Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
==========================
Tangu Maharage pale TANESCO alipotoa tamko lisilo na mantiki na linalo-defy all logical reasoning, kwamba eti hata baada ya Megawatt 2100 kuanza kuzalishwa kwenye bwawa la Nyerere na kuingizwa kwenye Gridi bado eti umeme hautashuka bei, nimekuwa nikiwaza sana...
Wiki hii baadhi ya wakazi wa Mbagala wamebadilishiwa mita za umeme, baadhi ya mita zilikuwa na salio la unit za umeme, hizo uniti TANESCO wamezichukua badala ya kuziweka kwenye mita mpya, huu ni wizi, warudishieni uniti zao mliowabadilishia mita.
Wafanyakazi wa taasisi za Umma sijui Wana shida gani. Yaani wao mpaka wapate mtu wa kuwapelekesha ndio wafenye kazi.
Sasa Leo niko na hawa TANESCO nina kimradi changu huko musoma, niliwaita TANESCO kuniunganishia umeme kuja ilikuwa shida kwelikweli, mwisho wa siku wakaja wakanipa gharama zao...
Kando ya barabara ya Iringa - Mbeya maeneo ya Njia panda ya Mlolo kuna Kaburi la mtu aliyekuwa maarufu katika fani ya Uganga wa jadi mkoani Iringa na alifahamika kama Mzee Martin Kiyeyeu. Inaelezwa mzee huyu alifariki mwaka 1974 na kuzikwa lakini muonekano wa Kaburi hilo ni kama alizikwa hivi...
Nimewaita mara tatu
Hakika mnasikitisha sana Kwa huduma zenu mbovu wananchi tunateseka sana.
Leo kutwa nzima tumeshinda bila umeme wamerudisha jioni hii na bado umeme wenyewe ni wa mashaka unawaka na kuzima kila baada ya muda mfupi kitu ambacho ni hatari.
Hakuna taarifa yoyote ya katika hili...
Inaelekea wanaoongoza TANESCO kwa sasa mama anawabeba kwa mbeleko kama watoto wake wa kuwazaa.
Shirika la TANESCO ni mali ya Serikali kwa asilimia 100. Sasa anapokuja huyu Maharage na waziri wake Makamba kutuambia eti madeni ya Serikali yanageuzwa hisa ndio nini maana yake?
Si bora wangesema...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linazindua taarifa ya mwaka 2023/2024 na Mpango Mkakati wa miaka 10 utakaoanza kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2024/2025.
Omary Issa aeleza sababu kuwajengea uwezo watumishi Tanesco
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania...
Licha ya gaharama za uzalishaji wa umeme kutarajiwa kushuka baada ya kukamilika kwa Bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP) Juni 2024, imebainika kuwa uzalishaji huo hautapunguza bei ya umeme kwa wateja.
Bwawa hilo linatarajia megawati 2,115 za umeme zitakazoingizwa katika Gridi ya...
Kwa masikitiko makubwa Wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya hakuna umeme leo ni siku ya 7.
Na uongozi wa TANESCO mkoa na Wilaya wakiulizwa wanasema ulizeni makao makuu ya Tanesco.
Mwenye namba ya simu ya makao makuu ya TANESCO tafadhali.
=============
UPDATES...
Mkurugenzi Huduma kwa Wateja...
Habari wana jamvi,
Kama heading inavyojieleza hizi nguzo za TANESCO ambazo zimetengewa kwa cement uimara wake ni mdogo na ni hatarishi hasa maeneo ya makazi na yenye watu wengi.
Awali nilijua labda zinatengenezwa ndani zinawekwa nondo na seng'enge ili kuongeza uimara kumbe ni tofauti ,hii ni...
Habarini wadau? Nimewauliza TANESCO kwenye thread yao hawajanijibu nimekuja kuomba msaada huku. Je, surveyor kutoka TANESCO analipwa na mteja anayehitaji kuunganishiwa umeme ndo aje afanye survey nyumbani kwako au ni bure?? Nimeuliza hivi maana mimi nimeambia nitoe pesa ili mtoa huduma hiyo...
Wadau nawasalimu,
Suala la kudai eti kuwapa bandari hawa Waarabu wa DP World ili wawekeze sidhani kama tutakwepa kuibiwa.
Ni aibu kwa Serikali yenye vyombo vya kupambana na wizi leo kudai eti bandarini kuna majizi, mapato yanaibiwa.
Serikali inayoshindwa kuwadhibiti hao wezi ni Serikali...
FUNDI UMEME.(Wiring za umeme)
-Tunafanya Wiring za umeme kwa gharama nafuu sana.
-Ikiwa umefikia stage ya kuweka miundombinu ya umeme kwenye Jengo lako wasiliana nasi, Kumbuka stage ya kwanza ni kabla ya kupiga plasta ambapo ni kuweka box za switches na kuchimbia conduit pipes ukutani.
Tuna...
Tatizo sio Kuwakaribisha wawekezaji bali ni aina ya mikataba, mfano hii mikataba ya waarabu kama wa bandari hauvunjiki hadi wao watake uvunjike ndio maana unaitwa wa milele.
1. BANDARI - Na sasa kuna mkataba huu wa bandari ambao ndio unazungumziwa zaidi sababu kipengere cha kuuvunja ni mpaka...
Wakati tukijadili kuhusu DP World na TPA, tusisahau kwamba kampuni nyingine ya falme za kiarabu ya UAE inayoitwa MASDAR ilisaini mkataba wa ushirikiano na kuzalisha umeme na TANESCO.
Tusisahau pia kwamba Shirika la Posta limeanzisha ushirikiano na kampuni ya posta ya Falme za Kiarabu.
Sio hilo...
Lengo la uzi huu ni kuitaka serikali iwe makini na utendaji wake, na pia kuwataka wananchi wazinduke na kupinga matendo maovu yanayoendelea nchini.
Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) kule mkoani Arusha limekuwa na historia kwa muda mrefu sasa ya kutojali wafanyakazi wake pamoja na maslahi yao...
Kwa kifupi Mashirika yote ya umma yanayofanya Biashara yanapaswa kupigwa bei, tubakie na mashiria kama TANAPA basi.
Kama Bandari inakodishwa then TTCL, ATCL, wakina TANESCO wanaachwa basi kuna shida au kuna walakini, mashirika ypte ya umma yaingie sokoni na Serikali inachana na Biashara...
Mwezi wa tano tumelipia 150,000 kodi ya jengo mwezi huu tena nataka kununua Luku naambiwa nadaiwa tena 30,000 Tanesco watueleweshe nini kinaendelea.
Nchi ngumu sana hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.