matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,586
- 15,369
Leo nilikuwa napitia mtandao wa matajiri na taarifa za mabilionea mbalimbali Duniani, kwenye mabara, na hasa Africa na nchini Tanzania.
Nimeshangaa kuona wanawake kwenye haya mambo hawapo kabisa, wakati utafiti jamii usio wa kitaalam imegundulika mwanamke ndio kiumbe anayependa Pesa na mali kwa gharama yoyote kuliko kiumbe mwingine yeyote.
Tatizo ni nini wakati kila kitu siku hizi wameruhusiwa kufanya? Na wanafanya vizuri katika karibu kila industry lakini hii ya kumiliki maokoto ya kibilionea wanakuwa wanyonge?
Ni hilo tu.