Tayari D. P. World wamepewa vitendea kazi vyote vilivyokuwa vya TPA zikiwemo mashine na mitambo...
  12. General Nguli

    High income skills kwa mazingira ya nchi yangu Tanzania

    Wakubwa poleni na majukumu mbalimbali, hata wale mashabiki wezangu poleni pia. Niende direct kwenye uhitaji wa msaada wangu. Nimekuwa mfuatiliaji na mtafutaji wa haya maisha yetu. 1. Nina shida ya kujua ni taaluma gani hapa Tanzania ukiamua kuweka nguvu kubwa itaweza kukulipa bila kujali...
  13. W

    Tuzo za muziki tanzania (tma) kufanyika juni 15, 2024

    Baraza la Sanaa Taifa (Basata), limetangaza kuwa Tuzo za Muziki Tanzania 'Tanzania Music Awards' (TMA), 2023/2024, zinatarajiwa kufanyika Juni 15 2024. Kauli mbiu ikiwa ni "Kubadilisha tasnia ya Tuzo za Muziki Tanzania na Afrika kwa namna ambavyo haijawahi kutokea". Akizungumza na waandishi wa...
  14. Dr Matola PhD

    Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  15. LIKUD

    Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  16. Nyamgluu

    Wanazuoni wa Tanzania, Janga la KiTaifa

    Neno la Kuhuzunisha la Wanazuoni wa Tanzania: Janga la Kitaifa (Imetafsiriwa kwa kutumia Akili Tarakilishi) Baada ya kupata uhuru wake, Tanzania iliweka njia kubwa kuelekea mageuzi ya elimu ya kina, yaliyotokana na dhana za kuvutia za Rais wake wa kwanza. Aliirithi taifa lenye uhaba wa...
  17. Prophet of Nations

    Unawezaje kuanza ujenzi wa nyumba yako Tanzania?

    Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
  18. ndege JOHN

    Jinsi ya kunywa wine yako

    Unapoitia mdomoni unaiskilizia fleva yake unaivuta kama Kwa sekunde tano mdomoni kisha unaipitisha taratibu katika koo na kuisikilizia Ladha ya kipekee ya mvinyo. Kwanini tunajiumiza Kwa mabia na mapombe makali wakati kuna kinywaji Safi cha wine hata ukijipatia vi image vyako vitatu vya baridi...
  19. Roving Journalist

    LHRC: Sheria Mpya za Uchaguzi zimeacha maoni ya Wadau kuhusu maamuzi ya Tume ya Uchaguzi kuhojiwa Mahakamani

    Siku chache baada ya uwepo wa taarifa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kusaini miswaada ya Sheria za Uchaguzi na kutangazwa kuwa Sheria, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC, kimeeleza kuwa Sheria hiyo hajazingatia baadhi ya mambo muhumu kama ilivyoshauriwa...
Back
Top Bottom