tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania TikTok imeweka mfumo wa voice call kama WhatsApp

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp 👋, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! 📱📞 Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. 👀🔥 Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Inaonekana wazi sasa kuwa Dangote alikimbilia kujenga refinery Kenya baada ya kukataliwa Tanzania

    Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba walishakubaliana mwanzoni kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) kijengwe Tanga lakini ilionekana kuwa...
  3. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado ni maskini ikiwa imejaliwa raslimali nyingi kiasi cha kutosha

    Salamu kwa wote. Bado naendelea kutafakari ni namna gani taifa litaondoka kwenye huu umaskini na ufukara ukiopo kati ya wananchi dhidi ya utajiri wa rasilimali zake. Kwa mfano nchi ya Luxembourg ina square km 2,600 nchi nzima na ni moja ya nchi tajiri zaidi duniani . Kwetu Tanzania mwambao...
  4. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Katuni inayoelezea siasa za Tanzania kiuhalisia

    Ukiona moshi unafuka mahali jua moto upo chini. CCM inaamini imefanikiwa kuwazuia watanzania kufikiri nje ya wanavyotaka wao watanzania kufikiri, kumbe sivyo. Hapo chini ni katuni ya msanii ambaye ameamua kutumia kipaji chake kuelezea hali halisi ya siasa za Tanzania Cha kusikitisha watu...
  5. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: CHADEMA hatuitambui Tume na matokeo yake yatakuwa feki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ametoa msimamo wa chama hicho hakitambui tume iliyounfwa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kuchunguza ghasia za uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na hata matokeo yake yatakapptolewa hawatayatambua. Soma zaidi: Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu...
  7. bless on

    JamiiForums Tanzania Hautakiwi kulipua Kazi Yoyote Maishani Mwako

    Zamani kidogo, kulikuwa na fundi ujenzi mzee aliyekuwa na ujuzi mkubwa na nidhamu ya hali ya juu. Kwa miaka zaidi ya 30, alijenga nyumba nyingi nzuri na za kifahari kwa moyo wake wote. Siku moja, akiwa amechoka na umri umekwenda, alimfuata bosi wake na kumwambia: "Bosi, umri umenitupa mkono...
  8. N

    JamiiForums Tanzania The Ages of AI na JamiiAI: kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza Tanzania

    Habari wakuu, Miaka michache ijayo, kuwa na roboti nyumbani, maofisini, mashambani hakutakuwa jambo la kushangaza. Kama ilivyo kwa simu janja ambazo zamani zilionekana kuwa za kipekee, roboti nazo zinatarajiwa kuwa sehemu ya maisha ya kila siku. Roboti ni Nini? Roboti ni mashine iliyoundwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kuna wimbi la vijana waliosoma vyuo vya nje ya nchi kupata changamoto ya usajili kwenye mabaraza ya kitaaluma kipindi wanaporudi Tanzania.

    Kwa nyakati tofauti nimeona watanzania wakilalamika kukosa usajili wa mabaraza ya kitaaluma hasa manesi na wafamasia pale wanapohutimu masomo yao ughaibuni na kurudi nchini kwajili ya kufanya kazi je ? Changamoto ni nini? Kwa kupitia nikabaini changamoto chache kwanza kutokua na uelewa wa...
  10. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Mufti mkuu wa Tanzania Zuberi bin Ally ajikuta katika aibu asiyoitarajia mbele ya wageni waalikwa harusini

    Mufti mkuu wa Tanzania Sheikh Zuber bin Ally amejikuta katika hali ya aibu Ni baada ya wageni waalikwa katika harusi ya mwanaye kuanza kuondoka baada ya mpishi na waandaazi kuchelewasha chakula Tukio hili limetokea leo ijumaa msikiti mkuu Kinondoni.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania

    Mfumo wa T-CAMS ni Mageuzi ya Kidijitali Yanayojenga Uwazi, Ufanisi na Ushindani katika Sekta ya Uwakala wa Forodha Tanzania Utangulizi Katika dunia ya sasa, ushindani wa biashara haupimwi tena kwa ukubwa wa bandari au idadi ya mipaka ya nchi, bali kwa ubora wa mifumo inayorahisisha biashara...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika

    Bila katiba za kidemokrasia kwa Tanzania na Uganda uwekezaji hauna uhakika Tanzania haina katiba ya kueleweka na Raisi wajao wanaweza kufanya lolote kwa katiba hii ya kirojo. Uganda nao uongozi ni mtu mmoja tena anamiaka 82! na anataka kumpa mtoto wake ambaye ni mwanajeshi fake na mapepe sana...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya AFRICA50 pamoja na wanahisa wengine

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha ushirikiano na Taasisi ya Africa50 pamoja na wanahisa wengine ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya miundombinu barani Afrika. Hayo yamesemwa na Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar (Mb)...
  15. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutupia picha mbalimbali na video za Rais wa Tanzania ajaye, Tundu Antipas Lissu ili kumtia moyo kwenye kupambania katiba, utu na haki

  16. Akilindogosana

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi "K", "K shaped economy"

    Tanzania ina uchumi wenye umbo la herufi K, kitaalam inaitwa "K shaped economy". Huu uchumi unakuwa na pande mbili kama herufi K, upande wa juu unakuwa na pesa nyingi, ukuaji mkubwa, matrilioni ya hela halafu upande wa chini unakuwa na umasikini hali ngumu na dhiki. Ripoti zilizopo ni za...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani? Jaji wa Namibia anakuja kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Kumbuka Rais wa Namibia alikuja juzi hapa, Tanzania

    Jaji wa Namibia anakuja kushirikiana na tume za Samia kuchunguza mauaji ya 29.10.2025. Tume ya Huduma za Mahakama nchini Namibia (JSC) imemteua Naibu Jaji Mkuu wa nchi hiyo, Petrus T. Damaseb, kujiunga na Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Jinai nchini Tanzania inayochunguza chanzo cha ghasia...
  18. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Halotel ndo Kiboko ya OTP hapa Tanzania

    Habari wanajamvi, Ndio. Hasa kama unafanya kazi za mtandaoni (remote work), Halotel inasaidia sana. Asubuhi hii perplexity.ai ilinisumbua, nikajaribu mitandao yote Halotel ndo ikakubali. Iliwahi kunitokea nilipokuwa naaply Outlier tasking platform. Ndo ilinibeba (Mkenya mmoja ndo kaniibia siri...
  19. Archival Sense

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda, Tanzania deepen energy ties with $20bn investment potential

    Photo courtesy of State House Uganda. Uganda and Tanzania are stepping up energy cooperation under a new agreement aimed at expanding regional trade, attracting investment and creating jobs. President Yoweri Museveni and Tanzanian President Samia Suluhu Hassan witnessed the signing of a...
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Nimechoka na huduma ya Parimatch Tanzania, mwezi mzima bila majibu ya kweli

    Naandika hili ili kuonya na kushirikisha uzoefu wangu kuhusu huduma niliyoipata kutoka Parimatch Tanzania. Nimekaa zaidi ya mwezi mmoja nikifuatilia marejesho ya fedha zangu. Kila siku ninapowasiliana na huduma kwa wateja, napokea majibu yale yale yanayojirudia kama yamenakiliwa. Hakuna...
Back
Top Bottom