Mr Mjs

Member
Mar 22, 2024
20
10
Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu.

Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama za dotCom Domain name kwa Tanzania kwa sasa kuwa kubwa yaani ni hadi tsh 35000 na hadi 40000 kwa mwaka toka tsh 25000. Sababu za kupanda zikiwa haziwekwi wazi zaidi ya provider wametupandishia bei.

Ndipo nilipo amua kucheki kwa wenzetu na kukutana na ofa ya $3.75 kwa mwezi ambapo napata Hosting na Free Domain kutoka kwa hawa jama HostGator
kama ivavyoonekana hapo chini
  • 1 website
  • 10GB SSD Storage
  • Chat support
  • Unmetered bandwidth
  • Basic email included
  • Free domain 1st Year
  • Free SSL 1st Year
  • WordPress pre-installed
  • Malware Scanning
Unaweza Chungulia kupitia mtandaoni Binafsi naona ni bora kufanya hosting ya website kwa kutumia service provider wa nje tu maana wa hapa kwetu bado sana. hasa upande wa bei pamoja na swala la huduma kwa wateja

Ushauri: Kama unataka kuanzisha website na unataka iwe accessible dunia nzima basi tumia .com domain na hakikisha unahost kwa service provider toka nje.
Ni Maoni yangu tu.

images.jpeg
 
Nimeangalia na kujiridhisha hizo numbers? Tsh 40,000 kwa mwaka na $3.5 kwa mwezi ipi ni nafuu?
 
Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu.

Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama za dotCom Domain name kwa Tanzania kwa sasa kuwa kubwa yaani ni hadi tsh 35000 na hadi 40000 kwa mwaka toka tsh 25000. Sababu za kupanda zikiwa haziwekwi wazi zaidi ya provider wametupandishia bei.

Ndipo nilipo amua kucheki kwa wenzetu na kukutana na ofa ya $3.75 kwa mwezi ambapo napata Hosting na Free Domain kutoka kwa hawa jama HostGator
kama ivavyoonekana hapo chini
  • 1 website
  • 10GB SSD Storage
  • Chat support
  • Unmetered bandwidth
  • Basic email included
  • Free domain 1st Year
  • Free SSL 1st Year
  • WordPress pre-installed
  • Malware Scanning
Unaweza Chungulia kupitia mtandaoniBinafsi naona ni bora kufanya hosting ya website kwa kutumia service provider wa nje tu maana wa hapa kwetu bado sana. hasa upande wa bei pamoja na swala la huduma kwa wateja

Ushauri: Kama unataka kuanzisha website na unataka iwe accessible dunia nzima basi tumia .com domain na hakikisha unahost kwa service provider toka nje.

But inaonekana hiyo $3.75 ni kwa mwezi hiyo *12 kwa mwaka ni $45 ambayo ni around 100,000/-.

Unaweza nunua domain Cloudflare kwa around $10 kwa mwaka na kuhost your website at google sites for free.
 
Web-Hosting-Service-Blog-Post.png

Kuchagua web hosting bora ni uamuzi muhimu kwa mafanikio ya website yako. Kuna watoa huduma wengi wa kuchagua, na kila mmoja ana sifa na bei tofauti. Katika makala hii, tutalinganisha Bluehost na HostGator, watoa huduma wawili maarufu wa web hosting, kukusaidia kuamua ni ipi inayofaa mahitaji yako hasa ya kibiashara.

Ubora
Bluehost na HostGator zote zina sifa nzuri ya utendaji. Zote mbili zinatoa zana za urahisi wa kutumia, kama vile cPanel, kwa usimamizi wa akaunti yako ya hosting.

Bei
Bluehost na HostGator zote zina mipango ya bei nafuu kwa watumiaji wapya. Bluehost ina mipango ya kuanzia $2.95 kwa mwezi, wakati HostGator ina mipango ya kuanzia $2.75 kwa mwezi. Bei huongezeka unapofanya upgrade kwa mipango yenye vipengele zaidi.

Huduma kwa Wateja
Bluehost na HostGator zote zina sifa nzuri kwa huduma kwa wateja. Zote mbili zinatoa msaada wa saa 24 kwa siku, siku 7 kwa wiki kupitia simu, barua pepe, na gumzo la moja kwa moja.

Ni ipi bora?
Bluehost na HostGator
zote ni chaguo bora kwa web hosting. Uamuzi wa ni ipi bora kwa ajili yako unategemea mahitaji yako binafsi na bajeti.

Hapa kuna mambo machache ya kuzingatia:
  • Bajeti: Ikiwa una bajeti ndogo, HostGator ni chaguo bora zaidi.
  • Urahisi wa matumizi: Bluehost ni rahisi kutumia zaidi kwa watumiaji wapya.
  • Vipengele: HostGator inatoa vipengele zaidi kuliko Bluehost.
  • Huduma kwa wateja: Zote mbili zina sifa nzuri kwa huduma kwa wateja.
Hitimisho
Bluehost na HostGator zote ni watoa huduma bora wa web hosting. Uamuzi wa ni ipi bora kwa ajili yako unategemea mahitaji yako binafsi na bajeti. Tunapendekeza kusoma maoni ya wateja na kulinganisha mipango kabla ya kufanya uamuzi.

Kumbuka:
  • Bei zinaweza kubadilika. Tafadhali angalia tovuti za Bluehost na HostGator kwa bei za hivi karibuni.
  • Makala hii ni kwa ajili ya taarifa tu. Tafadhali fanya utafiti wako mwenyewe kabla ya kuchagua mtoa huduma wa web hosting.
 
Hivi karibuni nilitaka kufungua website kwaajili ya kufanya project yangu fulani. hivyo niliamua kununua domain na hosting kwaajili ya project yangu.

Nikaanza kufanya research juu ya kampuni ambayo ningeweza kuitumia kwaajili ya kuhost website yangu.lakini nikajikuta nakwama kutokana na gharama za dotCom Domain name kwa Tanzania kwa sasa kuwa kubwa yaani ni hadi tsh 35000 na hadi 40000 kwa mwaka toka tsh 25000. Sababu za kupanda zikiwa haziwekwi wazi zaidi ya provider wametupandishia bei.

Ndipo nilipo amua kucheki kwa wenzetu na kukutana na ofa ya $3.75 kwa mwezi ambapo napata Hosting na Free Domain kutoka kwa hawa jama HostGator
kama ivavyoonekana hapo chini
  • 1 website
  • 10GB SSD Storage
  • Chat support
  • Unmetered bandwidth
  • Basic email included
  • Free domain 1st Year
  • Free SSL 1st Year
  • WordPress pre-installed
  • Malware Scanning
Unaweza Chungulia kupitia mtandaoni Binafsi naona ni bora kufanya hosting ya website kwa kutumia service provider wa nje tu maana wa hapa kwetu bado sana. hasa upande wa bei pamoja na swala la huduma kwa wateja

Ushauri: Kama unataka kuanzisha website na unataka iwe accessible dunia nzima basi tumia .com domain na hakikisha unahost kwa service provider toka nje.

Wanapenda Pesa.. ila kwenye huduma Ni zero
 
T

Tunataka pesa ya uchaguzi na kunulia ma-V8 ya ,2025
 
First Year Free baada ya hapo renew malipo yanaweza kuwa tofauti na mara nyingi yanapanda usishangae domain kuwa mpaka 17 usd

Bongo Hosting wengi ni resellers na ni kweli servers hosting zingekuwa Bongo sidhani na upuuzi wa bongo usishangae site yako ikawa down bila sababu za uhakiko (kwahio fanya due diligence ni wapi pa ku-host)

Ingawa pia inategemea wateja wako wengi wapo wapi sababu it makes a difference server kuwa karibu na wateja wako..., Mwisho kabisa kama site ni dynamic na unatumia wordpress ni vema ukahakikisha kama host wako ni wordpress optimized
 
haiwezi fika hiyo bei. maana nisha host website nyingi sana na pia wako wazi kabisa coz wanakwambia gharama ya renew baada ya mwaka kuisha. tofauti na kwetu. tukubali tu service provider wetu siyo wawazi
 
Nikichukulia huyu Hostigator uliyemtaja HostGator's domain renewal pricing will range from $0.95 to $39.95 per year, depending upon the domain name extension you choose. But typically, renewing a traditional .com domain will be around $9.99 for the entire year.

Some domain name registrars even offer an automatic renewal, so you’ll never run the risk of your domain name expiring and falling into the wrong hands.

Kuhusu service provider wa huku ni ngumu kuwalinganisha na wa nje sababu wengi ni resellers (hata wewe unaweza ukawa reseller) au mimi naweza nikachaji hata hosting kwa elfu 10 kwa mwaka kama ni static website ambapo naweza kuziweka hata 100 kwenye plan moja...; Kwahio hata nje ni vigumu kujua uzuri wa hosting company kama site yako ni ya kawaida na haina traffic kubwa..., nadhani ukiwauliza JF wanalipia Hosting kiasi gani ndio unaweza ukasema kumbe Ukiona vyaelea Vimeumbwa....
 
images (3).jpeg

Katika zama hizi za teknolojia, kuwa na uwepo mtandaoni ni muhimu sana kwa biashara yoyote. Tovuti ni kama duka lako pepe, linalopatikana kwa wateja 24/7 duniani kote.

Hapa kuna baadhi ya faida za kuwa na tovuti kwa biashara yako:
1. Kuongeza Ufikiaji wa Wateja: Tovuti huwaruhusu wateja watarajiwa kukupata kwa urahisi kupitia injini za utafutaji kama Google. Hii huongeza idadi ya watu wanaojua kuhusu biashara yako na bidhaa/huduma zako.

2. Kujenga Uaminifu: Tovuti ya kitaalamu hujenga uaminifu kwa wateja na kuwaonyesha kuwa biashara yako ni halali na ya kuaminika. Unaweza kuonyesha maelezo ya biashara yako, timu yako, maoni ya wateja, na ushuhuda kwenye tovuti yako.

3. Kuboresha Mawasiliano na Wateja: Tovuti hutoa njia rahisi kwa wateja kuwasiliana na wewe. Unaweza kuweka fomu ya mawasiliano, anwani ya barua pepe, nambari ya simu, na hata mfumo wa gumzo la moja kwa moja kwenye tovuti yako.

4. Kuuza Bidhaa na Huduma Mtandaoni: Unaweza kuuza bidhaa na huduma zako moja kwa moja kwenye tovuti yako kwa kuanzisha duka la mtandaoni. Hii huongeza mauzo na kurahisisha wateja kununua kutoka kwako.

5. Kupunguza Gharama: Tovuti inaweza kukusaidia kupunguza gharama za uendeshaji kwa kutoa taarifa kwa wateja moja kwa moja, kupunguza hitaji la wafanyakazi wa huduma kwa wateja, na kurahisisha mchakato wa mauzo.

6. Kusanya Takwimu za Wateja: Unaweza kutumia zana za uchambuzi wa tovuti kukusanya takwimu muhimu kuhusu wateja wako, kama vile tabia zao za ununuzi na mapendeleo. Takwimu hizi zinaweza kukusaidia kuboresha biashara yako na kuongeza mauzo.

7. Kuonyesha Utaalamu: Tovuti ya kisasa na yenye maudhui bora huonyesha utaalamu wa biashara yako na kuwapa wateja imani zaidi katika bidhaa/huduma zako.

Mwisho: Kuwa na tovuti ni uwekezaji muhimu kwa biashara yoyote inayotaka kufanikiwa katika karne ya 21. Tovuti hutoa faida nyingi, kama vile kuongeza ufikiaji wa wateja, kujenga uaminifu, kuboresha mawasiliano, kuuza bidhaa mtandaoni, kupunguza gharama, kukusanya takwimu za wateja, na kuonyesha utaalamu.

Ikiwa bado huna tovuti kwa biashara yako, sasa ni wakati wa kuanza.
 
Back
Top Bottom