mshamba mchangamfu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 338
- 91
Ndugu ama kwa kujua au kwa kuto kujua wewe na wasaidizi wako mna hujumu juhudi za Mhe.rais wetu za kutaka Tanzania kuwa nchi ya viwanda na uchumi wa kati na hasa mnatuumiza sisi watanzania wakawaida tulioitikia kwa vitendo juhudi za rais wetu.Tanesco Mlandizi mna matatzo makuu matatu.
1.KUKATA UMEME HOVYO
Pamoja na Tanesco mahali kwingine kusifiwa kuondoa mgao au kupunguza kabisa tatizo la ukataji umeme hovyo hili kwetu mlandizi bado lipo na ni la hovyo kwa sababu unakatika kwa vipindi vipindi pasipo taarifa karibuni kila siku mlandizI umeme unakatika kwa vipindi vya dk tano tano na kurudi na kunasiku tunaenda masaa 10 mpk 18 bila umeme jambo linalopelekea watu kuunguza vifaa vyao vingi vinavyotumia umeme na kuingia hasara shughuli kama saloon na viwanda ambavyo kwa sasa vipo vingi mnoo mlandiz n changamoto uendeshaji wake kuna tatizo gani mkitupa taarifa kuwa mtakata umeme mbona ofisi zingine wanatoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii na kwenye vyombo vya habari kama redio na tv ninyi mlandizi mnatatizo gani ? basi igeni hata wenzenu wa DAWASCO wanaopitaga wakitangaza mitaani na gari zao maana cruiser zenu zinapark tu pale kauli ya bibi mida ya kazI
2.HUDUMA KWA WATEJA PIA NI MBOVU
Nimetembelea ofisi yako karibuni mara 7 nimepata nafasi ya kusign kama mgeni mara moja tena baada ya kugombana sana mnapata wapi reference kwa wateja wanaokuja pata huduma maana mlinzi anakuuliza maswali mengI mnoo na hata mkimaliza ulizana hakupi daftari la kusaini mteja unakosa reference ya hata kwamba ulikuja mara ngapi kueleza tatzo hilo hilo moja ukiingia ndani napo kuna wadada wale wa front office pale nao ni balaa nimemshuhudia mara 2 nzima yule dada mwenye asili ya kiarabu akiwafokea wateja badala ya kuwaeleza na kuna mdada mmoja anapenda kuwa zamu jmosi (natumia neno anapenda maana kila siku ni yeye tu na unamkuta busy na simu) nilimshuhudia akimwambia mzee mmoja kuwa sio muelewa na watu wengi wamekuwa wakiwalalamikia hawa watu wako wa front office.
(b) Takriban ofisi zote kuanzia DAWASCO, TRA hata TANESCO sehemu zingine wanatoa huduma siku ya jumamosi mpk saa sita mchana na huduma huwa ni kama zinazotolewa siku zingine tofauti n muda ila kwa mlandiz mnakuwa na dawati la emergency tu nadhan kuongeza ufanisi mngetoa pia baadhi ya huduma kwa siku ya jumamosi kwa hayo masaa machache wengine wanaweza ninyi mnashindwa wapi ?
3.HARUFU YA RUSHWA
inasemekana kitendo cha wale walinzi kuuliza maswali mengi na kutokutoa daftari la wateja kusign kama wageni ni kuwa baada ya kukuuliza huwa wanashauri uchukue namba za watu flan flan ili mteja akamalizane nao nje ya ofisi (sina hakika ila maswali wanayouliza wale walinzi ni kama wanamaelekezo flani)
Nina tukio ambalo na uhakika nalo kwa wakazi wa kisabi block C ambao walikuwa wapate umeme wa REA kwa mabavu ww na washiriki wako mmeupeleka mradi kijiji cha jirani cha madimla na kisabi block C zimepita tu nguzo huku nyumba kama nne tu wakiwa wamepata na walipokuja ulizia ofisi yako ilijibu hujakabiziwa bado mradi na REA ila kwa wanaitaji umeme kama wale wanne waliopata watengeneze mazingira rafiki ...
Tunaomba TANESCO na TAKUKURU mchunguzeni huyu bwana