Taasisi za elimu ya juu miaka ya nyuma nakumbuka ziliweza kutoa mawazo na michango ya kimawazo juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa na yaliweza kusikilizwa na kufanyiwa kazi na serikali kwa niaba ya Watanzania ambao hawajapata elimu kubwa.
Imekuaje kwa vyuo vyetu vya wakati huu. Au cku hizi Taifa halina changamoto yoyote? Sioni mijadala konki katika vyuo vyetu JUU ya mada zinazohusu maslahi mapana ya mama Tanzania.
Imekuaje kwa vyuo vyetu vya wakati huu. Au cku hizi Taifa halina changamoto yoyote? Sioni mijadala konki katika vyuo vyetu JUU ya mada zinazohusu maslahi mapana ya mama Tanzania.