Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Wasalaam,
Baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, kuna jambo moja ambalo sidhani kama tunaweza kulikwepa kama taifa, Tanzania iko kwenye mjadala wa aina gani ya siasa tunayotaka kwa miaka ijayo?
CCM imeendelea kuwa chama dola baada ya Samia kutangazwa mshindi kwa asilimia karibu 98% kwenye...
Kama unaipenda Tanzania, kama unaamini katika amani na maendeleo, na kama una moyo wa kuona nchi yetu ikiendelea kusonga mbele, karibu CCM.
CCM ni chama chenye historia ndefu katika safari ya taifa letu. Ni chama kilichokuwepo katika hatua mbalimbali za ujenzi wa Tanzania na kinaendelea...
Umeshawahi kujiuliza kama Tanzania tuna kampuni ambayo inahusika na kutengeneza bidhaa mbalimbali za Teknolojia ikiwemo smartphone Yani simu janja 😃.
Ndiyo Tanzania Kuna kampuni inayohusika na biashara za simu za mkononi inaitwa Raddy Eletronics ni kiwanda kilichopo mkuranga mkoani Pwani...
Mpira sio uadui; mpira ni furaha, burudani na umoja. Kitendo kinachodaiwa kufanywa na kiongozi wa Yanga cha kumpiga ngumi kocha wa Gaborone United kinaharibu taswira ya mpira wa miguu nchini Tanzania.
Matukio ya aina hii yanaweza kugeuza mpira kuwa uhasama, jambo ambalo ni hatari zaidi katika...
Guys hii nchi kwa sasa ni kituko. Nchi ipo mikononi mwa watu wachache sana tena wendawazimu. Yaani watu wenye upeo mdogo wa akili ndo wanaongoza hii nchi aisee ni kituko. Raia wenyewe ni kituko tupo kama kondoo wa miaka 1200’s BC
Nchi ina upuuzi mwingi nikianza kuandika ntatumia mwaka mzima...
Katika hali ya kushangaza kabisa unatoa matamko ambayo yanashangaza na kusikitisha sana.
Mufti unataka viongozi wasikae kimya raisi akitunwa ila husemi katunwa na nani?
Mufti unataka viongozi wote wa dini wachukue hatua kwa wanao mtu kama raisi bila kusema ni hatua gan
Mufti huoni madhara ya...
WANAFUNZI 150 WA KITANZANIA KUNUFAIKA NA FURSA YA ELIMU YA JUU ALGERIA
Tanzania imepata nafasi 150 za ufadhili wa masomo ya elimu ya juu nchini Algeria kwa mwaka 2026, zikilenga wanafunzi waliofanya vizuri zaidi katika masomo ya sayansi.
Akizungumza na waandishi wa habari Septemba 11 jijini...
Kifupi CCM sasa haina nguvu yoyote ndani ya Tanzania. Huko ni kupokea Amri tu, kuimba mapambio kumsifu raisi na kutokuhoji na kuuliza chochote kabisa. Wameacha watu waoga tupu CCM.
Tunanafasi ya kuwaamsha wana CCM kuungana na Wananchi wazalendo kurudisha nchi na mamlaka yake kwa Wananchi wa...
Mkurugenzi wa Miundombinu wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa uzinduzi wa ripoti ya ESG ya mwaka 2026.
Vodacom Tanzania has released its FY2026 ESG Report, where by emissions are down 24%, with two million litres less diesel burned after 1,808...
Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine?
Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
Hello wakuu natafuta mtu yoyote amba ana ujuzi wa leseni za Tanzania Gaming Board Jinsi zinavyofanya kazi, nimeshatuma propasal ya suala langu TGB nimeambiwa inaweza kuchukua wiki tatu hadi mwezi so wakati inafanyiwa kazi nataka nikutane na mtu mwenye uzoefu anipe elimu zaidi, nitashukuru sana...
1. Maendeleo kutoka kwenye kodi zetu - Picha linaanza mradi na pesa vyote kwa pamoja vinaonekana ni vya kiongozi, utasikia kiongozi akijitapa eti ni yeye anatoa pesa, atajisifu ni mradi wake utafikiri anajenga nyumba yake kwa pesa zake wakati pesa ni kutoka kwenye kodi za wananchi, na ukileta...
Labda mniambie wajuvi ambao mnajua jamii nyingi za kitanzania na makabila mbalimbali tamaduni zao
Na utu uzima wangu huu ni wapi, ambapo mwanaume anamsujudia mwanamke? Tunaacha kumpigia magoti Mungu alieumba Dunia hii tunampigia magoti mwanadamu? Yan na wewe umekaa kwenye kiti umejitanua kabisa...
Nimeona leo tangazo la simu za Raddy ambazo zinatengenezwa Tanzania. Ni hatua nzuri na nimefurahi kuona simu hizi za hapahapa Tz, maana wanasema kiwanda kimeajiri watz zaidi ya 1000 ila natamani wangeimprove product zao
Kwa mfano nimeona hii simu yao inaitwa "Raddy Janja Pro" inauzwa 350,000/=...
Habari ya wakati huu.
Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi.
1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp
2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T)
3. Generators ( 17kva - 550kva )
4. Wheel loaders ( 3T & 5T)
5. Excavators...
agriculture
china
construction
dar es salaam
dsm
excavator
forklift
gari
generator
industries
machinery
magari miradi
mitambo
tanzania
tractor
tractors kubota
trucks
ubungo
urafiki
Does Tanzania’s current democratic governance system genuinely serve the interests of its citizens and provide the best foundation for Tanzania’s future development?
=======================
Motion states that “This House believes that Tanzania’s current democratic governance system is effective...
7 Days Tanzania Private Safari Experience with Widerange African Safaris
This carefully designed 7 Days Tanzania Private Safari Experience combines spectacular wildlife, breathtaking landscapes, authentic African culture, and unforgettable game drives. It is ideal for couples, families...
Baada ya kuwepo kwa kampeni na gumzo kubwa mtandaoni la "Free Juma Jux", msanii nguli wa muziki wa Afro-R&B nchini, Juma Jux, hatimaye amerejea nchini Tanzania.
Urejeo wa msanii huyo umeibua msisimko mkubwa miongoni mwa mashabiki, hasa baada ya kuonekana akihudhuria usiku wa Henna wa msanii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.