Misso Missondo ndiye Dj pekee wa ukweli Tanzania

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Jan 31, 2021
7,238
12,753
Siku zote nawaonaga maDj wa bongo miyeyusho na tofauti sana na madj wa wenzetu. MaDj wa wenzetu huko mbele hutoa album, humix beats na kufanya kolabo na wanamuziki mbalimbali. Mdj wetu wengi (kama siyo wote) kazi yao kubwa ni kupiga playlist. Udj wa kimchongo mchongo. Kaja huyu bwana Mdogo Misso Misondo. Anafanya Udj wake kama mbele. Anaunda mix zake na kutoa nyimbo. Nyimbo zake mwenyewe. Hata anaweza kutoa album yake. Huyu sasa ndiye Dj halisi kwa level za sasa za kimataifa.


View: https://youtu.be/Xdyw6Rk1h2k?si=NVf55UC47dKpHJjF
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom