Matatizo yanayowakumba wafanyaboashara Tanzania

Matatizo yanayowakumba wafanyaboashara Tanzania

Joined
Jun 15, 2019
Posts
79
Reaction score
104
Wana JF, najua tuna wafanyabiashara wengi sana humu JF, leo natamani tujadili kwa kina matatizo yanayowakumba wafanyabiashara na wajasiriamali wengi sana nchini. Kwa upande wangu suala zima la kujua masoko na kutafuta wateja limekuwa msumari wa moto kwa wafanyabiashara wengi na wajasiriamali.

Unakuta mtu ana mtaji ndio, kama kijana anatamani aingie kwenye biashara na ana roho ya biashara au ujasiriamali (future businessperson or entrepreneur) lakini upatikanaji wa connection ni mtihani sana. Na kwa wengine ambao wamekwisha kuanza biashara, machimbo pamoja na wateja ni mtihani sana, sasa basi, leo naomba watu wajadili changamoto pamoja na baadhi ya suluhisho (mawazo) ili wote tujifunze. (no offence)
 
Kuanzia chini ni mbinu nzuri sana na itakufikisha mbali. Kutaka kuanza sawa na uliowakuta katika biashara yako hapo ndipo ugumu unaanzia.
vipi kama tukiwa na mfumo wa kufanya watu waweze kuendesha biashara zao kirahisi zaidi, ila inakuwa limited number ya watu? Inaweza kusaidia kuwainua wengine?
 
Back
Top Bottom