Remote Work Tanzania: Mwenye Uzoefu Atuongoze

The introvert

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2023
Posts
1,211
Reaction score
2,440
Wakuu, naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wadau wenye uzoefu wa remote work au work from home nikiwa hapa Tz.

Nina hamu ya kuanza kujifunza na kuanza kufanya kazi za online kama njia ya kuongeza kipato kiasi cha pembeni ya shughuli zangu za kawaida.

Niningepend kusikia uzoefu halisi kutoka kwa waliowahi au wanaoendelea kufanya remote work.

Naomba kufahamu:
Platform zinazofanya vizuri kwa Watanzania
Jinsi ya kupata kazi au task hasa kwa mara ya kwanza
Skills zenye demand kubwa kwa sasa hasa mimi kama mTz
Njia rahisi za kupokea malipo
Na changamoto mbalimbali

Naomba kuwasilisha🙏
 
Feever & Upwork. Niliweka account ila sijawahi apply kazi yoyote so sina experience

Tengeneza Linkedin Account, chagua topic ama profession moja na izungumzie kama expert

Jiungamanishe na watu walio katika industry moja, hapa utapata madini zaidi na chocho za kupita. (Kuwapata hawa, ukishaingia kwenye hiyo platform angalia watu wanaongelea au waliofanikiwa katika unachofanya)

Ukifanya haya, Utapata tu clients hata wa bongo ama kuna kazi international utapata pia maana kwenye job section ya linkedin, kuna remote works pia

Japo, tatizo la wengi wanataka remote working ama freelancing na hata hiyo skill ya kuuza hauna au la unataka uanze leo kesho uanze kupata pesa. Haipo hivyo
 
Ohoo shukrani mkuu
 
Japo ume chelewa ila most of the works zinahusu ai kwa sasa, ku train ai kwa kuli feed data.

cheki kurasa za wakenya, mara nyingi utaona maana wako updated japo siku hizi malipo yana zingua kidogo.
Hiyo kutrain AI, huwa naona posts za kutrain kiswahili na huwa wanatafuta watanzania. Ila nikiziona twitter huwa siziamini sana maana Baraka Mafole huzipost sana
 
Hizo zipo ila kawaida, kuna zile ku train ai robots kwa vitendo au ishara.

Una lipwa kwa saa, ku train lugha au info fulani.
wakenya wapo ahead mzee.
 
Wakenya na Wanaija wana dunia tao. Ukiangalia earnings zao ni hatari na wana ushirikiano sana. Bongo mtu akijua kitu hashei

Sema nimefikia umri ambao nikiona kama kuna numbers inabidi mimi nifanye sio kulaumu wengine kwa nini hawafanyi
 
Kaka jioni ya leo nimeona namba fulani, halafu za dogo wa 2007 hapo sio poa.
 
Back
Top Bottom