Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.
Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanganyika, alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano wa T + Z ulikuwa uamuzi mbaya
Madhara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni makubwa sana hayafai kuelezea
Naweza kuelezea kwa ufupi sana lakini taarifa nyingi zinapatikana kwa...
Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon.
Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema.
==============
Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha...
Hivi karibuni niliandika kwamba ile bidii ya Raisi Samia kuchukua mikopo ya nje kila siku ilikuwa ni mkakati maalumu uliowekwa ili fedha nyingi ziende Zanzibar kama mgawo wao wa hiyo mikopo. Fedha zilizoenda Zanzibar ni nyingi sana na zinafanya mambo makubwa sana kwa sasa kubadilisha miundo...
Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya uhalifu na kuongeza usalama wa wananchi wanaotegemea ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi...
Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina.
GHAFLA naiona inveterview ya kikeke na hasha rose migiro katibu MKUU WA ccm, akisifia mauaji...
Ni Muda sasa wabunge toka baraza la wawakilishi huwa pia na fursa ya kuingia Bunge la Muungano.
Sio vibaya kama wabunge toka bara baadhi yao nao wakiwa wanahudhuria vikao vya baraza la wawakilishi.
Uwekwe utaratibu maalum ambao utawafanya wabunge hao kushiriki vikao bila kuathiri maamuzi ya...
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!
Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!
Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
Mkutano wa ndani wa TANU nyumbani kwa Ali Msham Mtaa wa Jaribu Magomeni Mapipa miaka ya mwanzoni 1950
Fatilia ukurusa huu In Shaa Allah nitaweka picha zaidi kila nipatapo nafasi.
Tumia picha upendavyo hazina hati miliki.
Picha hii ilipigwa 1942 wakati Abdul Sykes alipokuja Dar es Salaam...
Hii ni picha ya makatibu wa kwanza baada ya nchi yetu kuwa jamhuri mwaka1962.
Katika picha hii walikuwa wamebaki watatu waliohai kabla ya kufariki dunia Paul Sozigwa aliye wa pili kulia msitari wa pili.
Tunao waombea mmaisha zaidi ni fredrick mchauru 97yrs aliye wa pili kushoto mstari wa pili...
Yap Yap ni Leo, Mei 14 2026 Simba ndani ya Msitu mzito wa Sokwe Aina ya Mashujaa FC,
Mashujaa wamejiapiza kuikaanga Simba siku ya leo huku Simba wakiweka wazi kuwa kilichowapeleka Kigoma ni alama 3 tu na si vingine, kwani utalii wa kuona Sokwe si jambo lao.
Simba leo watakuwa na Presha kubwa...
Tangu Samia Suluhu Hassan ajimilikiishe Tanganyika, kumekuwepo na Wimbi la Wapemba wansotumia Leseni za Zanzibar Tanzania bara.
Hawa ndugu zake samia wote wana leseni za Zanzibar.
Wote wakamatwe kwani Leseni sio jambo la Muungano.
Pia wasiijifanye ni International license sababu Zanzibar...
Leo sina salamu, siku hazigandi, wanaonizunguka wananichora tu, kuna siku kisiwa kitatawaliwa kibabe na Tanganyika kama Tawan, na hakutakua na namna, niyafanyayo mpaka vitukuu wangu watajutia sana.
Cha msingi natakiwa hacha ubinafsi, muungano hautokufa bali utaboreshwa na haitakua kwa maombi...
Tukichambua hoja hii ya kwamba "kuuza kila kitu ni kuuza urithi," tunaingia kwenye kiini cha mjadala wa uzalendo, uchumi, na mustakabali wa Tanganyika .Hapa ngoja nichambue kwa kina kwanini dhana hii ni nzito na ni muhimu kwa mustakabali, uhai na ustawi wa Tanganyika
1. Kupotea kwa Maamuzi...
Tanganyika tunafeli sana tuna kisiwa cha kitalii kizuri lakini hatukitangazi , vivutio vilivyopo mafia havina utofauti na Zanzibar lakini hatuweki juhudi kukitangaza kisiwa cha Mafia , sina maana ya ubaguzi mimi ni muumini wa Muungano ila tu nakumbushia pia vivutio vyetu vya bara huku
Ni kweli Humphery sababu ya kisema ukweli tu kuwa Rais Samia anaiba rasilimali za Watanganyika?
Kosa lako lilikuwa ni nini?
Kuwaeleza ukweli Watanganyika kuwa Samia ni zao la wanaCCM chini ya mstaafu?
Kwa hali jinsi ilivyo tusitegemee mtu kutoka visiwani au Comoro aje aipiganie nchi yetu Tanganyika
Yule asuman wa tume nadhani ni mvisiwan yule ni ngumu SANA kukubal hali ya uchaguzi uliopita ulisababishwa na dada yake kushupaza shingo na ndipo akamchagua yeye kuziba kelele halali za...