tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka rasmi dhamana ya visa ya hadi $20,000 kwa Nchi 30 za Afrika. Tanzania ikiwepo

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatarajia kufanya kuwa wa kudumu mpango wa majaribio unaowataka raia wa mataifa 50, mengi yakiwa ya Afrika, kutoa dhamana kubwa wanapoomba viza, huku gharama zake sasa zikitarajiwa kufikia hadi $20,000. Ilani ya awali, iliyochapishwa Ijumaa katika Rejista...
  2. political monger senior

    JamiiForums Tanzania SERIKALI YA TANZANIA YAIOMBA MAREKANI KUIONDOLEA VIZA KWA WATANZANIA WANAOSAFIRI KWENDA NCHINI HUMO

    Serikali ya Tanzania imeiomba Marekani kuondoa vikwazo vya viza kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo, pamoja na vikwazo vingine vya kiuchumi na kiusafiri vilivyowekwa dhidi ya Tanzania, ili kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na wananchi wa nchi hizo mbili. Ombi hilo limewasilishwa...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Ni nani ana majeraha mabaya zaidi mpaka sasa miongoni mwa team zinazopambana katika vita vya ufisadi ndani ya CHADEMA?

    Na ni nani anakwenda kuibuka kidedea na mshindi wa vita hiyo ya ufisadi ndani ya chadema kati ya team Lema & Sugu wanaopinga ufisadi ndani ya chadema, dhidi ya team Heche & Mnyika wanaotetea ufisadi ndani ya chadema? Kwasababu sote ni mashuhuda wa vita hivyo vinavyoendelea na kuibua maswali...
  4. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  5. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu baraza la Mawaziri Zambia atembelea banda la Tanzania

    Katibu mkuu wa Baraza la Mawazi Zambia Bw. Patrick Kangwa ametembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya Kilimo na Biashara Zambia na kupongeza uwekezaji mkubwa kwenye sekta ya Afya Tanzania na kuahidi ushirikiano zaidi katika ueekezaji na biashara katika sekta ya Afya
  6. N

    JamiiForums Tanzania Watoto wa mgambo (askari wa akiba) wasaidiwe kuingia Polisi, Military au Magereza kama "pension" ya wazazi wao wanaojitolea kuilinda Tanzania

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mgambo (askari wa akiba) anajitolea kufanya operations pamoja na Polisi sometimes usiku wa manane ila Polisi analipwa mshahara na akizeeka anapewa pension mgambo hapewi. Kama mgambo hana mshahara wala pension ya uzeeni basi mtoto wake mmoja au wawili wasaidiwe...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa. Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
  8. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Wasikilizeni wakenya wanavyo ongea juu ya Polepole na Tanzania yetu

    Inasikitisha sana kwa jinsi Taifa letu linavyo zungumziwa nje ya nchi yetu.
  9. political monger senior

    JamiiForums Tanzania John Heche: AFCON na FIFA waliitenga S.Africa sasa ni zamu ya Tanzania

    Serikali dhalimu inawakamata viongozi na wanachama wetu na kuwabambikizia kwa makusudi na kwa uongo kesi mbaya isiyo na dhamana ya ugaidi. Sisi tunahoji, mnajua madhara ya kusema kuna ugaidi kwenye Nchi? Kiuchumi kwa maana ya wawekezaji wenye mitaji mikubwa, Utalii na wageni wanaokuja Nchini...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini majiji ya Tanzania hayana Dustbin za takataka mitaani?

    Kama nimekunywa maji ya chupa au soda take away nimemaliza halafu niko natembea Mwanjelewa serikali inategemea nitupe wapi hiyo chupa ya plastic??
  12. U

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu yenye baridi zaidi Tanzania with facts

    Sitaongea Sana, ila kiukweli nyuzi nyingi Sana zimewekwa kuhusu mada hii, naweka Hoja atakayebisha basi ana shida. Maeneo yenye baridi kabisa nchi hii yapo matatu, kijiographia ni eneo Moja, ila kiutawala na kiukoloni ni maeneo tofauti, ambayo yametengwa na mipaka iliyowekwa na serikali, labda...
  13. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Washiriki maonesho ya 98 ya kilimo na biashara nchini Zambia waendelea kutembelea banda la Tanzania

    Washiriki wa Maonesho ya 98 ya kilimo na Biashara Zambia wameendelea kutembelea banda la Tanzania na kujifunza kuhusu huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI, MZRH pamoja na huduma za Uchukuzi na Usafiri za Mamlaka ya Bandari Tanzania na Shirika la ndege la Tanzania.
  14. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Veterinary Interns Tanzania Tunaachwa Nyuma – Serikali Isikie Kilio Chetu

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Shahada ya Udaktari wa Mifugo ambao tunatarajia kufanya internship ya mwaka mmoja kabla ya kupata usajili wa kufanya kazi kama madaktari wa mifugo. Leo tumekutana na Naibu Msajili wa Baraza la Madaktari wa Mifugo Tanzania (VCT) ambaye alitueleza utaratibu wa...
  15. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Muundo Bora wa Muungano ni Upi: Serikali Moja, Mbili, Tatu au Shirikisho? Lete Hoja Yako, Tuichambue Pamoja, Kisha Piga Kura

    Miongoni mwa maswali magumu zaidi katika mchakato wa Katiba Mpya ni muundo wa Muungano. Badala ya kubishana, hebu kila mmoja alete hoja yake kwa nini anaona muundo fulani ni bora, tuchambue faida na hasara kwa pamoja, kisha tupige kura kwa uzito wa hoja, si kwa hisia. Nianze mimi kwa kuweka...
  16. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Raisi (Baraza la Mawaziri Zambia) atembelea Banda la Tanzania

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais (Baraza la Mawaziri Zambia) Prof. Lackson Kasonka atembelea banda la Tanzania katika Maonesho ya 98 ya kilimo na biashara Zambia, apongeza huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI na MZRH
  17. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC

    Tanzania na Angola zaendelea kuimarisha ushirikiano wa kimkakati kupitia Mkutano wa Tatu wa JPC Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameshiriki Mkutano wa Tatu wa Tume ya Pamoja ya Kudumu (Joint Permanent Commission – JPC) kati...
  18. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania inapotenga bajeti ya kujenga magereza mengi ijifunze kutoka nchi ya Uholanzi

    Uholanzi ni mfano wa nchi iliyoonyesha kwamba usalama wa taifa haujengwi kwa kuongeza magereza pekee, bali kwa kupunguza sababu zinazowasukuma watu kuingia kwenye uhalifu. Kwa miongo miwili iliyopita, idadi ya wafungwa nchini humo ilishuka kwa kiasi kikubwa, hali iliyosababisha kufungwa kwa...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kazi ya kuilinda Tanzania ni yetu sote!

    Rais Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika mkutano na viongozi wa vyama vya siasa uliofanyika leo, Julai 30, 2026, jijini Dar es Salaam, amesema jukumu la kuilinda Tanzania ni la kila Mtanzania. "Kazi ya kuilinda Tanzania ndugu zangu ni yetu sote." "Hii si nchi ya mmoja kama naavyoongea. Ni...
  20. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo tayari kuhudumia ukanda wa SADC MOI na MZRH zafungua fursa mpya ya utalii wa tiba nchini Zambia

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepiga hatua nyingine kubwa katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi na Tiba Utalii (Medical Tourism), kufuatia kuwasili kwa jopo la madaktari bingwa na mabingwa bobezi nchini Zambia kutoka Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Nyanda za Juu Kusini (MZRH)...
Back
Top Bottom