tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni upi kuhusu picha zinazoenea za jezi za Tanzania kwenye Afcon?

    Kama ni kweli zile tunazoziona kwenye social media ndio Jezi watakazovaa timu ya Taifa kwenye Afcon basi tutakuwa na tatizo la afya ya akili. Waziri Makonda usikubali huu usanii utakaopelekea kuharibu saikolojia ya wachezaji uwanjani. Mbona uzi wa Yanga ni mzuri na una kiwango iweje uzi wa Taifa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tanzania kwa gharama zake ijenge SGR kwenda Kampala Uganda, Kigali Rwanda, Kinshasa Congo, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia, Maputo Msumbiji

    Maana yake kwenye mkakati wa Dira ya miaka 20 ijayoo ijenge SGR kwa gharama zake ikiziunganisha Uganda, Rwanda, Burundi, Msumbiji, Zambia, Malawi lkn pia iboreshe intensively nishati ya umeme ishushe gharama ya nishati ya umeme kwa kiwango kikubwa sana na pia aggressively isambaze SGR kwenda...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania kuna wanawake watamu kuzidi kabila la wanyakyusa?

    Yaani mtoto wa kinyaki Amenye ananichanganya sana wakuu kuna kipindi nahisi kama nimelishwa limbwata vile ana shepu nzuri sana makalio yanayovutia ana rangi nyeusi ya kupendeza kimo chake ni futi tano. Picha linaanza saa mbili jioni narudi zangu home namkuta jikoni na kanga moja anamalizia...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema

    Mteswaji Lissu ana furaha kuliko Mtesaji Samia! Maisha tenda wema. Utawafukuza na kuwafunga lakini Mungu hawezi kukupa furaha mpaka utende wema na haki. Hili ni somo pesa zote , wizi wote wa kura, na nguvu za kuiba lakini huna furaha maana maisha ni zaidi ya pesa na madaraka
  5. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Je bei za nyumba na ardhi hapa Tanzania zina akisi thamani halisi au kina "ujanja ujanja" ndani yake??

    2 bedroom furnished appartment inauzwa Westland, Nairobi kwa KES 9.5M sawa na 190M za kitanzania. Vyumba viwili vya kulala, sebule, dining, jiko, 3 bathrooms, laundry area na balcony. Yani kwa 190M unakabidhiwa funguo na vyote vilivyomo. Kwa wanaofahamu Westland ni prime area kama Upanga au...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania

    Wana habari na wasanii wamechangia kutufikisha hapa! Mtazama na Meli Tanzania. Wanahabari wamebaki kuwa machawa na wasanii badala ya kufikiria kukuza biashara wanafikiria kuwa machawa.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kama matokeo ya wanaomaliza JKT ndio hawa vijana wanaojirekodi, sipeleki watoto wangu JKT

    Nimesikiliza video za hawa vijana ambao ndio wanaomaliza mafunzo ya JKT wakiongelea kuhusu mtu atakaendamana atatolewa haja kubwa, au atoe Shs 20,000 nk. Imenisikitisha sana. Japo watu wanasema vijana hao ni mihemuko yao bonafsi, sikubali hilo hata kidogo. Haiwezekani vjana wote hao, wa kike...
  8. N

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 Special Thread, Karibu utoe maoni yako

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Nini kifanywe au kiachwe (kisifanywe) ili mashindano haya yafane? Karibu sana utoe maoni yako Mtanzania mwenzangu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kenya vina jisimamia kwa uhuru sana sio kama vya Tanzania hasa pale Jalalani

    Chuo kikuu cha Jomo Kenyatta cha Sayansi na Teknolojia kime kataa kuwa Mbunge anaitwa Barasa sio mhitimu wa pale. Hii Autonomy yao vyuo vikuu vya Kenya nimeipenda. Je ingekuwa hapa kwetu mbunge au kiongozi amefoji elimu yake kwenye CV vingeweza kuweka wazi ?
  10. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania yawalenga wawekezaji wa Ujerumani kwa teknolojia, ajira

    Serikali imesema uwekezaji kutoka kwa makampuni ya kigeni, hususan Ujerumani, haupaswi kuangaliwa kwa mtazamo wa mtaji unaoingia nchini pekee, bali pia teknolojia, ajira na fursa kwa wafanyabiashara wadogo na vijana wanaojihusisha na teknolojia. Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA

    SAMIA NA MAPINDUZI YA BANDARI ZA TANZANIA Kuna uwekezaji ambao unaonekana kwenye majengo, magati, reli na mitambo. Lakini kuna uwekezaji mwingine ambao thamani yake kubwa haionekani mara moja kwa macho, ni uwekezaji unaobadilisha namna nchi inavyounganishwa na biashara ya kikanda, namna mizigo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kuishi tanzania kazi gani inalipa ulaya nitafute cheti!

    List of Professions Doctor Nurse Pharmacist Dentist Teacher Professor Lawyer Accountant Engineer Architect Software developer Data scientist Graphic designer Journalist Writer Photographer Pilot Air traffic controller Police officer Firefighter Soldier Electrician Plumber Carpenter Mechanic...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee mwanadamu anapewa tender ya Job Creation

    Anaishia kusifia "Hongera kwa kumiliki kiwanda cha "Think big start small"
  14. Yesha

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe Yapata Hekta 10, Kwala kwa Ajili ya Kujenga Bandari Kavu

    Zimbabwe imefanikiwa kupata hekta 10 za ardhi katika eneo la Kwala, Mkoani Pwani nchini Tanzania, kwa ajili ya kujenga kituo maalum cha bandari kavu. Hatua hii inaipa nchi hiyo isiyo na pwani fursa ya moja kwa moja katika Ukanda wa Kati (Central Corridor) na njia mbadala ya kufika baharini...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  16. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Kutoka AI: Tanzania inaweza kusimamishwa uanachama Jumuiya ya madola kisa Tundu Lissu

    Nikifahamu kuwa vikao vya Jumuiya ya madola vinaanza kesho nchini Marekani nimemuuliza AI swali kuwa: SWALI: Nini kitaipata Tanzania ikiwa imekaidi maazimio ya Jumuiya ya madola ya kuitaka Tanzania imuachie Tundu Lissu? MAJIBU YA AI: Ikiwa serikali ya Tanzania itakaidi kabisa agizo la...
  17. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kashfa na migogoro inayoendelea nchini, kuna uwezekano mkubwa ya kukubalika kwa kiongozi Tanzania

    Kwa hizi kashfa zinazoendelea nchini—ikiwemo tuhuma za utekaji, mauaji, kesi za uhaini, kwenda EDA, wizi, rushwa na ajali nyingi za barabarani—itakuwa ngumu sana kwa kiongozi mwanamke kukubalika kwa urahisi na wananchi wa Tanzania. Hii ni kwa sababu matukio haya yanapojikusanya kwa wakati...
  18. A

    JamiiForums Tanzania AI Disinformation in Tanzania

    Hello, fellow Tanzanians! I'm currently at the Tanzania Students Achievement Foundation (TanSAF) [a non-profit that helps high-achieving, generally low-income post-high school students secure spots at several of the world's prestigious universities such as MIT, Harvard, Stanford, etc.] where...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ndejembi aongoza Kikao cha maandalizi cha ujumbe wa Tanzania Vienna

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi akiongoza kikao cha Maandalizi cha Viongozi na Wataalamu mbalimbali kutoka Tanzania, wanaoshiriki Jukwaa la Kisayansi la Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomu (IAEA Scientific Forum) mara baada ya kuwasili Vienna nchini...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Rais yupi aliyewahi kutawala Tanganyika na Tanzania aliyewahi kupunguza hizi taarifa

    Joseph Igumba Mwakabana — askari mstaafu. Mwili wake ulipatikana na mazishi yakafanyika baada ya ibada Kinyerezi
Back
Top Bottom