tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uchumi, Elimu, Nishati: Nguzo za Maendeleo Tanzania

    Singapore imepita katika njia ile ile ambayo Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anaiongoza Tanzania leo kwa kuwekeza katika uchumi, elimu na nishati kama nguzo za maendeleo ya Taifa.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Can the Tanzania & Singapore Relationship Become a Strategic Gateway for Trade, Investment, and Economic Transformation?

    Relationship between Tanzania and Singapore has significant strategic potential, even though it is not yet as deep or visible as Tanzania's relationships with countries such as China, India, or United Arab Emirates. From an economic and development perspective, Singapore offers several lessons...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Revealed: Mbinu Mpya ya Kushinda Uchaguzi Tanzania.. Must read

    Jamani nawapenda sana.. Nimeamua kuwapa mbinu ya kishinda cheo chochote Tanzania.. Fuata hatua hizi... Msiache kunitumia alkasusu☕ ☕ KAMA UNATAKA KUWA MWANASIASA WA CCM, FUATA HIZI HATUA Hatua ya kwanza: Jibadilishe na ujionyeshe kama mtumishi wa wananchi. Vaa nguo za kawaida, nenda sokoni...
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania What Happened in Oct. 29: Pongezi Balile wa TEF Kwa Uzalendo, Ila Tanzania Tunatia Aibu!. Tutategemea Wageni Mpaka Lini?!. Tujenge Uwezo wa Ndani!.

    Wanabodi, Hili ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, nikitoa pongezi kwa Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, TEF, Deodatus Balile, kwa uzalendo wake kuhusu kile kilichotokea October 29, katika filamu kuhusu kilichotokea. Kiukweli, Tanzania na Watanzania, tunatia aibu...
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE President of Tanzania Samia suluhu arrested for crimes againsty humanity

    There has been recently post circulation on lines, especially Facebook articulating that the president of the United Republic of Tanzania has been arrested because of crimes against humanity The post further alledgy that This woman killed thousands of innocent Tanzanians during their elections...
  6. zaza1

    JamiiForums Tanzania Tender za Usafi, Maintenance na Fumigation Tanzania – Post Hapa Fursa Zote

    Karibuni wanajamii, Nimefungua thread hii kwa ajili ya kukusanya na kushirikishana taarifa za Tender, Zabuni, RFQ, RFP na fursa mbalimbali zinazohusiana na: • Usafi (Cleaning Services) • Maintenance za Majengo na Miundombinu • Fumigation & Pest Control Services Thread hii ni kwa ajili ya...
  7. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania House for sale Kibada Kigamboni

    House for sale Kibada Kigamboni 8 rooms and only 2 rooms are self contained. Plot size Sqm 1460. Price is TSH 520m/- negotiable. Just 500 meters from the tarmac road. 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #houseforsale..
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Singapore na Dubai kilikuwa kichaka cha pirate wa Naijeria,urusi leo Tanzania msije shangaa pesa zote ziko huko

    Mengine ni magumu kusema .Maana mpaka kuna watu wametengenezewa studio na ofisi wanaweza kucomment mtandao wa meta au TCRA ukafungiwa au kupotezwa kwa ushenzi wa watawala hawa wizi nje nje kisha muwazomee wakiwa na polisi nyie na mawe. BBc ijataka kuweka wazi Urusi na miamala ya kupeleka...
  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Dk Godwin Mollel: Miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja kwa Tanzania

    Nimesikiliza hili kauli hadi nikatokwa na machozi, i can't imagine kwamba hawa ndo watengeneza dira ya 2050? Kwamba we are too slow in such way miaka 10 ni sawa na mwaka mmoja? kwani huyu watoto wake wanasoma wapi? Kuwa na wabunge kama hawa ni hasara kubwa sana kwa taifa.
  10. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya AFCON kwamba yataleta Neema Tanzania ni Propaganda kubwa sana. Hakuna kitu kama hicho

    Nawasikiliza sana wanasiasa wanavyo hadaa Wadanganyika kwamba wajiandae sana na Afcon na hata Mahoteli hayatatosha na wlmashabiku wengine watalala majumhani mwa watu. Hizi ni propaganda. Hizi ni propaganda za kijinga sana. Tujiulize swali rahisi sana Tanzania ilipeleka mashabiki kiasi gani...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Tanzania hakuna udini kabisa?

    Ukitazama kiundani kuna mambo yanafikirisha. Mfano Waislamu wote wanaipinga Israel na wanawajali sana Wapalestina wa Gaza ila hakuna Waislamu wanaojali Ukraine kuvamiwa na mauaji ya raia huko, je huu sio udini? Wagalatia wengi wako upande wa Israel, je huu sio udini?
  12. E

    JamiiForums Tanzania Tanzania kati ya mataifa 10 yenye madeni makubwa Afrika

    Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni). Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hatari ya Mitandao ya Kijamii kwa Amani na Utulivu wa Tanzania

    Mitandao ya kijamii imefungua milango mikubwa kwa mawasiliano na uhuru wa kujieleza, lakini Tanzania inakabiliwa na hatari halisi inapoteza udhibiti wa jinsi vijana wanavyotumia jukwaa hili. Tatizo kubwa si mitandao yenyewe, bali ni matumizi yasiyowajibika yanayoweza kulipua amani tuliyoijenga...
  14. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania

    Nchi zinazoongoza kwa uwekezaji mkubwa Tanzania, kulingana na ripoti rasmi kutoka Kituo cha Uwekezaji Tanzania - TIC, zinajumuisha mataifa mbalimbali ya kikanda na kimataifa yanayowekeza kwenye sekta kama vile viwanda, madini, kilimo, na utalii. Orodha kamili ya nchi 10 zenye uwekezaji mkubwa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa UDOM aihoji Bodi ya Ithibati kwanini Vyombo vya Habari vya Tanzania haviaminiki tena na wananchi? Nani anapaswa kuwajibika?

    Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Wakili Patrick Kipangula, amesema kuwa kukosoa ni haki ya msingi katika jamii ya kidemokrasia, lakini ukosoaji huo unapaswa kufanywa kwa kuzingatia maadili, heshima na ukweli. Akijibu moja ya maswali yaliyoulizwa na...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Nini hasa chimbuko la CHADEMA kupwaya karibu katika kila idara kwenye siasa za Tanzania?

    Ni ombwe la uongozi na ukata wa pesa tu au kuna jingine? Kwa mfano, Uropokaji umekidumaza mno kisiasa chama hicho cha siasa nchini, Lakini pia kufanya siasa za kutegemea zaidi artificial imotional scripts za drama ili kugain public sympathy zimeifubaza sana chadema, na kuifanya ikose mvuto...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Hivi future ya Tanzania ni nzuri kweli?

    Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira, umasikini nk The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa...
  19. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kigeni waliowekeza Tanzania

    Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania? Mimi naanza na hawa: 1.Bernad Morrisson Kajenga nyumba Dar na Mbeya 2.Aubrey Chirwa Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais wa Singapore kuanza ziara ya kiserikali Tanzania kesho Juni 9, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili Tanzania jioni ya leo kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kiserikali kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kesho, Juni 9, 2026, Rais Shanmugaratnam atapokelewa rasmi Ikulu...
Back
Top Bottom