Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania?
Mimi naanza na hawa:
1.Bernad Morrisson
Kajenga nyumba Dar na Mbeya
2.Aubrey Chirwa
Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze