Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 528
- 498
Tunaposema Tanzania Hatumaanishi Watu Tu Bali Tunaenda Mbali Na Kuangalia vilivyomo pia.
Kulinda Tanzania Sio Tu Namna Tujuavyo Tutambue pia mchango Wa Wengine Ambao wao Hawajiwezi Katika Misukosuko,karaha,kimbiakimbia na Mateso Mengine.
Kwa Nini Tanzania Tunaitwa Nchi Ya Amani?
1. Tunao Utulivu Katika Amani Yetu Kwa muda mrefu
2. Upendo Baina Yetu Na Majirani Zetu
3. Mengine mengi tu.
Matukio yaliyopo TANZANIA Si Kwa sababu Ya Serikali Bali Pia Mmomonyoko Wa Maadili Kwa Vijana wetu Wa kitanzania