Ni nani anayeingilia hii mifumo ya Taasisi nyeti za Nchi? TRA, TPA, TANESCO na ana malengo gani?

Kwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea

Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
 
mama si alisema hata makampuni yaliyokubaliana na magufuri yameshaanza kumkazia..mama inabidi aelewe kua hizi kazi chafu ila lazima mtu azifanye...kujifanya yeye msafi na magu mchafu atajua hajui...hao hao anaooona ndo watu wake watamwonesha mji
 
Hakuna Mtanzania aliyeiibia nchi hii kama dhalimu magufuli.​

1621458490519.jpeg

Kwani mwendazake alipokuwa anasema hii inchi watu wameichezea sana hamkumuelewa haya eleweni sasa mwendazake kaenda watu washaanza ichezea

Were unazani hizo pesa wanazokisanya katika vituo vya tanesco kuuza umme zitaenda zote serikalini upigaji na uhuni umeaanza watu wanataka washike pesa cash mambo ya mifumo mifumo inawachelewesha sana
 
Nikili wazi SAMIA HATUFIKISHI POPOTE kwa mwendo huu LUKU TOKA J3 HADI LEO ALHAMIS WATU WAKO GIZANI RAIS YUPO TU hasemi lolote

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwani amekaa hata mwaka ?!!!

Kero za nchi kila uchao huzaliwa na kuzaliana.....

Wahusika wa wizara wanaona na si kila jambo litokeapo tu basi RAIS wa nchi huita MEDIA na kuliongelea.....yako maagizo ya UKALI anayoyatoa kwa wahusika pasina sisi wananchi KUONA....

RAIS ANAFANYA KAZI MASAA 24 NA HALALI KM TUNAVYOLALA SISI!!!

#StaunchSupporterOfSSH
 
Na bado!

Yajayo yanakeraa!

Ukiona mtanzania anakusifia ujue wewe ni bwege.

Mama wameanza kumpamba kabla hajafanya chochote ili wambutue watakavyo.

Ila poa tu, si tulikubaliana kuwa tunataka pesa mtaani? Hii ndio njia ya haraka na makini ya kuzileta mtaani.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom