tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mtumbatu

    JamiiForums Tanzania Tanzania na mgogoro wa bab el mandeb

    Tanzania Ports Authority (TPA) na Zanzibar Ports Authority (ZPA) na hili mkalitazame, tangu mgogogoro wa Bab el Mandeb uanze na meli kuzunguka bara la la Afrika kwenda Ulaya (Mediterranean) na Marekani kupitia bahari za Tanzania (Indian Oceana), jee kuna ongezeko la kiasi gani la meli za...
  2. Kindeena

    JamiiForums Tanzania Nape Mosses Nnauye ni mwanafunzi halali wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

  3. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu juu ya suala la Tanzania kujiandaa kuwafanya watu wake kuwa raia wa Dunia "Global citizen"

    Tanzania inatazamia kuhakikisha raia wake wanatoka nje ya boksi na kushiriki kikamilifu bila kujifungia mipaka juu ya ustawi wa Dunia, yaani Raia wa Dunia. Kupitia jukwaa hili nimetamani sana kutoa mtazamo wangu ambao unaweza pia kuwa ushauri. Lengo ni kuhakikisha ushiriki wetu kama Taifa...
  4. Madwari Madwari

    JamiiForums Tanzania Nchi haimthamini mtu anayejituma na anaekomaa na taaluma

    Nimeweka uzi huu kwa sababu nipo Ulaya na Ijumaa hii ya leo(22.12.2023) nimepewa tuzo ya utumishi bora katika kampuni ya Continentall hapa Ingolstadt Ujerumani. Tanzania haithamini wasomi na wananchi wenye vipaji nilikuja Ujerumani March 2023 mwezi huu nimepewa tuzo, nimepandishwa cheo na...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Single Movies kutokufanya vizuri Tanzania?

    Tangu Kanumba kufariki, soko la Movie moja moja hapa Tanzania limekuwa gumu sana, na waigizaji wengi sasa wamejikita kwenye vipande vya video fupi fupi za kupost instagram na YouTube, na waigizaji wakubwa wamejikita zaidi kwenye Tamthilia. Soko la Movie Moja moja (Single Movie) kwa kweli...
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia Yaipa Tanzania Trilioni 2.8

    Bodi ya Wakurugenzi ya Watendaji wa Benki ya Dunia kupitia ufadhili wa Sera yake ya Maendeleo (DPF) imeidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 750 (Sh trilioni 1.9) kwa ajili ya kusaidia sekta binafsi. Pia imeiidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 385 (Sh bilioni 964.3) kwa ajili...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Biashara ya Tanzania isingekuwa Goi Goi hii haikuwa Fursa ya Kiuchumi na Kibiashara kwa Tanzania na Watanzania?

    Ugandans cross Kenya border for Christmas shopping Hundreds of Ugandans are crossing the Busia border into Kenya to buy relatively cheap goods, especially textiles, ahead of the Christmas holidays. David Basalirwa, a trader and resident of Bugiri district in eastern Uganda, says he prefers to...
  8. Immortal Techniques

    JamiiForums Tanzania Unaionaje Africa miaka 100 Ijayo? Case study: Tanzania

    Habari wanajamvi? Toka nchi nyingi za Africa zipate uhuru (Political independence) toka Kwa mkoloni mengi ysmefanywa kwe sector mbali mbali mbali,kijamii na kiuchumi, ni zaidi ya miaka 50 toka nchi nyingi zipate uhuru ila kasi ya maendeleo imekuwa aiendani na uvunaji rasilimali( Resources...
  9. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee kuna mgao wa Umeme kwa sasa Afrika nzima

    Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo tulia basi migao ya umeme huisha au kupungua kabisa. Tanzania ni tofauti kabisa iko kinyume...
  10. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Katoliki Malawi, Zambia, Kenya wamepinga waraka wa Papa Francis, Kwanini maaskofu Tanzania wapo kimya wakati hata waumini hatuungi mkono ?

    Hizi nchi zote zinaongea na kuelewa kiingereza kilichotumika kwenye waraka kuliko Tanzania na hadi zinapochukua uamuzi wa kupinga waraka hazijakurupuka, wameona waraka una matatizo, Iweje Papa aseme Ndoa iendelee kuwa ya Mwanaume na Mwanamke alafu kwa wakati huo huo anatoa ruhusa kwa makasisi...
  11. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Afanya Mazungumzo na Chama cha Wabunifu Wachanga "Tanzania Startup Association"

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Tanzania Startup Association (TSA) ikiongozwa na Mwenyekiti wao Ndugu Paul Makanza pamoja na Wajumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Desemba, 2023.
  12. Escrowseal1

    JamiiForums Tanzania Tanzania uchawa, viongozi kujipendekeza kwa viongozi wakuu lishakuwa janga la kitaifa

    Tuache unafiki kama nchi something has to be done kukomboa hii jamii. Kati ya malengo makuu ya Elimu ni kufanya mhusika kujiamini na kuyakabiri mazingira anayoishi. Jamii yetu kwa miaka ya hivi karibuni imeonyesha kwa kiwango kikubwa wasomi wake kupoteza mwelekeo kutokana na neno uchawa. Haina...
  13. Glenn

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo aeleza safari yake katika kutetea Uhuru wa Kujieleza na Haki ya Faragha

    Habari Wakuu, Maxence Melo akiwa studio za Wasafi FM ameelezea jinsi Serikali ilimhenyesha akiupigania Uhuru wa Habari Tanzania. Katika mapambano hayo amepitia changamoto mbalimbali ni pamoja na; 1. Pasi zake ya kusafiria kuzuliwa 2. Amehudhuria Mahakamani mara 159 Unaweza kumsikiliza hapo chini
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuishi kwa Mateso na Majuto Tanzania uwe hivi

    Utapata shida sana yaani uamue kuishi kwa kutumia akili? Utateseka na kila mtu atakushangaa sana na kukuoana kuwe wewe ni mtu wa ajabu sana maana haijazoeleka kabisa kwa watu kuishi kwa kutumia akili. Hata sisi wenye akili nyingi humu JF tunachukiwa sana na members wengine. Tunazodolewa kila...
  15. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nyansaho ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Kufuatia Balozi Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli aliyekuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)kuteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Uganda tarehe 18 Desemba,2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

    Huu ni ukweli usio pingika Hayati baba wa Taifa la Tanzania Mwl Nyerere alikuwa na ndoto japo ndoto hiyo aliiweka katika vipindi tofauti tofauti. Aliwaza kutawala Maisha ila akasoma alama za nyakati akaona itakuwa makosa makubwa sana na uwenda alikumbuka Habari za rafiki yake Kambona na wengine...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania IMF Approves US$150.5 million Disbursement for the United Republic of Tanzania

    IMF Executive Board Completes Second Review Under the Extended Credit Facility Arrangement for the United Republic of Tanzania and Approves US$150.5 million Disbursement https://www.jamiiforums.com/attachments/1tzaea2023003-pdf.2847103/
  18. T

    JamiiForums Tanzania Nitailaumu Serikali ya Tanzania juu ya vifo vya vijana wawili waliopoteza maisha vita vya Hamas na Israel

    Naandika moyo wangu ukiwa unavuja damu juu ya vifo vya kikatili vilivyowatokea watanzania Clemence na Joshua. Namuomba Mungu aendelee kuzikumbatia familia zao na kuwapa faraja kuu. Nimemsikiliza moja ya ndugu wa Joshua akielezea namna serikali ambavyo haikuipa uzito suala ya vijana hawa wa...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetoa pole kuhusu kifo cha Joshua Mollel, Ubalozi wa Palestine hapa Tanzania umekaa kimya tu

    Wizara ya mambo ya Nje ya Israel, imetoa pole na kuoneshwa kusikitishwa kwa mauaji yaliyotendeka kwa kijana Joshua, kupitia ukurasa wa mitandao ya kijamii. Ikumbukwe kuwa Israeli haina Ubalozi wowote Nchini Tanzania kwa miaka mingi, ila imekuwa mstari wa mbele kutoa taarifa endapo kuna...
  20. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kuwaacha watendaji wa mitaa au kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji

    Leo ninajambo hili,tabia ya kuwaacha watendaji wa mitaa au kata hata polisi wa kata kwenye eneo moja la kazi miaka mingi inashusha ufanisi katika utendaji. Mfano unakuta mtendaji hayupo ofisini yupo kijiwe anapiga stori,kashfa ya wake au waume za watu.pia ktk hali hiyo hata kuchukuwa hatua...
Back
Top Bottom