Hamissi Hamza Jr
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 558
- 1,145
Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu".
Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu
1.China Ni Wazee Wa Loans Na ubia kwenye Biashara Hawana Grants kwa Mataifa Rafiki kwao,Wao ni Mkopo Ukishindwa kutimiza kwa Wakati Wanachukua Dhamana ulioweka na kwenye hili hawana Masikhara
2.Urusi wao Ni wazee wa Biashara Hasa Kremlin Inc Kwao No Grants No Loans kwao Ni Business to Business
3.Kwenda Kinyume Na Sera za EU Na Marekani Na kupelekea Kusitishwa na Kuendelea Kusitishwa kwa Misaada Ya Kiafya,kijamii Pia Mikopo Iliyokua tunatarajia kupokea Kutoka Mashirika Ya Magharibi Na Marekani
UCHUMI WETU WA NDANI
Uhalisia Uchumi Wetu Bado Ujawaa Tayari Kuendesha Dira ya Taifa letu Bila Utegemezi Wa Nje,Mashirika Mengi ya Umma Yanajiendesha Kwa Hasara Tegemezi Pekee Ni TRA
MATOKEO
1.Kudumaa Kwa kasi ya utoaji wa Huduma za Kijamii
2.Vikwazo Kutoka Magharibi Na Marekani
3.Kudondoka zaidi kwa Thamani ya Shillingi Yetu
4.Mfuko zaidi Wa Bei
5.Kubanwa Zaidi kwa Wachuuzi Na Wafanyabishara wa wastani kwenye Kodi
6.Kudondoka Kwa Uchumi Wa Mtu Mmoja Mmoja
Lakini Bado Tujachelewa Tuna Nafasi ya kurekebisha