Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kikosi Cha Simba Kinachoanza Leo.
Kikosi Cha Tanzania Prisons Kilichoanza leo.
Updates
Dakika ya 45+3
Tanzania Prisons wanapata Goli kipitia kwa Samson Mbangula.
HT
Simba 0-1 Tz Prisons.
Kipindi cha Pili Simba wanafanya Mabadiliko.
Mzamiru Out
Saido Inn
Kibu D Out
Chasambi Inn
Freddy...
Miaka ya nyuma Tanzania ilikua ukiwa n'a pesa unaonekana mwizi,unaroho mbaya na sifa mbaya mbaya
Watu walikua wanajivunia umasikini au kutokua n'a pesa
Hâta zile jamii zilizokua zinapambana kuitafuta pesa zilikua zinapewa sifa mbaya kama kutoa kafara ,n.k
Ila Sasa iv watu wanapigika haswa...
Serikali ya India imetoa kibali cha kuuza tani 30,000 za mchele mweupe kwa nchi ya Tanzania na tani 80,000 kwa Taifa la Djibouti na Guinea Bisau.
India ilipiga marufuku tangu Julai 20, 2023 kuuza nje mchele mweupe usio wa Basmati katika jaribio la kudhibiti bei ya mchele nchini India na...
Bryte Sky Links is a well-established and trusted business that prides itself on providing a wide range of essential services to meet the diverse needs of our valued clients. With a commitment to excellence and customer satisfaction, we have become a one-stop destination for a variety of...
Wanariadha 8 wanatarajia kushiriki na kushindana kwenye Mashindano ya African Games (All African Games) yanayotarajia kufanyika kuanzia tarehe 8 - 23 Machi , 2024 huko Jijini Accra Ghana.
Michezo itachezewa kwenye miji mitatu; Accra, Kumasi na Cape Coast, na michezo itayochezwa ni pamoja ni...
Nayaongea haya kwa siku ya leo kwasababu nimestuka sana hata ndugu yangu ambae si haba kafanikiwa kibiashara akiwa rika la early 40s nimegundua kwamba kawekewa kinga na mganga,
Ndugu huyu ana haiba ya kuwa mcha Mungu, ni mtu mstaarabu sana, ni mtu anaesaidia wengi, ni mtu peace sana.
Noja ya...
Tanzania imewahi kuwa na Rais shabiki wa Simba?
Nyerere - Yanga
Mwinyi - Yanga (hata kwenye mazishi wajukuu zake waliweka wazi)
Mkapa - ????
Kikwete - Yanga
Magufuli - Yanga (kuna siku alifurahi sana kuona Simba kafungwa, aliwapiga Simba kijembe "Kagera sugar wametoboa tundu la Simba" huku...
Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb)
"Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa
"Waziri...
Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini.
Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na kijamii aliyoyafanya Zanzibar kwa kipindi kifupi wakati wa awamu yake na hivyo wananchi wengi hususani...
Tanzania ndio association pekee iliyopeleka timu mbili robo fainali klabu bingwa na hii inaonesha kukuwa kwa vilabu vyetu. La pili naona utawala wa timu za kiarabu zinaanza kutokomea kwenye michuano ya CAF, tuliona kwenye AFCON jambo hilo na huku champions league naona imejirudia.
Ni timu mbili...
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna wenzetu wameingia tamaa na kuishia kudhulumu watu waliowaamini na kuwapa mzigo bila kulipa chochote kwa...
Hello!
Majuzi nchi ya Rwanda imemteua aliyekuwa mkuu wa Majeshi kuwa Ambassador nchini Tanzania, huku Tanzania kwa mfululilizo tukiwapeleka ma Meja Jenerali kuwa mabalozi nchini Rwanda.
Je, nchi hizi 2 zinatishana ?
Je, kuna nini kinaendelea?
Ni sawa nchi za ukanda mmoja (East Africa countries)...
Dear Tanzanians,
In the heart of East Africa lies a land that isn't just beautiful; it's a poetic masterpiece of nature's finest strokes and human warmth that intertwine to create an experience that transcends mere words. Tanzania, oh, Tanzania - a symphony of breathtaking beauty that doesn't...
Nilijikuta kwenye mbio za kutembeza Twitter siku nyingine. Ndio, bado unaiita "Twitter." Baadhi yenu waimbaji wa teknolojia wanaweza kuiita X, Y, au nani-anajua-nini-kifuatacho, lakini nivumilie. Kuingia kwenye tweets za kisiasa ni kama kuchimba kwenye mfuko wa chips mbalimbali - baadhi...
Habari.
Jana nimefatilia historia ya mzee Mwinyi, sikuona sehemu yeyote alipogombea ubunge. Amefanikiwa kuwa Rais wa Zanzibar na Tanzania bila kugombea ubunge wa Jimbo sehemu yeyote ile.
Huyu mzee alikuwa na bahati sana
Nawasilisha
Kuna vigezo kadhaa vinavyotumiwa kuangalia kiwango cha rushwa katika nchi. Hizi ni pamoja na:
Transparency: Kiwango cha uwazi katika shughuli za serikali na taasisi za umma ni kigezo muhimu cha kuangalia rushwa. Nchi ambazo zina mfumo mzuri wa kufanya maamuzi kwa uwazi na kuchapisha taarifa za...
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba Mayele ameshamalizana na Azam FC na atatua Chamazi kukiwasha.
Zile kelele kuhusu Yanga alikuwa anawaandaa kisaikolojia mashabiki wa yanga ambao wanaenda kuwa maadui zake wapya.
Soka letu kivyetuvyetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.