Nimeomba huduma Tanesco na hili ndio jibu nililopewa

Zygot

JF-Expert Member
Apr 14, 2016
2,240
2,866
Kipindi hiki cha mvua nimewasiliana na Tanesco nikiomba msaada wa huduma. Kila wakati jibu ninalopewa ni kwamba mvua zimeharibu sehemu nyingi. Kuna wateja kibao wanahitaji huduma yetu, vumilia.

Naamini bado hawajifahamu, bado hawajui wako katika biashara na raia. Majibu ya ofisini wakisubiri kupanua huduma bila huduma kwa wateja, hii ni aibu.
 
Je umeshapatiwa huduma kama bado tunaomba namba yako ya simu na wilaya uliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kipindi hiki cha mvua nimewasiliana na Tanesco nikiomba msaada wa huduma. Kila wakati jibu ninalopewa ni kwamba mvua zimeharibu sehemu nyingi. Kuna wateja kibao wanahitaji huduma yetu, vumilia.

Naamini bado hawajifahamu, bado hawajui wako katika biashara na raia. Majibu ya ofisini wakisubiri kupanua huduma bila huduma kwa wateja, hii ni aibu.
Mkuu umeshapata huduma?
 
Kweli hawa jamaa hawako serious, mimi nimeenda ofisini zaidi ya mara tatu napewa kikaratasi kina namba za simu kila ukipiga unaambiwa mafundi wanakuja karibu mwezi sasa. Wakati huo nguzo inakaribia kudondoka aisee.
 
Sa

Samahani hivi hizi namba za huduma kwa wateja tabata, zina matatizo gani, kila ukipiga zinatumika mwezi mzima!!!! Unaweza kupiga toka asubuhi hadi usiku unaambiwa zinatumika!!! Inakuwa haina haja sasa ya kuwa na namba hizo
Kuna namba fulani wanakupa ukienda ofisini kwao, naona hizo zinapatikana mkuu
 
Kama mtaendelea kujibu kero za wateja wenu namna hii hakika shirika litapaa!
Toka asubuhi afisa uhusiano yupo mtandaoni na lazima ajibu sababu ameleta petite ya kupigiwa kura ili waonekane Tanesco wapo juu kihuduma.
 
Hao jamaa nilishaachaga kupiga namba zao za help desk au emergency hazina maana...huwa nakwenda mpaka ofisini kwao naweka kambi pale
 
Back
Top Bottom