Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
ZAIDI YA BILIONI 200 KUTUMIKA KUTANDAZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WENYE UREFU WA 4244KM KWA KUTUMIA MIUNDOMBINU YA TANESCO
"Tunamshukuru sana Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha zaidi ya bilioni 200 kwa lengo la kutandaza Mkongo wa taifa wenye urefu wa 4244Km kwa kushirikiana...
Sijaona kipengele kuwa katika makusanyo ya Kodi ya jengo kupitia luku watatoa commission kwa tanesco kwa ajili ya kufidia yafuatayo
1. Kusaidia kulipia leseni ya kuendesha mifumo ya LUKU ambayo ni mabilioni ya shilingi
2. Kufanya operation na maintance ya mita za luku kila Mwezi mi mamilioni...
SHIKRIKA LA UMEME TANZANIA TANESCO MKOA WA MOROGORO.
TAARIFA YA KUOMBA RADHI KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME BAADHI YA MAENEO YA MKOA WA MOROGORO.
Shirika la umeme Tanesco linaomba radhi wateja wetu wanaotumia laini ya Tungia,Mzinga,Kilosa,Mikese kwa kukosa huduma ya Umeme usiku wa kuamkia leo...
Kwenye kulipia Umeme kwa nini TANESCO hawatoi mchanganuo kua hela zimeendaje huu ni wizi wa kiwango cha lami.
Rejea hapa.
LUKU
37212843355
990022123320138178
1.5KWH
0029 2493 0496 3524 7260
Cost 409.84
VAT 18% 73.77
EWURA 1% 4.10
REA 3% 12.29
Debt Collected 4,500.00
TOTAL 5,000.00
Kweli Umeme...
Na nimeelewa sasa kuwa
1. Umeme kwa 27,000 ilikuwa plan ya muda mrefu kwanza vijijini halafu Sasa mjini ili wapate vichwa vingi vya tozo.
2. Watu flani walioishika serikali wanataka wafanye biashara zao za solar na magenerator hivyo wakachampion tozo ili watu wachukie wahamie kwenye Sola Kama...
Shirika Umeme nchini (TANESCO) limesema Wanachi hawataweza kununua umeme wa chini ya Tsh. 2,000 kwa mwezi huu
Limesema ni ili Wananchi waweze kulipa kodi ya majengo ya mwezi Julai (Tsh. 1,000) na Agosti (Tsh. 1,000)
Shirika hilo limefafanua kuwa Tarehe 20 Agosti ni kuanza kwa makato lakni kodi...
Kuanzia leo Agosti 20, 2021 rasmi serikali imetangaza kuanza kukusanya kodi ya majengo kupitia ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku.
Ni wazo jema lakini limegubikwa na utata, ni wakati sasa wa serikali kujitokeza hadharani na kutolea ufanunuzi na kujibu hoja hizi hapa chini:
1. Tozo ya majengo...
Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri!
Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
Naomba kuuliza maswali machache.
Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa?
Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji?
Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake?
Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
Nimekuwa nikiripoti Mara nyingi jinsi nchi yetu inavyokwenda kwa sasa tumeanza kurudi nyuma , Huduma zimekuwa mbovu ukiende kwenye ofisi kupata huduma customer care mbaya wahudumu wanakujibu ovyo.
Mfano Mzuri ni shirika letu la Tanesco Maeneo Mengi watu wanalalamika, likiwemo eneo letu...
Katika Hali isiyo ya kawaida ,Kwa mara ya kwanza tangu awamu ya tano,imetokea Hali isiyo ya kawaida ya kukosekana Kwa nguzo za kuunganisha wateja umeme Tanzania. Hakuna wilaya hata moja nchini insyotoa huduma ya kuwapatia wateja nguzo ili wananchi waweze kupata huduma ya umeme. Kila ukiuliza...
NAIBU Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato amesema watumiaji wa Umeme Waliobadilishiwa Tozo za kutoa huduma (TARIFF) kutoka kundi moja kwenda jingine pasipo wao kubadilisha matumizi halisi watoe taarifa katika Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ili kufanyiwa marekebisho ya tozo hizo...
Wakati Serikali ikiwataka wananchi kulipa kodi za majengo kupitia kununua LUKU TANESCO Shinyanga wao hawaunganishi wateja wapya umeme kisa magari yao ni mabovu!
Miujiza hii inapatikana Tanzania pekee!! Ukiliangalia sana suala hili utaona waziri @Kalemani ni kama anahujumiwa! Inawezekanaje...
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
Kama nilivyoandika hapo juu ni bora waziri wa nishati ukatengue kauli ya kuunganisha umeme kwa 27,000. Maana wanachi wengi hasa wenye umbali wa kuhitaji nguzo moja ama mbili sasa hivi hawahudumiwi kabisa. Ukitaka kupata control number unaambiwa ulipie angalau laki moja kwa kila nguzo na hiyo...
Hello!
Umeme wa jua ni bora na ninatamani Watanzania wote wangekuwa nao.
Ukinunua system ya umeme wa jua kwa sh.laki nane unaweza kutumia kwa matumizi ya friji dogo la nyumbani, ukawasha TV, redio, ukanyoosha nguo and so.
Hakuna kulipa kila mwezi kama zamani au kukosa umeme kwakuwa luku...
TANESCO ya sasa kwa siku 100 imekuwa ikiweka nguzo kama Mapambo bila kuunganisha umeme, hili limekuwa tatizo kubwa wananchi mpaka wamefikia hatua yakusema hakuna msaada serikalini kwa kuwa kuna nguzo zimeweka zaidi ya miezi mitatu 3 tangu Mh Rais samia awe Mkuu na Rais wa nchi hii, wa Tanesco...
Tanesco acheni dharau kwa Rais Samia
Leo katika mkoa wa Mwanza nimeona kitendo ambacho sio cha kiungwana na kinachoonesha dharau kwa mamlaka.
TANESCO wamekata umeme wakati Mwenge wa Uhuru upo katika mkoa huu.
TANESCO mnashindwa kutambua kwamba, mwenge unapopita sehemu au mkoa wowote ule ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.