Wachezaji wa kigeni waliowekeza Tanzania

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
6,692
Reaction score
9,296
Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania?
Mimi naanza na hawa:

1.Bernad Morrisson

Kajenga nyumba Dar na Mbeya

2.Aubrey Chirwa
Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
 
Mbona wamejilipua? Mgeni haruhusiwi kumiliki ardhi.
 
Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania?
Mimi naanza na hawa:

1.Bernad Morrisson

Kajenga nyumba Dar na Mbeya

2.Aubrey Chirwa
Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
Hawa watajwa wako hapa hakuna hata mmoja mwenye ulivyovitaja na sijui ni Mpumbavu gani kakudanganya Mkuu.
 
Back
Top Bottom