Jengo la Tanesco Ubungo

Nikisikia neno tanesko huwa natetemeka mwili mzima nikikumbuka namna jamaa yangu alivyonyimwa kibarua hata baada ya kupita mihakato yote. Yaani walifuta tu hilo zoezi la kuajiri, sijui waliwapa nafasi ndugu zao??
Ulijuaje Kama amemaliza michakato yote? alikuwa ameshapewa offer letter?
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom