Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,783
218,411
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !

Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?

Screenshot_2024-03-29-00-22-43-1.png
 
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !

Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?

View attachment 2947626
Hata SIMBA
Mpk kufikia kuitoa ZAMALECK kipindi kile bingwa mtetezi
kipindi hicho mzee wa mbinu chafu marehemu HANS POPE na wanafriends of simba walitia timu MISRI na vyakura vyao na maji yao na wakajipikia wenywee
Soka la AFRICA linahitaji kujianda kwanza Nje ya uwanja oooh this is AFRICA
 
Bado sijaelewa hali hii imetokana na nini, Walianza Al Ahaly lakini sasa hata Mamelod wamefanya hivyo !

Je, kuna nini huku Bongo hadi timu hizi ziogope kula kwenye mahoteli yetu?

View attachment 2947626
Ubalozi wa Marekani kila baada ya muda kuna mdege mkubwa wa Jeshi la Marekani utaona umepaki pale airport ndio huwa inaleta vyakula na maji Kwa ajili ya matumizi ya ubalozi wa Marekani.

Sisi tunaokunywa hadi maji ya mvua wakati kunguru wananyea mabati kila siku, huwezi kuelewa umuhimu wa hiki kinachofanyika.
 
Mbona naona mtu badala ya pizza na kfc za Mamelody anyway hakuna uchawi Wala Nini ni vile bado utalaamu wa mapishi kwa nchi za kiafrika hautabiriki hasa kwa vyakula vipya kwa kuhofia Hilo kuwaumiza wachezaji watu wanaamua kuja na vyakula vyao ili wachezaji waendelee ku feel at home wacheze kwa kujiamini
We unaenda Nigeria una mechi ngumu ghafla unaletewa wali au ugali hata huuelewi kifupi ni huwezi kula
 
Back
Top Bottom