tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tumesherehekea uhuru wa Tanganyika na siyo wa Tanzania wala siyo wa Tanzania bara. Tanzania haiwezi kusherehekea uhuru maana haijawahi kutawaliwa

    Leo ni sherehe ya kumbukizi la uhuru wa TANGANYIKA iliyokuwa inatawaliwa na Waingereza. Tusipotoshe historia!! Leo siyo siku ya uhuru wa Tanzania. Anayebisha aniambie Tanzania ilikuwa inatawaliwa na mkoloni yupi! Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania wala Tanzania bara!! Tumeamua kupotosha...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Darasa: Maadhimisho ya leo ni ya Uhuru wa Tanzania ila kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika!

    Wanabodi! leo tunapo sherehekea maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru, ni maadhimisho ya Tanzania, japo iliyopata uhuru ile Desemba 9, ni Tanganyika na sio Tanzania, maadhimisho ya leo ni maadhimisho ya Tanzania, yaani Tanzanian National Day, na sio Tanganyika. Kumbukumbu ndio ya Uhuru wa Tanganyika...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Zarula Bint Abdulrahman wa Tabora

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: BI. ZARULA BINT ABDULRAHMAN WA TABORA Nimekuwa kwa miaka mingi nikitafuta picha ya Bi. Zarula bint Abdulrahman wa Tabora mwanamama ambae alikuwa mstari wa mbele katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Kama nisingemtaja jina lake katika kitabu cha Abdul Sykes...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kusherehekea Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika bila ya kuwajua waliopigania Uhuru huo

    KUSHEREHEKEA MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA BILA YA KUWAJUA MASHUJAA WALIOPIGANIA UHURU HUO Kwa takriban siku 30 zilizopita kuanzia mwezi November mwanzoni nimekuwa nikweka hapa makala ambazo mimi nimeziona ni muhimu katika historia ya uhuru wa Tanganyika. Makala hizi jumla yake ni 27 na...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Mama Maria Nyerere na mabaibui katika mikutano ya TANU Mnazi Mmoja

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA: MABAIBUI YALIYOMPOKEA MWALIMU NA MAMA MARIA NYERERE VIWANJA VYA MNAZI MMOJA WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Katika mazungumzo na BBC Swahili jana Mama Maria Nyerere amewasifia mama zetu kwa ushujaa wao wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Dada yangu...
  6. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika 1961: Yaliyomfika Prof. Kighoma Ali Malima hayajamkuta kiongozi yeyote katika historia ya Tanzania

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: YALIYOMFIKA PROF. KIGHOMA ALI MALIMA HAYAJAMKUTA KIONGOZI YEYOTE KATIKA HISTORIA YA TANZANIA Ally Sykes alikuwa na kawaida kuwa akiwa na mgeni yeyote ndani ya ofisi yake ataagiza niingizwe. Hivi ndivyo nilivyokuja kuwajua kwa karibu watu wengi maarufu...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanganyika Packers Kawe Desemba 4, 2021 uje ujionee 'Maajabu' ya Kuuaga mwaka 2021

    Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake. Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini...
  8. J_Okay

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Ambacho Watanzania hatutajifunza miaka 60 ya uhuru

    ABUU KAUTHAR Moja ya msingi mkuu wa demokrasia ni mamlaka kwa umma. Ina maana, mamlaka yapo kwa wananchi ambao wamekasimu madaraka kwa viongozi waliowachagua katika uchaguzi huru na wa haki ili kutenda kwa niaba yao. Nchi ambazo mamlaka hayatoki kwa wananchi ikiwemo zile zinazoongozwa na...
  9. ZINDAGI

    JamiiForums Tanzania Sherehe za miaka 60 ya Uhuru, Temeke mmejipangaje?

    Naandika haya nikiwa napita jirani kabisa na uwanja wa Uhuru (Uwanja wa Taifa), naona vikosi vya ulinzi na usalama vikijtaarisha kuanza mazoezi ya gwaride na mambo mengine, vijana wa halaiki nao hawajaachwa nyuma, naona kundi kubwa linaingia. Ama kwa hakika kwa maataarisho haya, tutegemee...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba sakata la OIC na IAO 1993

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: SALIM AHMED SALIM NA JOSEPH WARIOBA SAKATA LA OIC NA IAO 1993 Picha hiyo ya Salim Ahmed Salim na Joseph Warioba niliwapiga mwaka wa 2017 nyumbani kwa Kleist Sykes, Kawe Beach siku ya mazishi yake baada ya kuwaomba ruhusa. Leo katika kupita Maktaba...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: John Rupia katika kamati ya mapendekezo ya katiba ya Tanganyika 1950

  12. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika 1961: tunamuenzi John Godfrey Rupia (1904 - 1978)

    MIAKA 60 YA UHURU WA TANGANYIKA 1961: TUNAMUENZI JOHN GODFREY RUPIA (1904 - 1978) Wajukuu ni watamu kuliko wana uliozaa mwenyewe. Huwezi kujua ukweli wa maneno haya sharti upate mjukuu. Wajukuu na wao wana mapenzi na babu na bibi zao kushinda wanavyowapenda baba na mama zao. Nimemjua Joyce...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika: Historia ya Ali Asham na Julius Nyerere 1954

  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika: Bevin Tipha Msowoya mpiga picha nguli wa wakati wa kupigania Uhuru wa Tanganyika

    MIAKA 60 YA UHURU: BEVIN TIPHA MSOWOYA MPIGA PICHA NGULI WAKATI WA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Leo ni siku yangu ya furaha kubwa sana kupita kiasi. Niko online na binti mmoja namjua kwa jina la Charming Girl kaniona akaniuliza kama namjua Bevin Tipha Msowoya? Nikamwambia naam namjua Msowoya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi 'Logically' tunasheherekea miaka 60 ya Tanzania au miaka 60 ya Tanganyika?

    Ni nani Katuroga uwezo wa Kufikiri mpaka tumeshindwa kujua kuwa sasa hatuna Tanganyika bali tuna Tanzania na kwamba hata tu Kutaja neno Tanganyika ni kujitafutia tu laana na kukumbushia Mateso ya Wakoloni na Mababu na Mabibi zetu waliopambana Kutukombolea hili Taifa zuri la Tanzania? Nyie...
  16. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Wazulu wa Imhambane, Kwalikunyu - Msumbiji katika kupigania Uhuru wa Tanganyika

    WAZULU WA IMHAMBANE, MOZAMBIQUE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Kisa hiki nimekitoa hapa hapa barzani nikizungumza na ndugu yangu Abdulkarim. "Abdulkarim, jina hasa ni Saudtz Thomas Plantan. Baba yake ni Thomas Saudtz Plantan na alikuwa Mwalimu Mkuu wa Mchikichini Primary School na...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Jinsi ziwa Tanganyika lilivyo na maji mengi

    Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500. Ziwa Victoria linaingia kwenye ziwa Tanganyika karibu mara nane. Ziwa Tanganyika lina asilimia 18.9...
  18. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Jina la asili la ziwa Tanganyika ni lipi? Na neno Tanganyika linamaanisha nini?

    Kabla ya wazungu kuja Ziwa victoria lilikuwa linaitwa Nyanza. Maana ya Nyaza ni eneo pana lenye maji(Ziwa). Hata jina Rasmu walililipa wazungu ni Victoria-Nyanza. Hata ziwa Nyasa ni hivyohivyo. Neno Nyasa na neno Nyanza yana maana moja. Sasa hili neno Tanganyika linamaanisha nini? Na kuna jina...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Diamond Jubilee ya Uhuru wa Tanganyika

    Wakati Tanzania inaadhimisha uhuru wa Tanganyika unaotimiza miaka 60 9 Disemba, 2021, kumekuwa na kupooza kiasi kwamba mitaani, viwanjani na kwenye majukwaa hakuna dalili za kuashiria shamrashamra za muendelezo wa maadhimisho hayo yanayofikia umri mkubwa wa zaidi ya nusu karne. Hii ni bahati...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Minong'ono kuwa Mwamposa anatakiwa kuhama Tanganyika Packers December inazidi Kupamba Moto. Je, ina ukweli wowote?

    Kama ni kweli KEROZENE nitaumia na Kusikitika mno kwani kama kuna mahala ambapo huwa napata Wanawake wepesi na kula nao Uroda kiurahisi na situmii Gharama yoyote ile ni wa hapo Kwake Mtume Mwamposa Tanganyika Packers Kawe. Tafadhali Serikali kama Minong'ono hii ni ya Kweli naomba msitishe...
Back
Top Bottom