Kwanza alikataa kukutana na Samia alipokuwa kenya ndiyo maana Rutto akatumia akili hajamwambia Mama lakini Mama ni mzito wa kusoma nyakati hajamuelewa genius Rutto! Sasa Dangote kasema mwenyewe ni bora kujenga kiwanda Mombasa kuliko Tanzania. Vilevile anajua watawala wakina kikwete na Samia ni wala rushwa naye hataki kutoa rushwa ndiyo msishangae wakina Mama wali punic kwasababu hawajajipanga bado kujua manufaa yao binafsi ya mradi huo maana kila kitu kwao ni deal!