Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
MWANZA — More than 600 youths in Kwimba District have participated in a community-based initiative aimed at strengthening efforts to prevent violence, address stigma and promote greater awareness of child protection.
The programme, implemented by the non-governmental organisation Amani Girls...
Yaani inasambaza vithibitisho ili kumuaibisha shahidi, inarusha mitandaoni kupitia akaunti zisizo julikana ili kumuaibisha shahidi , lakini mwisho wa siku wana aibika wao tena.
Tuna jeshi bovu la Polisi na Mahakama ya Hovyo dunia nzima hakuna ni Tanzania tu
Ni kipindi cha wiki kadhaa nikitumia huduma ya internet ya kampuni hii ya simu.
Muda mwingi umepotea nikisubiri huduma, mtandao unazunguka tu. Nimepata harass ya muda, Mali na saikolojia imetetema kisa kutokamilika kazi zangu kwa muda unaotakiwa.
Nimekusanya sms zote mlizonitumia, mkiniomba...
Asubuhi ukiingia Twitter/X kila Mtanzania aliyepo huko ameposti Tweet ya maombi kushukuru mungu kuamka salama, maombi au sala ya kuomba kwa kwa ajili ya siku mpya, nukuu za maandiko ya Biblia na tweets za kuwaambia watu wamshukuru mungu au tunaanza na mungu.
Tanzania inaongoza kwa kutoza gharama kubwa ya kusafiri kwenye uwanja wa ndege duniani.
Serikali imeongeza gharama hadi kufikia $45 na $90 kwa return ticket wakati nchi tajiri kama USA wanatoka $10, kitu cha ajabu sijasikia vijana wetu wakipongeza Mama kuupiga mwingi. Kabla ziliibuka tetesi za...
Hivi Umeshawahi kuona simu ya batani ambayo Ina uwezo wa kuchaji smartphone yako? 😱
Najua bado hujawahi kukutana nayo nakuambia tu Nokia ya zamani imerudi na idea ya kipekee imeleta simu Ya kushangaza yenye uwezo wa kuchaji simu yako 👋.
Inaitwa Nokia 300 Charge imekuja na betri ya 3,700mAh...
Ukikaa chini ukatafakari historia ya Tanzania, ni vigumu kuizungumza bila kuitaja CCM. Chama hiki kina historia ndefu sana katika safari ya taifa letu.
Tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977, CCM imekuwa sehemu ya uongozi na shughuli mbalimbali za kisiasa na kijamii nchini. Kwa miaka yote hiyo...
Wasalaam,
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, kuna jambo moja ambalo sidhani kama tunaweza kulikwepa kama taifa, Tanzania iko kwenye mjadala wa aina gani ya siasa tunayotaka kwa miaka ijayo?
CCM imeendelea kuwa chama dola baada ya Samia kutangazwa mshindi kwa asilimia karibu 98% kwenye...
Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM.
CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya taifa letu. Ni chama kilichokuwepo katika hatua mbalimbali za ujenzi wa Tanzania na kinaendelea...
Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja 😃.
Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani...
Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini Tanzania.
Matukio ya aina hii yanaweza kugeuza mpira kuwa uhasama, jambo ambalo ni hatari zaidi katika...
Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko tupo kama kondoo wa miaka 1200’s BC
Nchi ina upuuzi mwingi nikianza kuandika ntatumia mwaka mzima...
Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya...
WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA
Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi.
Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
Kifupi CCM sasa haina nguvu yoyote ndani ya Tanzania. Huko ni kupokea Amri tu, kuimba mapambio kumsifu raisi na kutokuhoji na kuuliza chochote kabisa. Wameacha watu waoga tupu CCM.
Tunanafasi ya kuwaamsha wana CCM kuungana na Wananchi wazalendo kurudisha nchi na mamlaka yake kwa Wananchi wa...
Mkurugenzi wa Miundombinu wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa ripoti ya ESG ya mwaka 2026.
Vodacom Tanzania has released its FY2026 ESG Report, where by emissions are down 24%, with two million litres less diesel burned after 1,808...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.